Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

Madeni ya maharage huko alipo tumbo joto..... Asije nae akaunganishwa tu kwenye list hii
 
Kwa hiyo Fedha za Okwi walizozila kina Kaburu zilikua Fedha za Biashara haramu?
 
Nilijua tuu huyu hachomoi,
Unakumbuka mwaka 2015 hans alivokuwa anamrushia maneno JPM pale ITV,kuhusu mzozo wao wa mizani za barabarani

Pia ni mmoja wa mabapari waliojitokeza hadharani pale Mlimani city kuichangia Cdm,so inawezekana ukijumulisha na hiyo kesi bado atakuwa alikuwa kwenye rada anatafutwa
 
Hiyo ndio sehemu yakupatia pesa hasa ukiwa Na mtaji, hujiulizi kwanini mitume Na manabii wanakuwa matajiri fasta? Sababu ni tasisi za kijamii hazitozwi kodi wanaingiza vitu vingi kwa gharama na fuu. wakishilikiana na wafanya biashara, Hans mjanja alipo ingia muheshimiwa malori yake amekodisha zambia na mengine machache yako tz, nita shangaa kama atakua bado yuko nchini mana aliokuwa anakula nao hadi analeta jeuri wako benchi, na hawa wa washwi washwi tena wametulia tulii watu wafanye kaziii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…