Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO


Unaongea SPECULATIONS tu....Kama ulishuhudia wajumbe wakihongwa basi SAWA.....

Kamati Kuu ndiyo iliyopitisha jina la mh.FA na kumuacha mshindi wa kwanza mh.Adadi Rajabu....

Kwa hiyo mh.FA aliihonga kamati kuu chini ya mwenyekiti wetu ?!!
 
Hata kama ni ushabiki, huu sio ushindani wa kibiashara (which is acceptable) bali huu ni wizi(which is not acceptable) hauwez kuwa pessimist uharibu taratibu na mambo ya watu tukuchekee, hata kama ni feelings za kishabki katika hili tunashauriana tu kwa maslahi mapana.
 
Huo mchezo wa kuigiza.
Kwani tangu mwanzo huyo hakimu aliyetoa hukumu alikuwa hajui kuwa Hana uwezo wa kusikiliza hyo kesi?
Vipi watu wa mahakama nao walikuwa hawajui?
Yes walishalipwa na walishakula, mahakama imeamuru warudishe au mali zao zishikiliwe
 
Lakini hapa Mimi naona mwenye makosa Ni MAHAKAMA YA ILALA.
Sasa wakizirudisha hizo hela ndo itakuwa wameshindwa kesi?.
Mimi ndo maana masuala ya mahakama sitaki haha kuyafuatilia.
Niliachaga kesi njiani kwa ajili ya sarakasi zao.
Ulitegemea msando tapeli ashinde kesi bila kuhonga?hana historia ya kushinda kesi bila rushwa sasa mgao unamtokea puani chawa wa ccm.....yani lazima degedege limpate halafu mama DI melo hajui kuremba kesi wala kula rushwa yao
 
Unaongea SPECULATIONS tu....Kama ulishuhudia wajumbe wakihongwa basi SAWA.....

Kamati Kuu ndiyo iliyopitisha jina la mh.FA na kumuacha mshindi wa kwanza mh.Adadi Rajabu....

Kwa hiyo mh.FA aliihonga kamati kuu chini ya mwenyekiti wetu ?!!

Unaongelea NEC huku Unajibu hoja iliyoongelea ushindi wa pili alivyoupata kwa wajumbe.. ndio maana faiza foxy huwa anasema shuleni mmeenda kusomea ujinga
 
Nenda kasome Hiyo Judgement kuna grounds 10 za wao kukata rufaa usijifiche kwenye sababu moja.
 
Rudia tena kupitia hiyo article. Tigo alikiwa hadeal na wasanii moja kwa moja. Kampuni ya cellurnet alikuwa dalali. Anaongea na wasanii anakubaliana dau na kusaini nao mkataba. Then anaenda kwa makampuni ya simu kuwauzia haki za kutumia nyimbo zao. Kwa hiyo anakula cha udalali. Na tigo ana mkataba na hiyo kampuni. Na kwenye utetezi wao Tigo wanasema anaetakiwa kudaiwa ni hiyo kampuni na sio Tigo.
 
Ndio najua, sasa kwanini mahakama iliamuru tigo walipe na sio Cellulant inaonekana kuna kitu kipo katikati

Hao tigo ukute ndio haohao Cellulant Ltd
 
Hii kesi walishindwa tangu mwanzoni kabisa. Akaja Alberto Msando akanunua kesi wakacollude na mahakimu na watu wa Tigo kesi ikaisha wakavuta hela fasta yaliyoendelea mnajua. Nadhani watu wa Tigo walidelay kuappeal ili hela zilipwe wasepe zao, ukifuatilia unaweza kuta wote waliokuwa wanahusika upande wa Tigo walishatimua zao
 
Unaongelea NEC huku Unajibu hoja iliyoongelea ushindi wa pili alivyoupata kwa wajumbe.. ndio maana faiza foxy huwa anasema shuleni mmeenda kusomea ujinga
Niambie tena hiyo NEC nimeiongelea wapi?!!!

Hivi unaujua mchakato wa ubunge CCM?!!
 

Ni kweli ila kwenye hii kesi ishu ya msingi ni ilikuwaje tigo waliamuriwa kulipa wakati wanasema walichukua kutoka kwa wakala na kiutaratibu hao mawakala (Cellulant) inabid walipwe na Tigo sasa hizo hela zilienda wapi na hapo mahakamani Cellulant waliitwa? na kama waliitwa walijiteteaje hadi ikafikiwa tigo ndio walipe?
 
😲😲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…