Mangachini
Senior Member
- Mar 24, 2014
- 129
- 125
Kaimba wimbo maarufu: 'Mahali nimefika nimeona wema wako, na sasa ninasena, ewe ni Ebenezer'
Kaimba wimbo gani huyo Rebecca???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaimba wimbo gani huyo Rebecca???
Hakuna kitu kama hicho, narudia HAKUNA KITU KAMA HICHOukimchunguza wala hata hafanyi uzinzi,ila hana network
Vipi ikiwa hiyo mali isiyo ya pamoja uliitafuta mkiwa ndoani?Mkuu Mali za pamoja ndio hugawanywa nusu nusu isipokuwa Mali binafi let say mnanyumba mbili za pamoja alafu mume ananyumba yake moja (hati inasoma jina lake) mume atapewa nyumba moja Kati ya mbili walizojenga pamoja pia atachukua na nyumba yenye hati yake ya umiliki maana kuwa kwenye ndoa hakukuzuii kutafuta Mali binafi
Ikitokea kunamgogoro wa Mali za pamoja na binafisi km mfano niliotoa mahakama itajiuliza kwanini Mali nyingine mnamiliki pmj na nyingine separate? Jibu litakuwa wazi kuwamnazomiliki pamoja ndio mali za ndani ya ndoa.....
Unajuaje kama haya hayakufanyikaJe Mahakama ilipokea report ya kitabibu kwamba bwana Z hana Korodani? Hapa Ni lazima ije report ya daktari Kuthibitisha Kwamba bwana Zabron Hana korodani na Iwe tendered Mahakamani kama Exbit ∆1 na Daktari Alimchukua Vipimo, Mahakama Za Mwanzo Watu Wanavurugana Tu.
Kwanza Kama Hakuna Tendo La Ndoa Ndani Ya Mda Wa Miezi 6 unatakiwa ukafile Petition Kuomba Divorce, sheria inataka uanzie Kwenye Board of Marriage Reconciliation, Kama Kanisani, Msikitini, Baraza La Kata kbla Haujaenda Kufungua Kesi Mahakamani. Ngoja nimtafutie Bwana Zabron ili tuka-appeal District Court
1 ground Ni Kwamba Mleta Maombi hakupata certificate ya Kufungua shauri la Talaka Kutoka Kwenye Marriage Board of Reconciliation [emoji4][emoji4][emoji4]
Ushaidi Wa mleta maombi hautoshi kuifanya Mahakama i-rule out decision yoyote, kunakuwa na Ushahidi Wa kitabibu kwa nature ya Shauri Husika
"Mahali nimefika nimeona mkono wako, na sasa ninasema wewe ni Ebeneza"Kaimba wimbo gani huyo Rebecca???
Usikariri sio kila mtu anapenda matusiNimeona ila wanakuwa na mtu wa siri pembeni kwa ajili ya KUCHAKATANA ila kwa majirani utaona kwamba hajaoa au kuolewa tangu afiwe na mke/mme.
Itahesabika ya kwako ilimradi document isome jina lake Soo majina yenuVipi ikiwa hiyo mali isiyo ya pamoja uliitafuta mkiwa ndoani?
Matusi tena duh yana kuwajeUsikariri sio kila mtu anapenda matusi
Mlikuwa mnazini tu hamna lolote...mnafanya romance mashine inasimama kabisa ila mnaachia hewani mbinguni mngeingilia dirishani labda au mngeruka ukutaNishawahi Pata mpenzi mlokole akaniambia ananipenda kweli ila hataki tushiriki hilo tendo
kwakua namimi nilimpenda kweli nikakubali tukapeana ahadi mpaka NDOA kweli mahusiano
yakaanza,siku - wiki - mwezi - miezi - mwaka tuna romance mashine inasimama ila ndio haina pa kwenda
mwaka wa 1 mwaka wa 2 nikapata mchepuko 1 Chance one Goal,huyo katekista wangu tukaachana
ndani ya miaka miwili no kwichikwichi, kitanda kimoja, bafu 1,tunaishi ka tuko beach nikifikiriaga ile kipindi
najiona kama nilikuaga SAMSONI flani hivi mwenye miguvu ya ajabu, katika watu mbinguni tusingekosa ni kipindi cha miaka ile miwili.
sema kuna wakati najionaga nilikuaga boya au niliwekewa limbwata?!! ila kwa yesu hamna limbwata sasa niliwezaje etiiiiiiii? bwana weee mi hata sishangai hao wapeana talaka
wengine tulikufa na kiu na angali tumezungukwa na maji ya kila aina pembeni ila vigezo na masharti ilibidi vizingatiwe.
Sina ujinga huo sasa hivi,kama ni mbingu na niikose eboooo
pumbu imebeba mamishipa mengi sana ya uzalishaji na hisia, zikiondoka basi na mboo haina kaz tena. Ni kama injini.Mdudu yupo pumbu ndo hakuna nijuavyo mm kazi ya pumbu nikuzalisha mbegu za uzazi Sasa km pumbu hakuna huenda jamaa alikua hamweshi uji huyu bidada kule chini maana mbegu zazizakishwi huenda jamaa alikua anaoiga miti bila kumwaga (kuchoka) rejea mapenzi ya utotoni kidudu kikisimama kimesimama mpk uache mwenyewe.
Hali hiyo yakupelekewa Moto mtakatifu itakua mwanamke mwanzoni aliifurahia ndo maana akawa mvumilivu,
Mwanamke kachoka kaona Sasa kunafaida gani kupingwa miti daily for nothing bila hata kuhisi kichefuchefu walau siku moja!
Happy Easter in advance
AminaaKaimba wimbo maarufu: 'Mahali nimefika nimeona wema wako, na sasa ninasena, ewe ni Ebenezer'
Mungu amsaidie jamaa asifanye jambo la kipuuzi maana kapoteza mke na aibu yake imeshawekwa wazi kwa kila mtu wake wa karibu.. Mungu amsimamie aseee
Na kwa mnaodhihaki wakati hamjaweka jitihada yoyote kuwa hivyo mlivyo. Ombeni
Mungu asiwakumbushe kuwa
"kabla hujafa, hujaumbika"...
ingeweza kufanyika siri lakini nadhani ni kwa sababu, mahakamani kila mtu anapambania kushinda kwa kile alichodhamiria mkuuNa kwanini kesi za aina hii zinakuwa wazi nafikiri kwa mila za kiafrika zingefanyika siri
sawaMlikuwa mnazini tu hamna lolote...mnafanya romance mashine inasimama kabisa ila mnaachia hewani mbinguni mngeingilia dirishani labda au mngeruka ukuta
niliwatunzia wajasiriamali wawili 1.kinyozi 2.tax driver, ana watoto wawili toka kwa kila mjasiriamali hapoDah ulimtunzia mtu bikra kweli wewe ni mwema na pengine ulimtunzia dereva boda boda 😂