Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Ndio ujue kamwe hauwezi kumfurahisha binadamu,wewe fanya mambo unavyoona kwako inafaa.
 
Kuna member humu JF alianzisha uzi kipindi fulani kuwa hana KORODANI sijui anaendeleaje maskini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…