Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Inategemea kwenye issue gani ,kwenye issue hii ya Rebecca hapo hakuna uvumilivu maana zablon jogoo hapandi mtungi,zablon amefanya kosa kuoa huku akijua ana tatizo,hapo hakuna kuvumilia kwasababu tatizo la zablon ni kubwa ,kuna ya kuvumilia lakini sio kwenye "UCHAKATAJI" ,lengo la ndoa ni kuja kuijaza dunia sharti la kwanza lazima viungo vya uzazi kwa wote iwe vinafanya kazi swala la kupata mtoto au kukosa ni matokeo(yapo nje ya uwezo wetu).
Aaaah wap, hujawahi kuona mtu kafika na mkewe au mumewe wakiwa na miaka Miwili tu au tatu ya ndoa halafu baada ya hapo humuoni kaolewa au kuoa au kuwa na Mtu mwingine pembeni? Hujawahi ona?
 
Huyo mama miaka yote 21 ndo amegundua leo, mtu wa hovyo kabisa
 
Waandishi wa habari hawakuelewa kilichoandikwa kwenye hukumu.

Juzi wawili wao wamefukuzwa kazi Daily News baada ya kuchapisha taarifa ya STAMICO ya kumpongeza Rais mpya Samia Suluhu kwa kufarikia dunia.
 
Mgao unaangalia vigezo vingi, ikiwepo kiasi cha mchango ktk upatikanaji wa mali n.k wala si mateso uliyopata mtu ndoani...
Kuna mdada aliolewa 1999 amezaa na mumewe watoto 4...mume ni prof ..kifup huyo dada kapewa room Moja kwa nyumba walojenga ya kupangisha na kiwanja kimoja na 2m...aisee nilibak nashangaa ..lakin Mungu alivyo mwema yule dada sasa hv ana hela sana..amesimamia mishe zake sasa hv anaishi vizuri mnoo..mumewe kila siku namuona anahangaika na mamichemsho ya buku ya kongoro
 
Wana wake mna pitia mengi! Na mna mengi pia!
Miaka 21 njia ya huyo mke inakuwa haijaziba kweli embu wana wake tuambieni ukweli ?
Kuna mdada aliolewa 1999 amezaa na mumewe watoto 4...mume ni prof ..kifup huyo dada kapewa room Moja kwa nyumba walojenga ya kupangisha na kiwanja kimoja na 2m...aisee nilibak nashangaa ..lakin Mungu alivyo mwema yule dada sasa hv ana hela sana..amesimamia mishe zake sasa hv anaishi vizuri mnoo..mumewe kila siku namuona anahangaika na mamichemsho ya buku ya kongoro
 
Alikuona fala,alikuwa anasuguliwa kwingine huyo,yaani apate ujasiri wa kula na wewe anaoga halafu hupigi,dah we wa wapi jombaa
Ndugu yangu kwa kipindi kile nilikua wamoto kiroho yani ukija hata wewe nakutoa mapepo

nikikupiga maombi utahisi umeombewa na TB JOSHUA nilikua natandika ma preyaaaaaa si kawaida

kwa hiyo lile sharti kwangu lilikua very simple sikuliona kama sharti maana ndio maisha yangu yalikua hivyo

na kwakipindi chote sikuwahi muwazia mabaya eti anachepuka huuko,walaaa Nilimuamini katekista wangu na zaidi nilimpenda.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Mkuu Mali za pamoja ndio hugawanywa nusu nusu isipokuwa Mali binafi let say mnanyumba mbili za pamoja alafu mume ananyumba yake moja (hati inasoma jina lake) mume atapewa nyumba moja Kati ya mbili walizojenga pamoja pia atachukua na nyumba yenye hati yake ya umiliki maana kuwa kwenye ndoa hakukuzuii kutafuta Mali binafi

Ikitokea kunamgogoro wa Mali za pamoja na binafisi km mfano niliotoa mahakama itajiuliza kwanini Mali nyingine mnamiliki pmj na nyingine separate? Jibu litakuwa wazi kuwamnazomiliki pamoja ndio mali za ndani ya ndoa.....
 
Haya nayo maajabu sio bure kwahy miaka 21 Dada hajagongwa au ndio fitina tu
 
Nishawahi Pata mpenzi mlokole akaniambia ananipenda kweli ila hataki tushiriki hilo tendo

kwakua namimi nilimpenda kweli nikakubali tukapeana ahadi mpaka NDOA kweli mahusiano

yakaanza,siku - wiki - mwezi - miezi - mwaka tuna romance mashine inasimama ila ndio haina pa kwenda

mwaka wa 1 mwaka wa 2 nikapata mchepuko 1 Chance one Goal,huyo katekista wangu tukaachana

ndani ya miaka miwili no kwichikwichi, kitanda kimoja, bafu 1,tunaishi ka tuko beach nikifikiriaga ile kipindi

najiona kama nilikuaga SAMSONI flani hivi mwenye miguvu ya ajabu, katika watu mbinguni tusingekosa ni kipindi cha miaka ile miwili.

sema kuna wakati najionaga nilikuaga boya au niliwekewa limbwata?!! ila kwa yesu hamna limbwata sasa niliwezaje etiiiiiiii? bwana weee mi hata sishangai hao wapeana talaka

wengine tulikufa na kiu na angali tumezungukwa na maji ya kila aina pembeni ila vigezo na masharti ilibidi vizingatiwe.

Sina ujinga huo sasa hivi,kama ni mbingu na niikose eboooo
Hahahahahah mkuu nimecheka sana kumbe haya mambo yapo
 
Ndugu yangu kwa kipindi kile nilikua wamoto kiroho yani ukija hata wewe nakutoa mapepo

nikikupiga maombi utahisi umeombewa na TB JOSHUA nilikua natandika ma preyaaaaaa si kawaida

kwa hiyo lile sharti kwangu lilikua very simple sikuliona kama sharti maana ndio maisha yangu yalikua hivyo

na kwakipindi chote sikuwahi muwazia mabaya eti anachepuka huuko,walaaa Nilimuamini katekista wangu na zaidi nilimpenda.
Tuseme yoooote, ila mimi akili yangu inawaza jinsi rebecca alivyotoa ushahidi usio na shaka [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom