imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hata akujidunga testosterone?Huwezi kusukuma
Odhis *
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akujidunga testosterone?Huwezi kusukuma
Odhis *
Mbona kesi nyingine huwa majina ya washtakiwa yanatajwa? Ila mahakama ingejiridhisha tu kuwa hawajafanya ngono kwa muda tajwa tu na kutoa maamuzi, maswala ya kuwa hana korodani yamekujaje?Kulikuwa na haja gani kumtaja huyo mwanaume jina kama sio kumdhalilisha kwa wanaomjua.
Ona sasa tumejua udhaifu wake.
Hawajamtendea haki huyo mwanaume kwa kumtangazia udhaifu wake
Hapa namuonea huruma kama vile namjua.ni kheri humu mkuu maana kama kesi ishafikishwa mahakamani, story ishakuwa kubwa mtaani, kazini na kwa ndugu zake wote..
Kiufupi jamaa ana hali mbaya, kwanza kwa udhaifu wake na kuachwa tayari anaona maisha yake hayana thamani na kitendo cha aibu yake kuwekwa wazi.. Tayari ni mtihani mara mbili
Mungu amsimamie asichukue maamuzi magumu popote alipo
ni kheri humu mkuu maana kama kesi ishafikishwa mahakamani, story ishakuwa kubwa mtaani, kazini na kwa ndugu zake wote..
Kiufupi jamaa ana hali mbaya, kwanza kwa udhaifu wake na kuachwa tayari anaona maisha yake hayana thamani na kitendo cha aibu yake kuwekwa wazi.. Tayari ni mtihani mara mbili
Mungu amsimamie asichukue maamuzi magumu popote alipo
Sasa aibu gani wakati ni kitu ambacho yeye hana uwezo nacho...kama amezaliwa hivyo angefanyaje sasa. Mie sio hiyo aibu inakujaje kama its not his fault kujikuta hana korodaniHapa namuonea huruma kama vile namjua.
Yawezekana hata mtaani hawajui ili wameenda kujulia huko mahakamani.
Hivi mahakama ilishindwa kuangalia namna ya kuwasaidia bila aibu ya huyo mwanaume kutoka hadharani
Mbona hatari hiiDar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18.
Pia, Mahakama hiyo imetoa amri mali zote walizochuma wanandoa hao, ikiwamo shamba la eka 10 lililopo Bagamoyo, maduka mawili yaliyopo Bonyokwa na Mahengo na shamba la miti ya mikaratusi lililopo Kigoma zichukuliwe na Maselege na kiwanja kilichopo Madale kitabaki kwa Rebecca.
Hakimu Mkazi, Mwinyiheri Kondo alisema Mahakama imevunja ndoa hiyo baada ya kuona wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa ambayo si ya kawaida.
Kondo alisema katika ushahidi uliotolewa na Rebecca alidai hawakuwahi kufanya tendo la ndoa tangu wafunge ndoa kutokana na mume wake kutokuwa na korodani.
Alisema kutokana na hilo, Mahakama hiyo imevunja ndoa hiyo, hivyo ndani ya siku 45 haki ya kukata rufaa kwa mdaiwa ipo wazi.
Katika kesi hiyo, Rebecca aliiomba Mahakama hiyo ivunje ndoa hiyo kisheria baada ya kuishi na mume wake kwa miaka 21 bila ya kushiriki tendo la ndoa.
Mwananchi
Wonders not wanders.Wanders shall never end😲😲😳😪
Ndoa ina miaka 21Namtazama muoaji pia kwa jicho la huruma. Maana kwa hali hiyo alipaswa kuchukua Tahadhari mapema ya kutokuoa. Maana alikuwa anaujua udhaifu wake muda mrefu.
Kulikuwa na haja gani kumtaja huyo mwanaume jina kama sio kumdhalilisha kwa wanaomjua.
Ona sasa tumejua udhaifu wake.
Hawajamtendea haki huyo mwanaume kwa kumtangazia udhaifu wake
Kulikuwa na haja gani kumtaja huyo mwanaume jina kama sio kumdhalilisha kwa wanaomjua.
Ona sasa tumejua udhaifu wake.
Hawajamtendea haki huyo mwanaume kwa kumtangazia udhaifu wake
UmesemaJe ?! . Huyu binti wa Nyanguge amewahi kukaa kwangu jamani !!
Kupigwa mti ni haki ya mke, pasi na kupigwa miti si angebaki kwa wazazi wake, kwani alikuwa anakosa nini kqw wazazi wake? mwanamke anakwenda kwa mwanaume kwa misheni moja tu, kupigwa mashine, usipompa lazma akimbie.Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18.
Pia, Mahakama hiyo imetoa amri mali zote walizochuma wanandoa hao, ikiwamo shamba la eka 10 lililopo Bagamoyo, maduka mawili yaliyopo Bonyokwa na Mahengo na shamba la miti ya mikaratusi lililopo Kigoma zichukuliwe na Maselege na kiwanja kilichopo Madale kitabaki kwa Rebecca.
Hakimu Mkazi, Mwinyiheri Kondo alisema Mahakama imevunja ndoa hiyo baada ya kuona wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa ambayo si ya kawaida.
Kondo alisema katika ushahidi uliotolewa na Rebecca alidai hawakuwahi kufanya tendo la ndoa tangu wafunge ndoa kutokana na mume wake kutokuwa na korodani.
Alisema kutokana na hilo, Mahakama hiyo imevunja ndoa hiyo, hivyo ndani ya siku 45 haki ya kukata rufaa kwa mdaiwa ipo wazi.
Katika kesi hiyo, Rebecca aliiomba Mahakama hiyo ivunje ndoa hiyo kisheria baada ya kuishi na mume wake kwa miaka 21 bila ya kushiriki tendo la ndoa.
Mwananchi
Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18.
Pia, Mahakama hiyo imetoa amri mali zote walizochuma wanandoa hao, ikiwamo shamba la eka 10 lililopo Bagamoyo, maduka mawili yaliyopo Bonyokwa na Mahengo na shamba la miti ya mikaratusi lililopo Kigoma zichukuliwe na Maselege na kiwanja kilichopo Madale kitabaki kwa Rebecca.
Hakimu Mkazi, Mwinyiheri Kondo alisema Mahakama imevunja ndoa hiyo baada ya kuona wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa ambayo si ya kawaida.
Kondo alisema katika ushahidi uliotolewa na Rebecca alidai hawakuwahi kufanya tendo la ndoa tangu wafunge ndoa kutokana na mume wake kutokuwa na korodani.
Alisema kutokana na hilo, Mahakama hiyo imevunja ndoa hiyo, hivyo ndani ya siku 45 haki ya kukata rufaa kwa mdaiwa ipo wazi.
Katika kesi hiyo, Rebecca aliiomba Mahakama hiyo ivunje ndoa hiyo kisheria baada ya kuishi na mume wake kwa miaka 21 bila ya kushiriki tendo la ndoa.
Mwananchi
Wamekaa miaka 21 lakini. Kama ndoa ni mbususu tu walikuwa wanafanya nn miaka yote hiyo?Alafu hao hao utawasikia oh kwenye ndoa kuna vitu vya muhimu zaidi kuliko kusasambuliwa mbususu🤣🤣🤣🤣🤣