Mahakama yasema kesi ya Tundu Lissu, Juni 2, 2025 itakuwa 'Live'

Wamebana wameachiaaa
Tmk family
 
Sisi tutafika Mahakamani kwa amani endeleeni kurusha live kwa walionje ya Dar mana ile link yenu ina load muda wote hadi session inaisha
 
Halafu wataagiza TCRA kubinya bandwidth ili watetezi wasisikike wanapoishoot maswali serikali
 
Upande wa Jamhuri wajipange haswa,Mawakili watakuwa na weledi wa juu kujipatia ujiko kwa hii platform.

NB:Kwa TCRA hii,kesho network inaweza zimwa miji mikubwa yote.
 
Nice
 
Lazima kuna shinikizo
Ni hofu kubwa iliyo waingia mioyoni mwao.
Umati uliojitokeza mara ya kwanza hapo mahakamani, na picha zilivyo mwonyesha Tundu Lissu akiwa mahakamani hapo hazikuwa za kuwatia moyo hawa watu.

Hatua hii ni kujaribu ku'manage' hali hiyo isiwe hasi sana kwao kwa upande wa wananchi.
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€kwani imezuia watu wasiende?
Soma barua hiyo tena vizuri.
Inaeleza uwepo wa mahakama 10 zingine zinazoendeshwa hapo.
Polisi sasa watatumia kisingizio hicho kuwafukuza watakao kwenda hapo.
 
Kwa mujibu wa mahakama wenyewe watarusha matangazo ya moja Kwa moja kutoka mahakamani.
Kwa mara ya Kwanza tutashudia matangazo hayo ya mahakama ikiwa kweli Wanafanya hivyoView attachment 3353060
Malengo Yao .

1. Kuwa-please western people kinafki
2. Kudhibiti watu kufika mahakamani kwa kigezo kwamba wanaweza kufuatilia kesi hata wakiwa nyumbani
 
Kwa mujibu wa mahakama wenyewe watarusha matangazo ya moja Kwa moja kutoka mahakamani.
Kwa mara ya Kwanza tutashudia matangazo hayo ya mahakama ikiwa kweli Wanafanya hivyoView attachment 3353060
CCM wamejiamini nn? Mara mahakama inaamuru tume ya uchaguzi iwe huru kweli vyombo vya usalama vifanye kazi zake za msingi bila kuathiri upigaji kura na kutangazwa kwa matokeo
 
Nimeshangaa mbunge kughushi elimu yake halafu hadi Sasa hajakamatwa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Abasi tarimba
Kama yeye ndiye aliyeshiriki kuzitunga hizo Sheria halafu zimhukumu mwenyewe ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค” Ndugu ungekuwa wewe ungeweza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