Mahakama yasema kesi ya Tundu Lissu, Juni 2, 2025 itakuwa 'Live'

Acheni UHUNI, tutafika Mahakamani kufuatilia shauri la Mhe. Lissu LIVE. Nani asiyejua mnatoa hukumu zenu kwa kufuata MAELEKEZO kutoka Ikulu? Mahakama ilikwisha wekwa MFUKONI na serikali ya CCM siku nyingi.
Wanataka tusiende kwa wingin. Sisi tunaenda hapohapo. Ujanja tu. Hawtarusha
 
Mahakama ipo "biased", kwanini Mawakili wa Serikali wasiwe na idadi?
Kwanini iwe Mawakili wa serikali na wengine 10?
Hao kumi akina nani?

My take: Hapa kuna watu wasio na idadi kuingia kwa mgongo wa Mawakili wa Serikali.
Pili, hao watu kumi, Mahakama ilipaswa kiwaeleza ni akina nani. Hakuna haki hapo. Mahakama imepewa maelekezo.
 
Hivyo ndivyo inavyotakiwa, kudos Mahakama, chukueni maua yenu 💐💐💐💐💐🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
 
Tafsiri hii ya mahakama ni kwamba. Mtuhumiwa atafikishwa mahakamani, lakini kesi itaendeshwa kwa MTANDAO.
 
Mahakamani watu wataenda tu, kwanini wasitangaze mapema na kuruhusu vyombo vinavyotaka kurusha matangazo virushe?
 
Polisi wataanza kutumia taarifa hii kuwavuruga watakaokwenda hapo mahakamani.

Hata hivyo, taarifa yenyewe imekaa kama mtego wa kunasa watu. Watu wasiende mahakamani wakisubiri kupewa taarifa ya jinsi ya kuingia kwenye website ya mahakama?
 
a
Mm spend siasa lkn hii ni dalili kuwa kesho lisu ataachwa huru,
Wanafanya hivi ili kuwaamisha wazungu kuwa TANZANIA kuna Uhuru wa vyombo vya habari pamoja na mahakama huru zenye kutenda haki
Hii ni njia ya kinafiki Tu Kwa wazungu
 
Umeyasema yote na kuyamaliza mkuu 'Palm Beach'.

Hawa watu sasa wanatapatapa sana.

Hapa wamegundua kuwa watu kuja mahakamani kunawatia mori waTanzania kila mahali walipo kuunga mkono mabadiliko.

Hii ni njia yao ya kujihami tu; but it's too late!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…