aimi lyatuu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 765
- 849
Hii nchi ya ******* sana
Wanataka tusiende kwa wingin. Sisi tunaenda hapohapo. Ujanja tu. HawtarushaAcheni UHUNI, tutafika Mahakamani kufuatilia shauri la Mhe. Lissu LIVE. Nani asiyejua mnatoa hukumu zenu kwa kufuata MAELEKEZO kutoka Ikulu? Mahakama ilikwisha wekwa MFUKONI na serikali ya CCM siku nyingi.
Wanafanya hivi ili kuwaamisha wazungu kuwa TANZANIA kuna Uhuru wa vyombo vya habari pamoja na mahakama huru zenye kutenda hakiMm spend siasa lkn hii ni dalili kuwa kesho lisu ataachwa huru,
Ume confirm kuwa ni fake? Maana Mahakama hawajapost kwenye pages zaoNi sahih
Ni Sahihi kabisaa
IPO kwenye page Yao ya Instagram pia hata uongozi wa jamiiforum wamepost hapa kwenye jukwaa la siasaUme confirm kuwa ni fake? Maana Mahakama hawajapost kwenye pages zao
Umeyasema yote na kuyamaliza mkuu 'Palm Beach'.Pamoja na hii (kama tu notice hii sio feki au bosheni), wapenzi na wafuasi wa CHADEMA fikeni mahakamani kwa wingi kumpa support kiongozi wenu Tundu Lissu...
Aidha, mahakama wekeni TV screens za kutosha nje ya mahakama penye uwazi ili watakaoshindwa kupata nafasi ndani ya mahakama wafuatilie kesi hiyo kwa nje....
By the way, kwanini source iwe kiungo cha mahakama tu..?
Kama kweli mahakama inataka kufanya haki itendeke na ionekane kutendeka ni kwanini wasiruhusu vyombo vingine vya habari vilivyo tayari hususani hizi YouTube channels ambazo ni accessible kwa watu wengi na popote walipo, mfano JamboTV, ChanzoTV, Mwanzo Plus TV nk nk zirushe matangazo hayo..?
Urasimu wa kesi hii kurushwa na source Moja tu ya mahakama pekee itasababisha kufanyika kwa censorship, kwa ku - skip baadhi ya matukio kwa vile serikali kujiona inaaibika...
Hii ni kinyume kabisa na kujinasibu kwa mahakama kuwa inataka kuimarisha openess ya uendeshaji wa mashauri yake...
Asante EU na Kenya.Kwa mujibu wa mahakama wenyewe watarusha matangazo ya moja Kwa moja kutoka mahakamani.
Kwa mara ya Kwanza tutashudia matangazo hayo ya mahakama ikiwa kweli Wanafanya hivyoView attachment 3353060
😀😀😀kwani imezuia watu wasiende?HII HABARI NI FEKI ILI WATU TUSIENDE MAHAKAMANI
Hii Mpya na ni kali