Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

Hakuna ushahidi uliowasilishwa na Raila kuthibitisha uchakachuaji wa kura - CJ Martha Koome.
Your browser is not able to display this video.
 
Makamishna wote wa IEBC walishiriki katika shughuli ya kujumlisha na kuthibitisha - Martha Koome.
 
Cherera na wengine walishiriki kikamilifu katika kujumlisha na kuthibitisha matokeo tangu mwanzo - CJ Martha Koome.
Your browser is not able to display this video.
 
IEBC ilitekeleza kujumlisha, kuhakiki na kutangaza matokeo kwa mujibu wa katiba - Mahakama ya Juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…