Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

Mbona unakoment Mara nyingi mzee,mbona si tushajua mlengo wako zaman sana?Ila ata pole pole hakutegemea kuwa alivyo Sasa
 
Si Kesi ya Ugaidi ya Mbowe inaendelea kesho? Ngoja ushahidi kuntu utakapowekwa hadharani ndio utajua Ole Sabaya na Mbowe kundi moja. Mwisho wa siku badala ya kulalamika anaonewa, mtaomba apewe kifungo kidogo na haitakuwa!
 
..naona Jaji kaamua kujibu madongo ya shahidi wa utetezi anayeitwa Mchome.

..Jaji hatakiwi kushambulia mashahidi binafsi, anatakiwa achambue ushahidi kwa mujibu wa sheria.
Lakini ujumbe wa Mchome kumbe ulimchoma jaji. Mchome popote ulipo tembea kifua mbele ujumbe wako umefika.
 
Jaji siyo malaika wewe kiroboto
 
Hii kesi kama Samia hajui ama anajua ila analeta kiburi kimemshushia credit kwa kiwango kikubwa sana. Na kama haujui kitakachomtokea asubiri 2025. Ndani ya CCM wenyewe wengi hawapendi hii kesi. Lazima watamuibukia watu kuchukua fomu ndani ya CCM. Mtu kapanda na DESA mahakamani yote hayo Hakimu kafunika anajiona haoni. Kingai na wenzake wametesa wenzao leo wanajiona mafahari. Ila Kingai ajue kabisa hii dhambi itaenda nae popote pale. SSH kaingizwa king na yeye kajaa tele. Acha wamfunge Mbowe waendelee kutia tope nchi yetu.
 

Hoja za Mawakili Zina onyesha Kwamba Shahidi Aliteswa Tarehe 09 August 2020, Na Kwamba Hoja ya tatu Ya Maelezo Yaliandikwa Nje ya amuda wao Wameandika tarehe 09 August 2020, Ni wazi pale panapokiwa na Ushahidi Unapingana na Submission ni wazi Ushahidi unapaswa uaminike kwa sababu Submission ni Ufafanuzi wa Ushahidi, Katika Mazingira hayo Mahakama inarejea Maaamuzi yake wakati ina' resolve Mgogoro wa kwanza. Mahakama imeshindwa Ku' examine ni Tarehe gani Mshtakiwa aliteswa, Kwa sababu hiyo Basi Mahakama inabakia na Mkanganyiko.

Jaji: Na Kwa PGO ya 353 ya Kuhusu Kumpeleka Shahidi Kwa Daktari haiwezi Kusaidia Kwa sababu Mahakama ipo Kwemye Dilemma. Mahakama Inaona Sababu ya 2 ya Pingamizi Inaona Upande Wa Utetezi Umeshindwa Kujenga Vizuri na Kwa sababu hiyo Mahakama ina overule na Kutupa Pingamizi hilo.

Jaji: Nakuja sasa Kwenye Hoja za Kisheria Kwamba Maelezo yalichukuliwa Nje ya Muda.. Mahakama Inakubaliana Kwamba Mshtakiwa Alikamatwa Tarehe 05 August 2020 na Kwamba Maelezo Yalichukuliwa Tarehe 07 August 2020.
 
Si Kesi ya Ugaidi ya Mbowe inaendelea kesho? Ngoja ushahidi kuntu utakapowekwa hadharani ndio utajua Ole Sabaya na Mbowe kundi moja. Mwisho wa siku badala ya kulalamika anaonewa, mtaomba apewe kifungo kidogo na haitakuwa!
Mbowe na Sabaya waanzaje kuwa kundi moja ?

Are you insane?
 
Wanajamvi,
Inawezekana nilipitwa na yanayonisibu akilini au yalifanyika ila kutokana na mambo ya hapa na pale sikuiona.
Nauliza: katika kusherehekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika mwaka huu, Wafungwa ulitoka? Najua kwa mujibu wa Katiba, ni uamuzi wa Rais kufanya hivyo. Je, mwaka huu katika kusherehekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika msamaha ulitoka? Na kama ulitoka ni wafungwa wangapi walipata msamaha huo?
 
Stupid kwa hiyo hatuna mtetezi tena na mahakama ipo partial! Ok sasa wenyenchi up to you! akikujia njagu hovyo hovyo pambana uwezavyo kwa sababu huna mtetezi huko mbeleni! I say FIGHT. Hii ni kufa na kupona sasa. Piga nikupige! Akili itarudi baada ya kufanya jambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…