Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Kuna kitu atakua alikua anapata huyo dada, siku zote kwenye relationships tunapima na kuwa na trade offs;nitakosa hiki ila nitapata kile,naona alikua anatafuta security na heshima ya kuolewa huku akijua mumewe hana pumbuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz,LOL, hivi huyo mwanaume sio ndezi kweli? unajijua huna pumbuzzz halafu unaenda kutafuta uhusiano? anyway pole zenu Rebeca sidhani kama mtakua na mahusiano ya kimapenzi tena, welcome to singles club,no matter what lazima maisha yaendeleee
Nilivyoona jina ni Rebeca nikajua ni wewe.

Anyways tangazo kuwa upo "single" tumeliona.
 
Mkuu Hivi umesoma kilichoandikwa au nawewe umeamua kuja na nadharia zako tu?,pameandikwa ndoa imevunjwa baada ya kutofanya tendo la ndoa kwa miaka zaidi ya 18,wewe unasema amepelekewa moto akachoka ndo akaamua kuvunja ndoa,bure kabisa.
"wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa yasiyo yakawaida" umeelewaje statement hiyo
 
Hahaha dah ila kwa maana hiyo kuna mmoja alipeleka shauri mahakamani. Sasa unajiuliza miaka yote hiyo alikuwa halioni hilo tatizo? Au limejitokeza recently.

Hata kama ni hivyo kwa ndoa ya miaka 21 tukiwapa hao watu labda miaka 25 ndio walioana watakuwa na miaka 46 wangevumiliana tu wamalizie maisha yao.
Uandishi wa habari wa Tanzania ni majanga. Msiamini sana hii habari kama ilivyo. Kuna mambo mengi hayakuandikwa (hisia zangu). Inawezekanaje ndoa iliyokaa muda wote huo ndiyo tatizo lije kuonekana leo? Huyo hakimu alihakikishaje madai ya mwanamke ni ya kweli? Kuna kitu. Lazima kuna kitu.
 
Ni kweli mkuu sio kirahisi namna hii asee lazima kuna vitu public tumefichwa.
 
Kuna kitu atakua alikua anapata huyo dada, siku zote kwenye relationships tunapima na kuwa na trade offs;nitakosa hiki ila nitapata kile,naona alikua anatafuta security na heshima ya kuolewa huku akijua mumewe hana pumbuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz,LOL, hivi huyo mwanaume sio ndezi kweli? unajijua huna pumbuzzz halafu unaenda kutafuta uhusiano? anyway pole zenu Rebeca sidhani kama mtakua na mahusiano ya kimapenzi tena, welcome to singles club,no matter what lazima maisha yaendeleee
Rebeca, PM yako inagoma rafiki. Hebu nifungulie basi.
 
Huo ndo ujinga nisopenda...eti hukuli uroda hadi tufunge ndoa,ona sasa mwimba kwaya wa watu miaka yote hiyo unaugua na utamu wako...ungekagua mzigo kabla yasingekukuta haya
 
Kwa hiyo naweza enda mahakamani nikasema mke hanipi mbususu na judge akamuamuru wife anipe mbususu? Sasa judge ata thibitisha vipi kuwa kweli mbususu nimepewa au kunakuwa na shahidi hapo wakati nasasambua mbususu ya mke?
Sasa asipokupa, waweza fanya yafuatayo.
Kwenda kumshtaki ustawi wa jamii, msipoelewana huko (bado hatoi) basi mtapewa kibali kwenda mahakamani. Mahakamani waeza omba utengano wa muda (separation) au talaka (decree of divorce) hoja kuu itakuwa mkeo amekukatili kihisia na kimwili.
Ahsante
 
Naona walikua wanatumia "dildo" miaka yao yote, ndiyo sababu mheshimiwa Hakimu amea KUIVUNJILIA MBALI hiyo ndoa.
Inawezekana afu kesi km hizi sio zinaendeshwa chamber court? Jamaa hawezi kujiona hana thank maana Siri yake ipo mtaani?
 
Sasa asipokupa, waweza fanya yafuatayo.
Kwenda kumshtaki ustawi wa jamii, msipoelewana huko (bado hatoi) basi mtapewa kibali kwenda mahakamani. Mahakamani waeza omba utengano wa muda (separation) au talaka (decree of divorce) hoja kuu itakuwa mkeo amekukatili kihisia na kimwili.
Ahsante
Na hapo kwenye kunikatili kihisia na kimwili sii inabidi anilipe fidia au mdio hamna fidia?
 
Nishawahi Pata mpenzi mlokole akaniambia ananipenda kweli ila hataki tushiriki hilo tendo

kwakua namimi nilimpenda kweli nikakubali tukapeana ahadi mpaka NDOA kweli mahusiano

yakaanza,siku - wiki - mwezi - miezi - mwaka tuna romance mashine inasimama ila ndio haina pa kwenda

mwaka wa 1 mwaka wa 2 nikapata mchepuko 1 Chance one Goal,huyo katekista wangu tukaachana

ndani ya miaka miwili no kwichikwichi, kitanda kimoja, bafu 1,tunaishi ka tuko beach nikifikiriaga ile kipindi

najiona kama nilikuaga SAMSONI flani hivi mwenye miguvu ya ajabu, katika watu mbinguni tusingekosa ni kipindi cha miaka ile miwili.

sema kuna wakati najionaga nilikuaga boya au niliwekewa limbwata?!! ila kwa yesu hamna limbwata sasa niliwezaje etiiiiiiii? bwana weee mi hata sishangai hao wapeana talaka

wengine tulikufa na kiu na angali tumezungukwa na maji ya kila aina pembeni ila vigezo na masharti ilibidi vizingatiwe.

Sina ujinga huo sasa hivi,kama ni mbingu na niikose eboooo
Una moyo
 
Huyu ndugu Zabron kwanini alioa sasa??
Kuna kisa kingine kama huyo dada tu jamaa alisema hapendi kumchezea binti kwahiyo hakuna kuchakatana mpaka ndoa, binti akaona ebanaa eeh bwana si ndo huyu sasa.

Aisee ndani ya ndoa kumbe jamaa mti nyama hausimami wala hausimikwi kama mkufu tu yaani dooroo kabisa. Binti mwaka wa 1 wa 2 anavumilia tu, mwisho yule bwana akamtaka binti achakatwe nje uko alete mtoto ili jamaa afichiwe aibu. Na kumbe jamaa ashaoa wake kibao ila hapo pa kuwaambia wachakatwe nje walete watoto ndio huwa wanakosana anawaacha wakishindwa pata mtoto lwa wakati.

Sasa watu kama hawa huwa wanaoa kwa nini kama hawawezi kuchata kibaya zaidi wanaoa wanawake wenye genye, kwanini wasitafute wanaoendana nao nadhani wapo wanawake wasiopenda kabisa kuchakatwa kwa sababu mbalimbali ili wafichiane hayo mambo yao.

Nashauri kama wewe ni mwanajf hapa na hali kama ya Zabron fanya maamuzi magumu usioe tu ishi kibachelor ivo ivo sababu starehe yako sio ngono penda hata chakula basi. Usichoshe wadada wa watu .

Ona sasa ndgu Zabron anaacha sugarmamy jipya mtaani wacha tukachume pesa buguruni apo.
 
Back
Top Bottom