Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Upo.Huu wimbo ni maarufu sana. "Mahali nimefika,nimeona wema wako,na sasa ninasema wewe ni ebeneza.
Weeeeeee famous hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila aisee sio bure watakua na shida. No offense but kuna wakati wokovu ukizidi unakua kama brainwashed flani hivi

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Vifuatavyo vyaweza kuwa sababu za msingi kwa mahakama kuvunja ndoa;
Uzinzi / adultery
Ukatili / cruelity
Kutelekeza / desertion
Sasa kwa hoja ya huyo mama kukosa haki yake ya ndoa ni ukatili kwakweli physical n mental.
Hivyo basi mahakama ilikuwa sahihi kuvunja ndoa hiyo.
Kifungu cha 144 cha sheria ya ndoa ya 1973 kinasema baada ya ndoa kuvunjika kinachofata ni mgawanyo wa mali (wababa hawakipendi hiki kifungu kweli)
Sasa katika mgawanyo wa mali mahakama huangalia vitu vifuatavyo;
-extent of contribution (kiswahili mnisaidie)
- mila za sehemu husika
-watoto kama wapo

Kuna kesi marufu ya Bi Hawa versus Iddi Seif ( wamama wanaipenda kweli)
Inasema ya kwamba kile kitendo cha mwanamke kufanya shughuli za nyumbani, kulea watoto na kumuhudumia mume kinatosha kabisa kupata mgao wa mali ya mumewe.
Japo kuna majaji wanakubaliana na hiyo hoja lakini kwa angalizo kwamba mgao usiwe hamsini kwa hamsini 50/50.

Pia nikosa kwa mwanamme kumnyima mkewe d*d* na ikithibitika anaweza kumuliwa kumlipa mkewe faini au ampe (au vyote kwa pamoja)
Pia ni kosa kwa mwanamke kumyima mmewe uch** ikithibitika atamriwa mpe (mwanamke hana option ya kulipa faini katika hili😂😂)
Nawasilisha
Kwa hiyo naweza enda mahakamani nikasema mke hanipi mbususu na judge akamuamuru wife anipe mbususu? Sasa judge ata thibitisha vipi kuwa kweli mbususu nimepewa au kunakuwa na shahidi hapo wakati nasasambua mbususu ya mke?
 
Ila wanaume Bwana

Mtu unajiona una udhaifu lakini unaoa mwanamke.....kwani ukikaa singo ungekufa?

Yaani mwanamke akuvumilie tu

Ni uonezi wa hali ya juu.
 
Mdudu yupo pumbu ndo hakuna nijuavyo mm kazi ya pumbu nikuzalisha mbegu za uzazi Sasa km pumbu hakuna huenda jamaa alikua hamweshi uji huyu bidada kule chini maana mbegu zazizakishwi huenda jamaa alikua anaoiga miti bila kumwaga (kuchoka) rejea mapenzi ya utotoni kidudu kikisimama kimesimama mpk uache mwenyewe.

Hali hiyo yakupelekewa Moto mtakatifu itakua mwanamke mwanzoni aliifurahia ndo maana akawa mvumilivu,

Mwanamke kachoka kaona Sasa kunafaida gani kupingwa miti daily for nothing bila hata kuhisi kichefuchefu walau siku moja!

Happy Easter in advance
Mkuu Hivi umesoma kilichoandikwa au nawewe umeamua kuja na nadharia zako tu?,pameandikwa ndoa imevunjwa baada ya kutofanya tendo la ndoa kwa miaka zaidi ya 18,wewe unasema amepelekewa moto akachoka ndo akaamua kuvunja ndoa,bure kabisa.
 
Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18.

Pia, Mahakama hiyo imetoa amri mali zote walizochuma wanandoa hao, ikiwamo shamba la eka 10 lililopo Bagamoyo, maduka mawili yaliyopo Bonyokwa na Mahengo na shamba la miti ya mikaratusi lililopo Kigoma zichukuliwe na Maselege na kiwanja kilichopo Madale kitabaki kwa Rebecca.

