Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

kwakweli mtihani sana..ndo mana kuna kuonjana jamani..[emoji48]
Sasa miaka 21 Rebeca alikuwa anaishi vipi? Huko chini kunakunywa uji?
Uji unatengenezwa kwenye korodani Sasa korodani hamna maana yake no uji ni kupelekewa Moto mwanzoni mwisho
 
Wewe ni Ebenezer. Nimejiuliza kweli. Aliimba huu wimbo wa shukrani,kumbe mmmewe hana corodani. Kweli Mungu ashukuriwe kwa kila hali.
Hakuwa na msaada kwenye tuta kweli? What has changed her mind now after 21 years? Kweli duniani kuna uchawi
 
Safi kabisa....kisheria
" marriage is sex and sex only"
Over.
Sina neno la kuongezea hapo.
 
Wamekaa miaka 21 lakini. Kama ndoa ni mbususu tu walikuwa wanafanya nn miaka yote hiyo?

Mbususu kwenye ndoa ni ya muhimu ila kuna vingi vya muhimu pia na vikikosekana ndoa ipo mashakani. Mfano pesa. Ukiwa huna pesa kabisa mbususu nayo inakuwa kama haipo hivi.
Mwanamke alikuwa mpinga nyeto au alikuwa anachepuka.

Pesa kweli maana hizi mbusus zimekuwa for sell siku hizi.
 
[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mganga ili wapate utajiri
Aisee mganga gani huyo ana masharti makali hivyo sii bora aombe mkaa wa mgomba kuliko kumuchukulia mtu mbupuz
 
Aisee mganga gani huyo ana masharti makali hivyo sii bora aombe mkaa wa mgomba kuliko kumuchukulia mtu mbupuz
Aliambiwa zitarudi halafu mganga akafa..[emoji29][emoji29][emoji29] wameishi kwenye ndoa miaka 21 lakini kati ya hiyo 18 hawajagongana kwa maana hiyo waliingia kwenye ndoa akiwa nazo
 
Huyu mwanaume alikuwa na korodani ziko ndani ,kimsingi atakuwa anasimamisha vizur tu ilaaa hayuko strong kivile na kuzalisha inategemea sanaa anaweza pia kuzalisha
 
Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18.

Pia, Mahakama hiyo imetoa amri mali zote walizochuma wanandoa hao, ikiwamo shamba la eka 10 lililopo Bagamoyo, maduka mawili yaliyopo Bonyokwa na Mahengo na shamba la miti ya mikaratusi lililopo Kigoma zichukuliwe na Maselege na kiwanja kilichopo Madale kitabaki kwa Rebecca.

Hakimu Mkazi, Mwinyiheri Kondo alisema Mahakama imevunja ndoa hiyo baada ya kuona wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa ambayo si ya kawaida.

Kondo alisema katika ushahidi uliotolewa na Rebecca alidai hawakuwahi kufanya tendo la ndoa tangu wafunge ndoa kutokana na mume wake kutokuwa na korodani.

Alisema kutokana na hilo, Mahakama hiyo imevunja ndoa hiyo, hivyo ndani ya siku 45 haki ya kukata rufaa kwa mdaiwa ipo wazi.

Katika kesi hiyo, Rebecca aliiomba Mahakama hiyo ivunje ndoa hiyo kisheria baada ya kuishi na mume wake kwa miaka 21 bila ya kushiriki tendo la ndoa.


Mwananchi
Jamani 21 years si ni umri wanu kabisa huu aiseee!... Hahahaha
 
Vifuatavyo vyaweza kuwa sababu za msingi kwa mahakama kuvunja ndoa;
Uzinzi / adultery
Ukatili / cruelity
Kutelekeza / desertion
Sasa kwa hoja ya huyo mama kukosa haki yake ya ndoa ni ukatili kwakweli physical n mental.
Hivyo basi mahakama ilikuwa sahihi kuvunja ndoa hiyo.
Kifungu cha 144 cha sheria ya ndoa ya 1973 kinasema baada ya ndoa kuvunjika kinachofata ni mgawanyo wa mali (wababa hawakipendi hiki kifungu kweli)
Sasa katika mgawanyo wa mali mahakama huangalia vitu vifuatavyo;
-extent of contribution (kiswahili mnisaidie)
- mila za sehemu husika
-watoto kama wapo

Kuna kesi marufu ya Bi Hawa versus Iddi Seif ( wamama wanaipenda kweli)
Inasema ya kwamba kile kitendo cha mwanamke kufanya shughuli za nyumbani, kulea watoto na kumuhudumia mume kinatosha kabisa kupata mgao wa mali ya mumewe.
Japo kuna majaji wanakubaliana na hiyo hoja lakini kwa angalizo kwamba mgao usiwe hamsini kwa hamsini 50/50.

Pia nikosa kwa mwanamme kumnyima mkewe d*d* na ikithibitika anaweza kumuliwa kumlipa mkewe faini au ampe (au vyote kwa pamoja)
Pia ni kosa kwa mwanamke kumyima mmewe uch** ikithibitika atamriwa mpe (mwanamke hana option ya kulipa faini katika hili😂😂)
Nawasilisha
 
hana korodani, maana yake hana nguvu za kiume.
Duuh! inamaana korodani zikiwa kubwa kama vitenesi,inamaana unakua na nguvu za kiume hatari?
Umenifunza sayansi ambayo nilikua siijui aisee.
 
Back
Top Bottom