Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Nishawahi Pata mpenzi mlokole akaniambia ananipenda kweli ila hataki tushiriki hilo tendo

kwakua namimi nilimpenda kweli nikakubali tukapeana ahadi mpaka NDOA kweli mahusiano

yakaanza,siku - wiki - mwezi - miezi - mwaka tuna romance mashine inasimama ila ndio haina pa kwenda

mwaka wa 1 mwaka wa 2 nikapata mchepuko 1 Chance one Goal,huyo katekista wangu tukaachana

ndani ya miaka miwili no kwichikwichi, kitanda kimoja, bafu 1,tunaishi ka tuko beach nikifikiriaga ile kipindi

najiona kama nilikuaga SAMSONI flani hivi mwenye miguvu ya ajabu, katika watu mbinguni tusingekosa ni kipindi cha miaka ile miwili.

sema kuna wakati najionaga nilikuaga boya au niliwekewa limbwata?!! ila kwa yesu hamna limbwata sasa niliwezaje etiiiiiiii? bwana weee mi hata sishangai hao wapeana talaka

wengine tulikufa na kiu na angali tumezungukwa na maji ya kila aina pembeni ila vigezo na masharti ilibidi vizingatiwe.

Sina ujinga huo sasa hivi,kama ni mbingu na niikose eboooo
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rebeca anakaribia menopose sasa anataka mtoto kwa anayempelekea moto miaka yote hiyo.
So anataka kuhalalisha aachane na mechi za nje
 
Huyu Rebecca atuambie ni nani aliyekuwa anampelekea moto ndani ya hiyo miaka 21..na ni kwa nini hakuvunja ndoa early kabla mambo hayajawa mengi?..Hii dunia ina mikasa sana
Kwanini akutest mtambo toka awali kwanza?
Mimi Ni mzoefu nikikucheki tu hivi najua una korodani size gani? Huniuzii mbuzi kwa gunia never
 
Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18.

Pia, Mahakama hiyo imetoa amri mali zote walizochuma wanandoa hao, ikiwamo shamba la eka 10 lililopo Bagamoyo, maduka mawili yaliyopo Bonyokwa na Mahengo na shamba la miti ya mikaratusi lililopo Kigoma zichukuliwe na Maselege na kiwanja kilichopo Madale kitabaki kwa Rebecca.

Hakimu Mkazi, Mwinyiheri Kondo alisema Mahakama imevunja ndoa hiyo baada ya kuona wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa ambayo si ya kawaida.

Kondo alisema katika ushahidi uliotolewa na Rebecca alidai hawakuwahi kufanya tendo la ndoa tangu wafunge ndoa kutokana na mume wake kutokuwa na korodani.

Alisema kutokana na hilo, Mahakama hiyo imevunja ndoa hiyo, hivyo ndani ya siku 45 haki ya kukata rufaa kwa mdaiwa ipo wazi.

Katika kesi hiyo, Rebecca aliiomba Mahakama hiyo ivunje ndoa hiyo kisheria baada ya kuishi na mume wake kwa miaka 21 bila ya kushiriki tendo la ndoa.

Mwananchi

Sasa alioa ili iweje? kama hawezi kutumia kiungo cha mwenzake inavyotakikana?
 
Kupigwa mti ni haki ya mke, pasi na kupigwa miti si angebaki kwa wazazi wake, kwani alikuwa anakosa nini kqw wazazi wake? mwanamke anakwenda kwa mwanaume kwa misheni moja tu, kupigwa mashine, usipompa lazma akimbie.

sasa korodani ndio linafanya mapenzi au dushee?
Miaka 20 plus alivumilia mbona ....au sasa ndo kamisi sana miti kazi
 
Ndoa ina miaka 21
Tendo la ndoa limekosekana katika kipindi cha miaka 19, hivyo ndani ya miaka miwili ya mwanzo kwichikwichi ilikuwepo.
Hii story nitakuwa wa mwisho kuamini kama ilivyoandikwa. Kuna mengi hayajaelezwa
 
Hakimu Mkazi, Mwinyiheri Kondo alisema Mahakama imevunja ndoa hiyo baada ya kuona wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa ambayo si ya kawaida.

