Mahakama yaridhia kunyongwa aliyemuua Dereva Bodaboda

Mahakama yaridhia kunyongwa aliyemuua Dereva Bodaboda

Kesi za kisheria hazitolewi maamuzi kwa imani, bali kwa ushahidi usio na shaka. Yani “guilty beyond reasonable doubt” not about faith or gut feeling.
Kwa hiyo hapo wamehukumu kwa imani?
 
Ok pikipiki aliuziwa na watu wasiojulikana hata nguo za marehemu nazo aliuzuwa,nyie ogopa damu ya mtu,kuna mtu ukimuua unaweza kujipeleka mwenyewe kituo cha polisi
Kuna damu zingine sio yani
Hapo kuna ukakasi mkuu.asilimia nyingi zinaonyesha jamaa ni muuaji.
 
Hapo kuna ukakasi mkuu.asilimia nyingi zinaonyesha jamaa ni muuaji.
Na hata kama angekuwa ananunua vitu used basi kuna mtu mmoja tu angalau angemtaja kwamba bwana huu mzigo aliniconektia fulani,
Hata ungekuwa mgeni dar huwezi nunua vitu used bila kuwa na mtu kati,bado jamaa ana hatia
 
Jamaa itakuwa alinunua pikipiki kwa bei chee na akujua kama mtu kauliwa kaporwa.aingii akilini uue afu kesho utembee na pkpk ya marehemu.
Bado ya kununua bei chee haiwezi kosa mtu kati hata siku moja lazima kuna aliyekupa taarifa kwamba kuna mzigo mahali unauzwa
 
Vitu gani vingine alivyokutwa navyo? Kama una taarifa zaidi tofauti na zilizowekwa kwenye habari iliyoletwa, kwamba kuna vitu vingine zaidi ya pikipiki, ziweke hapa tuzifahamu.

Halafu kwanini mahakama haikutaka kujiridhisha kuhusu umiliki wa pikipiki aliyokamatwa nayo mrufani? Kuna vitu gani vingine alivyokutwa navyo ambavyo ni vya marehemu tofauti na pikipiki?
Soma post #56 iliyoandikwa na wewe mwenyewe. Ume-quote sentensi inayosema hivyo halafu huku unaniuliza tena!!!
 
Yeye aliomba TRA waje thibitisha umiliki wa pikipiki, TRA hawajatokea
Aliye uawa hakua mmiliki, sasa mtuhumiwa alitaka TRA waje kufanya nini mahakamani?????? Kumbuka mmiliki halisi alisha fika mahakamani kuthibitisha!
 
Yaani wanatazama vitu vya kumkuta navyo mtuhumiwa kama vidhibiti na ndio wanafanyia maamuzi. Ni vipi kama muhusika alibambikiwa kesi?

Forensics wa Tanzania wamelala sana aisee.
 
Muuaji hawezi UA, akachukua pikipiki afu kesho aiendeshe maeneo hayo hayo
Hapa ndipo intelligence inatakiwa kuzingatia. Mtu aibe mali ya wizi tena m'miliki wake ameuwawa halafu atembee nayo mchana kweupe.
 
Ila unajua kimsingi mtu anayestahili kuhumiwa kifo ni yule ambaye amekutwa na hatia ya First degree murder yaani yule cold blooded killer. Amekatwa in action na akakiri kabisa wazi wazi bila doubt kuwa yeye kaua. Ila sio mtu kwa ushahidi wa kuunga unga unamtuhumu then unamhukumu.

Watu wanabambikiwa misala.
 
Muuaji hawezi UA, akachukua pikipiki afu kesho aiendeshe maeneo hayo hayo
Kwa nini hawezi? Wapo watu wenye uthubutu huo- mfano ndo huyo njemba.
Halafu kumbuka damu ya mtu haipotei kihivi-hivi. Mbona hasemi bayana aliipata-pataje hiyo pikipiki??. Wahenga walisema "anayekutwa na ngozi ndiye mwizi"
 
Hapa ndipo intelligence inatakiwa kuzingatia. Mtu aibe mali ya wizi tena m'miliki wake ameuwawa halafu atembee nayo mchana kweupe.
Ndiyo. Damu ya marehemu (Roho ya marehemu) haitomwacha salama. Ni kama amepatwa na "Uchizi fulani/Akili zimemruka" na anajitangaza alichotenda.
 
Ila unajua kimsingi mtu anayestahili kuhumiwa kifo ni yule ambaye amekutwa na hatia ya First degree murder yaani yule cold blooded killer. Amekatwa in action na akakiri kabisa wazi wazi bila doubt kuwa yeye kaua. Ila sio mtu kwa ushahidi wa kuunga unga unamtuhumu then unamhukumu.

Watu wanabambikiwa misala.
Si angeieleza Mahakama kwamba hiyo pikipiki ameipataje?
 
Unamhukumu vipi mtu kufa kwa ushahidi wa kimazingira tu?
Tafuta hukumu halisi usome. Mleta mada siyo mtaalamu wa sheria au ni mwandishi asiye na uelewa wa maswala ya sheria. Ukisoma hukumu zote mbili, ya mahakama kuu na ile ya mahakama ya rufani, utaona kuwa mahakama zote ziko sawa kufikia maamuzi hayo.
 
Huyo muuaji aache upumbavu anakata rufaani ya nini sasa, utetezi wake hauna mashiko
Hakuna mtu anaeua afu kesho akaendelea kua hapo hapo, wengi hukimbia mazingira huyu kesi sio yake kilichomponza ni bodaboda aelezee alipoitoa kinachombana kuonekana yeye ndio mhusika ni hio bodaboda, angeeleza vizuri bodaboda imekuaje akawa nayo yeye na sio yake
 
Ila unajua kimsingi mtu anayestahili kuhumiwa kifo ni yule ambaye amekutwa na hatia ya First degree murder yaani yule cold blooded killer. Amekatwa in action na akakiri kabisa wazi wazi bila doubt kuwa yeye kaua. Ila sio mtu kwa ushahidi wa kuunga unga unamtuhumu then unamhukumu.

Watu wanabambikiwa misala.
Issue ya huyu jamaa inaonekana ana connection na wauaji au muuaji ndio maana wakambananisha yeye aseme imekuaje boda awe nayo yeye na sio yake ? Najua hili swali ameshindwa kijibu na ndio lililomfunga
 
Back
Top Bottom