Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Yeye aliyehukumiwa ilibidi awaonyeshe waliyemuuzia pikipiki, sasa kama pikipiki ilitoka kwa marehemu ikaja kwake, tena kwa tofauti ya siku moja, unategemea nini?Unamhukumu vipi mtu kufa kwa ushahidi wa kimazingira tu?
Na hilo ndo ombi lake kwenye rufaaMmmhh, aisee[emoji848]
Muuaji hawezi UA, akachukua pikipiki afu kesho aiendeshe maeneo hayo hayo
Ndo maana twasema kuna kitu hakiko sawa.Aeleze kaipaje hiyo pikipiki??-- yaani mtu kauawa leo, kaporwa pikipiki hala kesho anapatikana mtu na hiyo pikipiki !!, inabidi huyo mtu aieleze mahakama imeipataje na akishindwa basi ule usemi wa; "Aliyekutwa na ngozi-----" unanakuwa umetimia.
Ndo maana twasema kuna kitu hakiko sawa.
Mtu hawezi UA afu siku ifuatayo akaitumia hiyo pikipiki
Sio kazi ya mtuhumiwa kusaidia upande wa mashtaka kuprove kesi yaoYeye aliyehukumiwa ilibidi awaonyeshe waliyemuuzia pikipiki, sasa kama pikipiki ilitoka kwa marehemu ikaja kwake, tena kwa tofauti ya siku moja, unategemea nini?
Nimeshangaa Sana aisee kumbe mahakama kuu nako hakuna kabisa uwelediUnamhukumu vipi mtu kufa kwa ushahidi wa kimazingira tu?
Anatakiwa yeye athibitishe sio muuaji na amuonyehe muuaji busKwahiyo Jamaa amehukumiwa kifo kwa sababu tu alikamwatwa na Pikipiki aliyokuwa anaendesha Marehemu?
Kwamba ameua wamethibitishaje sasa?
Kesi ya mauwaji haijathibitishwa.
Wangethibitisha ya wizi, (kwamba mshitakiwa/mrufani ndiye aliye iba pikipiki), basi wangeweza kuthibitisha ya mauwaji.
Kesi yake hapo ni kupatilkana na mali ya wizi.
Naona mahakama imetumia tu “short cut”
There is no “guilty beyond a reasonable doubt” sentencing here.
Kumuhukumu mtu adhabu ya kifo kwa kukutwa na mali ya wizi ni uvivu wao mahakama, waendesha mashtaka pamoja na wapelelezi wa kesi ya wizi na mauwaji.
Aeleze basi yeye aliipataje. Halafu kakutwa na vitu vya marehemu, alivipata wapi?Muuaji hawezi UA, akachukua pikipiki afu kesho aiendeshe maeneo hayo hayo
Aeleze sasa aliipataje?Unadhani aliyeua ni mpumbavu kiasi cha kuendesha pikipiki ya marehemu kesho yake?
Awataje waliomuuzia pikipiki sasaMatukio yote ya uporaji kitu kikiibiwa,hakiuzwi mtaa huo wala hakitatumika mtaa huo.
Huyu akaombe mapitio atachomoka
Upande wa mashtaka umeprove kuwa yeye amehusika kwa kumkuta na hiyo pikipiki na vitu vingine vya marehemu. Sijui wewe unataka wafanye nini zaidi??? Yeye mtuhumiwa kama hakuhusika na mauaji aseme sasa pikipiki na hivyo vitu amevitoa wapi???Sio kazi ya mtuhumiwa kusaidia upande wa mashtaka kuprove kesi yao
Habari iliyoko hapa ni kwamba amehukumiwa kunyongwa kwa kukutwa na pikipiki ambayo wanasema ni ya marehemu. Lakini pia kabla ya kusema pikipiki hiyo ameipata wapi, ni lazima kwanza wathibitishe kuwa pikipiki iliyokamatwa ndiyo hiyo aliyokuwa akiiendesha marehemu. Na hili linawezekana kwa kupata taarifa za umiliki kutoka TRA.Kwani yeye kaeleza kaipataje hiyo pikipiki??
Vitu gani vingine alivyokutwa navyo? Kama una taarifa zaidi tofauti na zilizowekwa kwenye habari iliyoletwa, kwamba kuna vitu vingine zaidi ya pikipiki, ziweke hapa tuzifahamu.Upande wa mashtaka umeprove kuwa yeye amehusika kwa kumkuta na hiyo pikipiki na vitu vingine vya marehemu. Sijui wewe unataka wafanye nini zaidi??? Yeye mtuhumiwa kama hakuhusika na mauaji aseme sasa pikipiki na hivyo vitu amevitoa wapi???
Hiyo pikipiki mmiliki wake ni nani? Ushahidi wa umiliki ulikuwepo?Awataje waliomuuzia pikipiki sasa
Kesi za kisheria hazitolewi maamuzi kwa imani, bali kwa ushahidi usio na shaka. Yani “guilty beyond reasonable doubt” not about faith or gut feeling.Naamini huyu ni muuaji