Haya matendo ya ndoa ambayo si ya kawaida ni yapi au oral sex na dildo vilihusika?

😀😀😀😀🙄
 
kwakweli mtihani sana..ndo mana kuna kuonjana jamani..[emoji48]
Sasa miaka 21 Rebeca alikuwa anaishi vipi? Huko chini kunakunywa uji?
Labda tukuulize wewe mwanamke mwenzake maana wapo wenzio husema hata miaka mia wasipoguswa hawana shida.

Haya mwenzenu huyo hapo miaka ishirini tu kabwaga manyanga.
 
Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18.

Pia, Mahakama hiyo imetoa amri mali zote walizochuma wanandoa hao, ikiwamo shamba la eka 10 lililopo Bagamoyo, maduka mawili yaliyopo Bonyokwa na Mahengo na shamba la miti ya mikaratusi lililopo Kigoma zichukuliwe na Maselege na kiwanja kilichopo Madale kitabaki kwa Rebecca.

Hakimu Mkazi, Mwinyiheri Kondo alisema Mahakama imevunja ndoa hiyo baada ya kuona wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa ambayo si ya kawaida.

Kondo alisema katika ushahidi uliotolewa na Rebecca alidai hawakuwahi kufanya tendo la ndoa tangu wafunge ndoa kutokana na mume wake kutokuwa na korodani.

Alisema kutokana na hilo, Mahakama hiyo imevunja ndoa hiyo, hivyo ndani ya siku 45 haki ya kukata rufaa kwa mdaiwa ipo wazi.

Katika kesi hiyo, Rebecca aliiomba Mahakama hiyo ivunje ndoa hiyo kisheria baada ya kuishi na mume wake kwa miaka 21 bila ya kushiriki tendo la ndoa.

Mwananchi
Hii mahakama ya Buguruni ni mabingwa wa haya maswala ya kuvunja ndoa.Nakumbuka kama wiki kadhaa kuna wanandoa wao walikuwa hakupata watoto wakaamua kuchana.ni Buguruni hapo hapo

Mungu atusaidie,Kiungo cha ndoa ni tendo la Ndoa lenyewe.inawezekana kuna ndoa nyingi zilishavunjika kimantiki tayari lakini wanandoa bado wanaishi pamoja.Tuache mzaha kwenye haya mambo ya ndoa.Kama huna uwezo wa tendo la ndoa endelea kufanya mambo mengine usiingie kwenye ndoa.Hapa hata wanaweke wapo wasio na uwezo wa tendo la ndoa pia.Yaani anakuwaga anafanya tendo la ndoa kama anabakwa tuu.Sababu wanaume wengi wanapenda kuficha siri za udhaifu wa wake zao.Toka January mpaka December mke anakwambia amechoka.na ukimchunguza wala hata hafanyi uzinzi,ila hana network
 
Aisee kweli mwanaume mashine, ndo mana wanawake wanasema nimekuja kwako sio kufuata kula bali mashine
 
Mapenzi ya bila puumbu sijui yakoje duuuh
Ila si mdudu yupo au?
Mdudu yupo pumbu ndo hakuna nijuavyo mm kazi ya pumbu nikuzalisha mbegu za uzazi Sasa km pumbu hakuna huenda jamaa alikua hamweshi uji huyu bidada kule chini maana mbegu zazizakishwi huenda jamaa alikua anaoiga miti bila kumwaga (kuchoka) rejea mapenzi ya utotoni kidudu kikisimama kimesimama mpk uache mwenyewe.

Hali hiyo yakupelekewa Moto mtakatifu itakua mwanamke mwanzoni aliifurahia ndo maana akawa mvumilivu,

Mwanamke kachoka kaona Sasa kunafaida gani kupingwa miti daily for nothing bila hata kuhisi kichefuchefu walau siku moja!

Happy Easter in advance
 
Back
Top Bottom