Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Aliambiwa zitarudi halafu mganga akafa..[emoji29][emoji29][emoji29] wameishi kwenye ndoa miaka 21 lakini kati ya hiyo 18 hawajagongana kwa maana hiyo waliingia kwenye ndoa akiwa nazo
Kwanini umehitimisha "Aliambiwa zitarudi mganga akafa"
 
Ila wanaume Bwana

Mtu unajiona una udhaifu lakini unaoa mwanamke.....kwani ukikaa singo ungekufa?

Yaani mwanamke akuvumilie tu

Ni uonezi wa hali ya juu.
Lazima mwanzo alikuwa sawa kuna kitu kilitokea baadae ambacho mke aliridhia kuvumilia
Katika hali ya kawaida sio rahisi kuvumilia miaka, wewe unaweza kuishi miaka 2 bila kugongwa? Tena ukiwa umeolewa?
 
Lazima mwanzo alikuwa sawa kuna kitu kilitokea baadae ambacho mke aliridhia kuvumilia
Katika hali ya kawaida sio rahisi kuvumilia miaka, wewe unaweza kuishi miaka 2 bila kugongwa? Tena ukiwa umeolewa?
Hawa walokole wanakuaga na mambo mengi sana mostly wanaokoka kutokana na tatizo fulani..au kuficha ktu fulani
 
Rebecca kuvumilia kote huko imekuwaje miaka 18 bila kutiwa? Au ulikuwa unachepuka? Pembeni yamenoga..? Unadai hana korodani, ww korodani ya kazi gani angalia tuu bakora kama inasimama dandia maisha yaendelee..
 
Wewe ni Ebenezer. Nimejiuliza kweli. Aliimba huu wimbo wa shukrani,kumbe mmmewe hana corodani. Kweli Mungu ashukuriwe kwa kila hali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
Back
Top Bottom