Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

Ukiwa na akili ndogo, wakati fulani watu wanaweza wasijue kuwa una akili ndogo kama huropoki.

Hivi kuna yeyote amesema kuna watu wanaenda mahakamani kwaajili ya kuwatisha majaji?
Mbona wakienda akina Masaweee hamuripoti?
Tueleze basi genius!
Ukiwa na akili ndogo, wakati fulani watu wanaweza wasijue kuwa una akili ndogo kama huropoki.

Hivi kuna yeyote amesema kuna watu wanaenda mahakamani kwaajili ya kuwatisha majaji?
 
Jaji anaandikiwa hukumu na mawakili wa serikali kazi yake yeye ni kuisoma tu hapo, acha wapige perdiem za kutosha
Nani anapiga per diem mkuu hapo wanakula mshahara tuu hakuna cha nyongeza wala per diem
 
Nani anapiga per diem mkuu hapo wanakula mshahara tuu hakuna cha nyongeza wala per diem
Usidanganywe, Jaji kituo chake cha kazi ni Mwanza, mawakili wote wanatoka mikoani, taratibu za kiutumishi zipo wazi mkuu mtumishi asipokuwepo kwenye kituo chake cha kazi kikazi atalipwa kulingana na taratibu na miongozo ya serikali, hao wote kila siku wana lamba 120000 nje na mishahara yao pamoja na wasaidizi wao(dereva na walinzi @ 100,000)
 
kwa ushahidi ule hasa yule jamaa wa tanga hata yule wa arusha.....
jipangangeni
 
Yeye kaletewa hukumu kuisoma na wala hajaiandika
 
mkuu kwani kuna hoja imetolewa hapa ya majaji kutishiwa nyau?
Nimewaza tu,hasa wakati huu wa rais wa kike,maana wakati ule wa Jiwe Mbowe aliwekwa ndani na kesi ilikuwa ikisikilizwa hatukuwaona.
 
Hi hukumu inelekea kama iluandikwa na Kudando na Hilla mawakili wa serikali walio na maagizo kumtumia jaji yoyote kumfunga Mbowe
 
..haya maamuzi ni MABAYA sana kwa upande wa washtakiwa.

..mimi sio mwanasheria, lakini ktk kusoma maamuzi ya leo, naona kama Jaji ameamua kwamba washtakiwa wana HATIA.

..hisia zangu ni kwamba, maamuzi ya mwisho ktk kesi hii yatafanana zaidi na maamuzi yaliyotolewa leo.

CC Nguruvi3
 
Naona Pius Hilla na Nassoro Katuga wameanza kuwa mwiba wa moto kwa washitakiwa. Mawakuli wa utetezi wamejaribu kila mbinu, kila janjajanja, lakini wanakwaa kisiki kama cha mpingo. Itabidi ema warudi shule au tubadilishe Wakili, hizi pingamizi za kitoto sasa zimeanza kutuchisha Wanachadema.
 

Mungu akubariki sana na akupe afya njema ili uendelee kuhukumu vizuri.


Mungu akubariki sana na akupe afya njema ili uendelee kuhukumu vizuri.
FUSO Mbona unambariki wakati amefanya makosa?

Umemkosoa lakini cha ajabu mwishoni una mmiminia BARAKA za Mungu..? Why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…