Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

Madeni ya maharage huko alipo tumbo joto..... Asije nae akaunganishwa tu kwenye list hii
 
Utakatishaji fedha au Money laundering kwa kifupi ni kuchukua mapato yatokanayo na biashara haramu kama uuzaji wa dawa za kulevya, Silaha ama kusafirisha binadamu nk na kuyaingiza mapato hayo kwenye mfumo halali wa uchumi wa nchi kwa kufanya biashara halali
Kwa hiyo Fedha za Okwi walizozila kina Kaburu zilikua Fedha za Biashara haramu?
 
Nilijua tuu huyu hachomoi,
Unakumbuka mwaka 2015 hans alivokuwa anamrushia maneno JPM pale ITV,kuhusu mzozo wao wa mizani za barabarani

Pia ni mmoja wa mabapari waliojitokeza hadharani pale Mlimani city kuichangia Cdm,so inawezekana ukijumulisha na hiyo kesi bado atakuwa alikuwa kwenye rada anatafutwa
 
Sijui ya nini wafanyabiashara wakubwa wanapenda ujinga ujinga wa mavitu kama haya.!

Sio Manji,sio Hans Poppe,sio Davis Mosha,sio Mo Dewji,Malinzi,etc,etc...Wapuuzi hawa kwanini wasikae kwenye biashara zao seriously?

Wanaingia humo wanajiletea ma-attention yasiyo na maana...

Look at Manji,he is down now,Poppe is going down,Malinzi is down,Davis Mosha is down..

Maupuuzi ya kutaka kujulikana,what the fvck is this?

They are paying now!Watajijua
Hiyo ndio sehemu yakupatia pesa hasa ukiwa Na mtaji, hujiulizi kwanini mitume Na manabii wanakuwa matajiri fasta? Sababu ni tasisi za kijamii hazitozwi kodi wanaingiza vitu vingi kwa gharama na fuu. wakishilikiana na wafanya biashara, Hans mjanja alipo ingia muheshimiwa malori yake amekodisha zambia na mengine machache yako tz, nita shangaa kama atakua bado yuko nchini mana aliokuwa anakula nao hadi analeta jeuri wako benchi, na hawa wa washwi washwi tena wametulia tulii watu wafanye kaziii
 
Back
Top Bottom