Kyokola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 1,402
- 1,894
Daah maisha bhana Mungu atusaidie ndugu zetu wengine wanapitia kwenye mtihani mkubwa sana kwa kweli sema ilitakiwa asioe ili asipate hiyo kadhia iliyopo kwa sasa...
Na kwa hizi jamii zetu za kia afrika za kupangiana maisha, angekaa bila kuoa yangeanza maneno maneno oooh mbona umri unaenda huoi[emoji2368]. Na hawezi kuiambia jamii kuwa hana korodani [emoji2356] maana isingemwelewa. Akaona isiwe tabu, akaoa zake hivyo hivyo ili kuwakata maneno walimwengu