King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Daaah miaka 21 bila kuchakata?? Kuna watu wavumilivu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah miaka 21 bila kuchakata?? Kuna watu wavumilivu sana.
We Rebecca kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambiMimi najiuliza hawakua wachumba??? hawaku sex before before deciding to get married?....
Yaani, yawezekana hivyo vitu vingine ambavyo vingesapoti vimetumika, rejea 👇Naunga hoja ..kwan lazima atumie kiungo chake?si kuna vitu vingine vingesapot .ila nao 21 yrs mnakuja achana ijumaa kuu leo? Wangemaliza uzee pamoja tu
Atakuwa alimloga sio bure atakuwa alitumia ndumba kumpata na kumshikilia sio kitu cha kawaida hicho sasa hivi uchawi utakuwa umrisha nguvu ndipo mwanamke anajitambuaWanawake na uvimilivu
Sijui Rebecca sasa ana umri gani sasa..... ndoa miaka 21 jumlisha umri wake kabla ya ndoa kama mpango bado ni kuwa na familiq ndio anaenda kuanza maisha upya
Hata mimi nashangaa. Huyo mwanamke akili hana kwa mateso aliyopata miaka yote robo tatu ya mali alitakiwa achukueMbona mgao mwanaume amepata vitu vingi
Kesi ipi?Muda wa kufungua kesi ingine
Mgao unaangalia vigezo vingi, ikiwepo kiasi cha mchango ktk upatikanaji wa mali n.k wala si mateso uliyopata mtu ndoani...Hata mimi nashangaa.Huyo mwanamke akili hana kwa mateso aliyopata miaka yote robo tatu ya mali alitakiwa achukue
Kwani binadamu tunatakiwa tuvumiliane muda gani Boss? 🤔Daaah miaka 21 bila kuchakata?? Kuna watu wavumilivu sana.
Kwani binadamu tunatakiwa tuvumiliane muda gani Boss? 🤔
Huwezi kusukuma
Odhis *
Nishawahi Pata mpenzi mlokole akaniambia ananipenda kweli ila hataki tushiriki hilo tendo
kwakua namimi nilimpenda kweli nikakubali tukapeana ahadi mpaka NDOA kweli mahusiano
yakaanza,siku - wiki - mwezi - miezi - mwaka tuna romance mashine inasimama ila ndio haina pa kwenda
mwaka wa 1 mwaka wa 2 nikapata mchepuko 1 Chance one Goal,huyo katekista wangu tukaachana
ndani ya miaka miwili no kwichikwichi, kitanda kimoja, bafu 1,tunaishi ka tuko beach nikifikiriaga ile kipindi
najiona kama nilikuaga SAMSONI flani hivi mwenye miguvu ya ajabu, katika watu mbinguni tusingekosa ni kipindi cha miaka ile miwili.
sema kuna wakati najionaga nilikuaga boya au niliwekewa limbwata?!! ila kwa yesu hamna limbwata sasa niliwezaje etiiiiiiii? bwana weee mi hata sishangai hao wapeana talaka
wengine tulikufa na kiu na angali tumezungukwa na maji ya kila aina pembeni ila vigezo na masharti ilibidi vizingatiwe.
Sina ujinga huo sasa hivi,kama ni mbingu na niikose eboooo
Lumumba KariakooInauzwa wap mzee baba hii kitu
Mungu amsaidie jamaa asifanye jambo la kipuuzi maana kapoteza mke na aibu yake imeshawekwa wazi kwa kila mtu wake wa karibu.. Mungu amsimamie aseee
Na kwa mnaodhihaki wakati hamjaweka jitihada yoyote kuwa hivyo mlivyo. Ombeni
Mungu asiwakumbushe kuwa
"kabla hujafa, hujaumbika"...
Bila korodan dushe linasimama vp?Kupigwa mti ni haki ya mke, pasi na kupigwa miti si angebaki kwa wazazi wake, kwani alikuwa anakosa nini kqw wazazi wake? mwanamke anakwenda kwa mwanaume kwa misheni moja tu, kupigwa mashine, usipompa lazma akimbie.
sasa korodani ndio linafanya mapenzi au dushee?
Vifuatavyo vyaweza kuwa sababu za msingi kwa mahakama kuvunja ndoa;
Uzinzi / adultery
Ukatili / cruelity
Kutelekeza / desertion
Sasa kwa hoja ya huyo mama kukosa haki yake ya ndoa ni ukatili kwakweli physical n mental.
Hivyo basi mahakama ilikuwa sahihi kuvunja ndoa hiyo.
Kifungu cha 144 cha sheria ya ndoa ya 1973 kinasema baada ya ndoa kuvunjika kinachofata ni mgawanyo wa mali (wababa hawakipendi hiki kifungu kweli)
Sasa katika mgawanyo wa mali mahakama huangalia vitu vifuatavyo;
-extent of contribution (kiswahili mnisaidie)
- mila za sehemu husika
-watoto kama wapo
Kuna kesi marufu ya Bi Hawa versus Iddi Seif ( wamama wanaipenda kweli)
Inasema ya kwamba kile kitendo cha mwanamke kufanya shughuli za nyumbani, kulea watoto na kumuhudumia mume kinatosha kabisa kupata mgao wa mali ya mumewe.
Japo kuna majaji wanakubaliana na hiyo hoja lakini kwa angalizo kwamba mgao usiwe hamsini kwa hamsini 50/50.
Pia nikosa kwa mwanamme kumnyima mkewe d*d* na ikithibitika anaweza kumuliwa kumlipa mkewe faini au ampe (au vyote kwa pamoja)
Pia ni kosa kwa mwanamke kumyima mmewe uch** ikithibitika atamriwa mpe (mwanamke hana option ya kulipa faini katika hili😂😂)
Nawasilisha
Haijafafanuliwa Vizuri. Kwani ukiwa na Korodani moja Mtwangio hautwangi?
Hawana Watoto?
Kama Mtwangio hautwangi, mama alikuwa anajipoza wapi?
Kwa hiyo walati wanatafuta Mali zote hizo walizojaliwa kuwa Nazi walikuwa wanaishia kulala kama MTU na Dada yake?
Mkuu, unaposema suala hili limemtia aibu. Gani?
Kwani ukizaliwa na kilema cha kuwa na mguu mmoja tu, no aibu? Gani?
Kwa mini mhusika aingir aibu kwa vile amezaliwa na korodani moja, as long as Mtwangio unatwamga kinu inavyotakiwa na Wazungu wanatoka, hata kama no kwa Ujazo was Korodani moja tu????[emoji52][emoji52]