Mahakama yasema kesi ya Tundu Lissu, Juni 2, 2025 itakuwa 'Live'

Ikiwa TU huku mitaani kwenye hizo taasisi za serikali mambo hukwama Kwa kisingizio Cha kukatika kwa mtandao ije kuwa kesi kusikilizwa online kweliπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” Hakika serikali za Africa hazijawajua kabisa raia wake ndiyo Maana hujifanyia yale watakayo wao
 
mujibu wa mahakama
Wajitahidi kuweka microphone 🎀 na kamera kibao sauti za mawakili wa pande zote zisikike sauti ya digital stereo, na mwanga wa ndani ya chamber kwa ajili ya muonekano wa picha uwe HD kama mahakama za South Africa, Kenya, Uganda, Rwanda kwa hapa Bara Afrika

TOKA MAKTABA :
KESI YA NAIBU RAIS GACHAGUA


View: https://m.youtube.com/watch?v=U-x9ehG2J98
CHEKI DELIVERY HD DIGITAL STEREO
28 May 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=mpOhpQpxKfw
Statement Delivered by the Chief Registrar of the Judiciary of Tanzania, Hon. Eva Nkya, on Behalf of His Lordship, the Principal Judge of the High Court of Tanzania, Dr. Mustapher Mohamed Siyani, Following an Invitation Extended to Him to Address the WIPO Committee on Development and Intellectual Property on 8 May 2025
SOURCE : Mahakama ya Tanzania
 
Kwa hiyo kesho tukae mbele ya screen zetu majumbani! Natamani kumwona Kibatara na timu yake.
 
Soma barua hiyo tena vizuri.
Inaeleza uwepo wa mahakama 10 zingine zinazoendeshwa hapo.
Polisi sasa watatumia kisingizio hicho kuwafukuza watakao kwenda hapo.
Siku zote mahakamani kunajaa watu zaidi ya 300 leo eti ni 80 tuπŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi hawa ni wapumbavu?

Kwanini kesi isiwekwe live YouTube kwenye channel yao?
 
Tunataka kitu cha quality ya juu kesho, kinyume na hapo itabidi tujazane kwa wingi ndani na ktk viunga vya karibu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu ya Kisutu, Bibi Titi Road Dar es Salaam. Sisi umma tayari tuna testi mitambo ya linki yenu.

Ahadi ni deni, muungwana ni vitendo, kazi kwenu wahusika :

USIKILIZWAJI WA KESI YA TUNDU LISSU KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU, DAR ES SALAAM 02 June 2025​


View: https://m.youtube.com/watch?v=-yptXfsexxYSource : Mahakama ya Tanzania

TOKA MAKTABA : 23 APRIL 2025


View: https://m.youtube.com/watch?v=XnvB7FVRC1w
Mtendaji Mkuu wa Mahakama akisema wana bajeti ya kutosha


View: https://m.youtube.com/watch?v=FDRkIUBWf6c
 
Ni vema TBC ikatumika ili angalau ipate watazamaji
 
Tunataka kitu cha quality ya juu kesho, kinyume na hapo itabidi tujazane kwa wingi ndani na ktk viunga vya karibu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu ya Kisutu, Bibi Titi Road Dar es Salaam



View: https://m.youtube.com/watch?v=-yptXfsexxY
Nashangaa sana hawa watu hicho kilink uchwara walichoweka mwisho watu 100 kinadai na password.

Wanashindwa nini kuiweka YouTube kwenye channel yao kama Kenya wanavyofanya?
 
Hivyo ndivyo inavyotakiwa, kudos Mahakama, chukueni maua yenu πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
Mahakama ipo "biased", kwanini Mawakili wa Serikali wasiwe na idadi?
Kwanini iwe Mawakili wa serikali na wengine 10?
Hao kumi akina nani?

My take: Hapa kuna watu wasio na idadi kuingia kwa mgongo wa Mawakili wa Serikali.
Pili, hao watu kumi, Mahakama ilipaswa kiwaeleza ni akina nani. Hakuna haki hapo. Mahakama imepewa maelekezo.
 
Sasa ujue ulaghai wa barua yenyewe hiyo!
Mahakama ipo "biased", kwanini Mawakili wa Serikali wasiwe na idadi?
Kwanini iwe Mawakili wa serikali na wengine 10?
Hao kumi akina nani?

My take: Hapa kuna watu wasio na idadi kuingia kwa mgongo wa Mawakili wa Serikali.
Pili, hao watu kumi, Mahakama ilipaswa kiwaeleza ni akina nani. Hakuna haki hapo. Mahakama imepewa maelekezo.
 
MAWAKILI WA SERIKALI MJENGE UTAMADUNI WA UWAZI,

Baada ya kesi kesho tunataka mawakili wa serikali wawe na kawaida ya kuongea na waandishi wa habari kutoa muktasari wa kesi ilivyoenda badala ya kawaida yenu ya kukimbia na kukacha waandishi wa habari.

Maana upande wa utetezi mara zote wamekuwa na utaratibu mzuri kutupatia muktasari ya nini kimejiri kupitia kina Peter Kibatala, Dr. Nshala, Mpoki Mpale na timu yake, lakini mawakili waandamizi wa serikali wana utamaduni wa kujificha na kukimbia waandishi wa habari.
 
Sisi wengine tutasimama nje
Mahakama ipo "biased", kwanini Mawakili wa Serikali wasiwe na idadi?
Kwanini iwe Mawakili wa serikali na wengine 10?
Hao kumi akina nani?

My take: Hapa kuna watu wasio na idadi kuingia kwa mgongo wa Mawakili wa Serikali.
Pili, hao watu kumi, Mahakama ilipaswa kiwaeleza ni akina nani. Hakuna haki hapo. Mahakama imepewa maelekezo.
 
Na mimi swali langu kuu ni hilo kwanini walazimishe hiyo link yao isiyo na uwezo wa kubeba hata watu 100 ba kusumbua na mara nyinginw ikuombe password shida yote hii ya nini?

Wanayo YouTube cbannel ajabu wanastream taarifa nyingine za uchawa kesi kama hii yenye maslahi ya umma wanapiga sarakasi.

Wakirusha YouTube kila mtu anaingia tu kwa urahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…