Mahakama yaridhia kunyongwa aliyemuua Dereva Bodaboda

Mahakama yaridhia kunyongwa aliyemuua Dereva Bodaboda

Unamhukumu vipi mtu kufa kwa ushahidi wa kimazingira tu?
Yeye aliyehukumiwa ilibidi awaonyeshe waliyemuuzia pikipiki, sasa kama pikipiki ilitoka kwa marehemu ikaja kwake, tena kwa tofauti ya siku moja, unategemea nini?
 
Muuaji hawezi UA, akachukua pikipiki afu kesho aiendeshe maeneo hayo hayo

Aeleze kaipataje hiyo pikipiki??-- yaani mtu kauawa leo, kaporwa pikipiki halafu kesho anapatikana mtu na hiyo pikipiki !!, inabidi huyo mtu aieleze mahakama imeipataje pikipiki na akishindwa basi ule usemi wa; "Aliyekutwa na ngozi-----" unanakuwa umetimia.
 
Aeleze kaipaje hiyo pikipiki??-- yaani mtu kauawa leo, kaporwa pikipiki hala kesho anapatikana mtu na hiyo pikipiki !!, inabidi huyo mtu aieleze mahakama imeipataje na akishindwa basi ule usemi wa; "Aliyekutwa na ngozi-----" unanakuwa umetimia.
Ndo maana twasema kuna kitu hakiko sawa.

Mtu hawezi UA afu siku ifuatayo akaitumia hiyo pikipiki
 
Ndo maana twasema kuna kitu hakiko sawa.

Mtu hawezi UA afu siku ifuatayo akaitumia hiyo pikipiki

Unapozungumzia matumizi ni lazima ufafanue ni matumizi gani!!?, labda alikuwa anaitorosha kwa kuiendesha au alikuwa anaitafutia soko huku akiiendesha nk, juu ya yote kama hakuhusika na tukio la kuua na kupora angeeleza kaipataje hiyo pikipiki, just simple case.
 
Yeye aliyehukumiwa ilibidi awaonyeshe waliyemuuzia pikipiki, sasa kama pikipiki ilitoka kwa marehemu ikaja kwake, tena kwa tofauti ya siku moja, unategemea nini?
Sio kazi ya mtuhumiwa kusaidia upande wa mashtaka kuprove kesi yao
 
Kesi ya mauwaji haijathibitishwa.

Wangethibitisha ya wizi, (kwamba mshitakiwa/mrufani ndiye aliye iba pikipiki), basi wangeweza kuthibitisha ya mauwaji.

Kesi yake hapo ni kupatilkana na mali ya wizi.

Naona mahakama imetumia tu “short cut”

There is no “guilty beyond a reasonable doubt” sentencing here.

Kumuhukumu mtu adhabu ya kifo kwa kukutwa na mali ya wizi ni uvivu wao mahakama, waendesha mashtaka pamoja na wapelelezi wa kesi ya wizi na mauwaji.
 
Kwani yeye kaeleza kaipataje hiyo pikipiki??
 
Sio kazi ya mtuhumiwa kusaidia upande wa mashtaka kuprove kesi yao
Upande wa mashtaka umeprove kuwa yeye amehusika kwa kumkuta na hiyo pikipiki na vitu vingine vya marehemu. Sijui wewe unataka wafanye nini zaidi??? Yeye mtuhumiwa kama hakuhusika na mauaji aseme sasa pikipiki na hivyo vitu amevitoa wapi???
 
Kwani yeye kaeleza kaipataje hiyo pikipiki??
Habari iliyoko hapa ni kwamba amehukumiwa kunyongwa kwa kukutwa na pikipiki ambayo wanasema ni ya marehemu. Lakini pia kabla ya kusema pikipiki hiyo ameipata wapi, ni lazima kwanza wathibitishe kuwa pikipiki iliyokamatwa ndiyo hiyo aliyokuwa akiiendesha marehemu. Na hili linawezekana kwa kupata taarifa za umiliki kutoka TRA.

Na inaonekana hakuulizwa hilo swali la kuwa kaipata wapi hiyo pikipiki. Na sababu ni kwamba mahakama yenyewe haikuhitaji ushahidi kutoka TRA kuthibitisha umiliki.

Soma hapo chini…

“Walibainisha miongoni mwa hoja za mrufani kupinga adhabu hiyo ilikuwa ni kwamba Mahakama Kuu ilikosea kumhukumu kwa kutumia ushahidi wa kukutwa na vitu vya marehemu huku kukiwa hakuna ushahidi iwapo wakati Msimbe anauawa alikuwa akitumia pikipiki aliyokutwa nayo yeye”
 
Upande wa mashtaka umeprove kuwa yeye amehusika kwa kumkuta na hiyo pikipiki na vitu vingine vya marehemu. Sijui wewe unataka wafanye nini zaidi??? Yeye mtuhumiwa kama hakuhusika na mauaji aseme sasa pikipiki na hivyo vitu amevitoa wapi???
Vitu gani vingine alivyokutwa navyo? Kama una taarifa zaidi tofauti na zilizowekwa kwenye habari iliyoletwa, kwamba kuna vitu vingine zaidi ya pikipiki, ziweke hapa tuzifahamu.

Halafu kwanini mahakama haikutaka kujiridhisha kuhusu umiliki wa pikipiki aliyokamatwa nayo mrufani? Kuna vitu gani vingine alivyokutwa navyo ambavyo ni vya marehemu tofauti na pikipiki?
 
Back
Top Bottom