Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Muhuni wa Mr slow huyo.Tumia akili yako vzr,Mungu anaweza kukupa utahira siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhuni wa Mr slow huyo.Tumia akili yako vzr,Mungu anaweza kukupa utahira siku moja
Alikasirika kuhisi aliitwa wamchongo🤔.
Mbona unakoment Mara nyingi mzee,mbona si tushajua mlengo wako zaman sana?Ila ata pole pole hakutegemea kuwa alivyo Sasamawakili wa Mbowe wanapoteza na kuchezea muda wa Mahakama kwa kuleta mapingamizi yasiyo na kichwa wala miguuu ambayo kimsingi yana chelewesha haki kutendeka.
Wanajua wanacho kifanya ila mahakama isikubali kuchezewa.
Leo hii Katibu mkuu wa chadema John Mnyika ana mkejeli na kumdhihaki Jaji anaye sikiliza kesi hiyo je ni sawa hiyo?!
Mnyika na genge lake la kihuni wana lengo la kuichafua mahakama na Majaji, hilo lisifumbiwe macho,.hatua za kisheria zichukuliwe.
Si Kesi ya Ugaidi ya Mbowe inaendelea kesho? Ngoja ushahidi kuntu utakapowekwa hadharani ndio utajua Ole Sabaya na Mbowe kundi moja. Mwisho wa siku badala ya kulalamika anaonewa, mtaomba apewe kifungo kidogo na haitakuwa!Sabaya ni jambazi ! haihitaji hata kuwa na elimu ya sekondari kulijua hilo.
Kwani nani aliyefoji namba za gari za umoja wa mataifa kwenda kufanya ujambazi kwenye hoteli ya Mbowe?
Uzuri ni kuwa teknolojia haidanganyi kaumbuka mapema CCTV zikaacha footage yake asivyokua na akili! awamu ile CCM ilitumia akili ndogo maana ni rahisi kuwabulldozz na kuwapa maelekezo wanaenda kutekeleza bila kuhoji maana ni hisani ya vyeo ndio wanategemea kuishi
Wahivi tunaokooni Hadi haki ipatikane..na inaelekea wameathirika ktk kufanya maamuzi.
Lakini ujumbe wa Mchome kumbe ulimchoma jaji. Mchome popote ulipo tembea kifua mbele ujumbe wako umefika...naona Jaji kaamua kujibu madongo ya shahidi wa utetezi anayeitwa Mchome.
..Jaji hatakiwi kushambulia mashahidi binafsi, anatakiwa achambue ushahidi kwa mujibu wa sheria.
Jaji siyo malaika wewe kirobotomawakili wa Mbowe wanapoteza na kuchezea muda wa Mahakama kwa kuleta mapingamizi yasiyo na kichwa wala miguuu ambayo kimsingi yana chelewesha haki kutendeka.
Wanajua wanacho kifanya ila mahakama isikubali kuchezewa.
Leo hii Katibu mkuu wa chadema John Mnyika ana mkejeli na kumdhihaki Jaji anaye sikiliza kesi hiyo je ni sawa hiyo?!
Mnyika na genge lake la kihuni wana lengo la kuichafua mahakama na Majaji, hilo lisifumbiwe macho,.hatua za kisheria zichukuliwe.
Kumbuka ni mteule wa mzee wa udevu mrefu na bichwa mbonyeo, hivyo ni tingatinga lake, mwenyewe aliita ze bulldozers lake🤔.Jaji siyo malaika wewe kiroboto
Mkuu sasa wale mawakili waliopo kwa mwanasheria mkuu pale kivukoni wanafanya kazi gani sasa?Kwahiyo wakili wa serikali siyo mtumishi wa umma? hatari sn
Kweli mawakili wa Gaidi Mbowe na wenzake ni bure kabisa. Wanafanya court battle kwa kutegemea huruma ya akina Mmawia na tindo! Nafikiri ni wakati wa kuanzisha ashtagKuwepo Wazungu Mahakamani siyo kigezo cha kushinda mashauri, nina wasiwasi na uwezo wa Mawakili wa Gaidi Mbowe
Kwani judge kakosea wapi?, Maana hata kibatala hajapinga hukumu,,, jw kama mahakama imegoma kukubali kuwa marehemu ameteswa kabla ya kutoa maelezo, nini impact yake kwa hii kesi, maana kama mshitaki anadai kutesa ili asaini statement tarehe 9august 2020,wakati document inasema statement imesainiwa tarehe 7august 2020,hapo ni wazi mtuhumiwa kachemka,
Lakini kiufupi hapa bado sioni kesi
Biti gani ametembea nayo hapo?. Unaona wazi kabisa anapindisha corus kwa kulazimisha
Yan wakat anaanza alianza vzr huko mbele sijui amekuja kuwaje aseeBiti gani ametembea nayo hapo?. Unaona wazi kabisa anapindisha corus kwa kulazimisha
Mbowe na Sabaya waanzaje kuwa kundi moja ?Si Kesi ya Ugaidi ya Mbowe inaendelea kesho? Ngoja ushahidi kuntu utakapowekwa hadharani ndio utajua Ole Sabaya na Mbowe kundi moja. Mwisho wa siku badala ya kulalamika anaonewa, mtaomba apewe kifungo kidogo na haitakuwa!
Wote wana kesi mahakamani. Wote wako mahabusu.Mbowe na Sabaya waanzaje kuwa kundi moja ?
Are you insane?