Hakimu Mkazi, Mwinyiheri Kondo alisema Mahakama imevunja ndoa hiyo baada ya kuona wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa ambayo si ya kawaida.

Kondo alisema katika ushahidi uliotolewa na Rebecca alidai hawakuwahi kufanya tendo la ndoa tangu wafunge ndoa kutokana na mume wake kutokuwa na korodani.

Alisema kutokana na hilo, Mahakama hiyo imevunja ndoa hiyo, hivyo ndani ya siku 45 haki ya kukata rufaa kwa mdaiwa ipo wazi.

Katika kesi hiyo, Rebecca aliiomba Mahakama hiyo ivunje ndoa hiyo kisheria baada ya kuishi na mume wake kwa miaka 21 bila ya kushiriki tendo la ndoa.

Mwananchi

ni miaka 18 sio 21 kwenye ndoa...!! unavyo copy hbr copy kwa uhakika mkuu.
 
ni kheri humu mkuu maana kama kesi ishafikishwa mahakamani, story ishakuwa kubwa mtaani, kazini na kwa ndugu zake wote..
Kiufupi jamaa ana hali mbaya, kwanza kwa udhaifu wake na kuachwa tayari anaona maisha yake hayana thamani na kitendo cha aibu yake kuwekwa wazi.. Tayari ni mtihani mara mbili

Mungu amsimamie asichukue maamuzi magumu popote alipo
Haijafafanuliwa Vizuri. Kwani ukiwa na Korodani moja Mtwangio hautwangi?
Hawana Watoto?
Kama Mtwangio hautwangi, mama alikuwa anajipoza wapi?
Kwa hiyo walati wanatafuta Mali zote hizo walizojaliwa kuwa Nazi walikuwa wanaishia kulala kama MTU na Dada yake?

Mkuu, unaposema suala hili limemtia aibu. Gani?
Kwani ukizaliwa na kilema cha kuwa na mguu mmoja tu, no aibu? Gani?
Kwa mini mhusika aingir aibu kwa vile amezaliwa na korodani moja, as long as Mtwangio unatwamga kinu inavyotakiwa na Wazungu wanatoka, hata kama no kwa Ujazo was Korodani moja tu????[emoji52][emoji52]
 
Miaka iliyobakia anatafuta nini tena Rebecca?
...Badala ya kusmua tu kuzeeshana na mzee mwenza was miaka 21 ya kukaliana uchi chumbani??!![emoji53]

Wanawake!!

Mkiambiwa Mtesti Mitambo ya Mtombo kabla ya Ndoa, mnazoooza. Matokeo take ndio haya sasa ya mwenzenu Rebecca!? [emoji34][emoji34][emoji34]
 
Kuna kitu atakua alikua anapata huyo dada, siku zote kwenye relationships tunapima na kuwa na trade offs;nitakosa hiki ila nitapata kile,naona alikua anatafuta security na heshima ya kuolewa huku akijua mumewe hana pumbuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz,LOL, hivi huyo mwanaume sio ndezi kweli? unajijua huna pumbuzzz halafu unaenda kutafuta uhusiano? anyway pole zenu Rebeca sidhani kama mtakua na mahusiano ya kimapenzi tena, welcome to singles club,no matter what lazima maisha yaendeleee
 
Ndio mazala hayo upelek moto ety mpka ndoaa
wee njoo nikupeleke moto ili tujueane vzur [emoji23]
 
Ukose pumbu ukose na Mali kaona sio fair
Hahaha dah ila kwa maana hiyo kuna mmoja alipeleka shauri mahakamani. Sasa unajiuliza miaka yote hiyo alikuwa halioni hilo tatizo? Au limejitokeza recently.

Hata kama ni hivyo kwa ndoa ya miaka 21 tukiwapa hao watu labda miaka 25 ndio walioana watakuwa na miaka 46 wangevumiliana tu wamalizie maisha yao.
 
Back
Top Bottom