Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Kulikuwa na haja gani kumtaja huyo mwanaume jina kama sio kumdhalilisha kwa wanaomjua.
Ona sasa tumejua udhaifu wake.
Hawajamtendea haki huyo mwanaume kwa kumtangazia udhaifu wake
Kwa kweli nimewaza sana, hivi hawa watu huwa wanawaza mara mbili kabla ya kufanya vitu vya namna hiyo, kwani wangetoa tu hiyo talaka bila kumdhalilisha mshikaji wangepungukiwa na nini
 
Hata kama hana korodani ,lakini si anasukuma mashine? Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu,na unaweza hata kuchukua yatima.
Ila, shauri hili ni fumbo la imani
 
Nishawahi Pata mpenzi mlokole akaniambia ananipenda kweli ila hataki tushiriki hilo tendo

kwakua namimi nilimpenda kweli nikakubali tukapeana ahadi mpaka NDOA kweli mahusiano

yakaanza,siku - wiki - mwezi - miezi - mwaka tuna romance mashine inasimama ila ndio haina pa kwenda

mwaka wa 1 mwaka wa 2 nikapata mchepuko 1 Chance one Goal,huyo katekista wangu tukaachana

ndani ya miaka miwili no kwichikwichi, kitanda kimoja, bafu 1,tunaishi ka tuko beach nikifikiriaga ile kipindi

najiona kama nilikuaga SAMSONI flani hivi mwenye miguvu ya ajabu, katika watu mbinguni tusingekosa ni kipindi cha miaka ile miwili.

sema kuna wakati najionaga nilikuaga boya au niliwekewa limbwata?!! ila kwa yesu hamna limbwata sasa niliwezaje etiiiiiiii? bwana weee mi hata sishangai hao wapeana talaka

wengine tulikufa na kiu na angali tumezungukwa na maji ya kila aina pembeni ila vigezo na masharti ilibidi vizingatiwe.

Sina ujinga huo sasa hivi,kama ni mbingu na niikose eboooo

Daaaahhh una moyo aise
 
Haha, vipi mlokole naye kaolewa?
Ila Mkuu ipo namna alikufanyia si kawaida hii kitu.
 
Vifuatavyo vyaweza kuwa sababu za msingi kwa mahakama kuvunja ndoa;
Uzinzi / adultery
Ukatili / cruelity
Kutelekeza / desertion
Sasa kwa hoja ya huyo mama kukosa haki yake ya ndoa ni ukatili kwakweli physical n mental.
Hivyo basi mahakama ilikuwa sahihi kuvunja ndoa hiyo.
Kifungu cha 144 cha sheria ya ndoa ya 1973 kinasema baada ya ndoa kuvunjika kinachofata ni mgawanyo wa mali (wababa hawakipendi hiki kifungu kweli)
Sasa katika mgawanyo wa mali mahakama huangalia vitu vifuatavyo;
-extent of contribution (kiswahili mnisaidie)
- mila za sehemu husika
-watoto kama wapo

Kuna kesi marufu ya Bi Hawa versus Iddi Seif ( wamama wanaipenda kweli)
Inasema ya kwamba kile kitendo cha mwanamke kufanya shughuli za nyumbani, kulea watoto na kumuhudumia mume kinatosha kabisa kupata mgao wa mali ya mumewe.
Japo kuna majaji wanakubaliana na hiyo hoja lakini kwa angalizo kwamba mgao usiwe hamsini kwa hamsini 50/50.

Pia nikosa kwa mwanamme kumnyima mkewe d*d* na ikithibitika anaweza kumuliwa kumlipa mkewe faini au ampe (au vyote kwa pamoja)
Pia ni kosa kwa mwanamke kumyima mmewe uch** ikithibitika atamriwa mpe (mwanamke hana option ya kulipa faini katika hili[emoji23][emoji23])
Nawasilisha
Je Mahakama ilipokea report ya kitabibu kwamba bwana Z hana Korodani? Hapa Ni lazima ije report ya daktari Kuthibitisha Kwamba bwana Zabron Hana korodani na Iwe tendered Mahakamani kama Exbit ∆1 na Daktari Alimchukua Vipimo, Mahakama Za Mwanzo Watu Wanavurugana Tu.

Kwanza Kama Hakuna Tendo La Ndoa Ndani Ya Mda Wa Miezi 6 unatakiwa ukafile Petition Kuomba Divorce, sheria inataka uanzie Kwenye Board of Marriage Reconciliation, Kama Kanisani, Msikitini, Baraza La Kata kbla Haujaenda Kufungua Kesi Mahakamani. Ngoja nimtafutie Bwana Zabron ili tuka-appeal District Court
1 ground Ni Kwamba Mleta Maombi hakupata certificate ya Kufungua shauri la Talaka Kutoka Kwenye Marriage Board of Reconciliation [emoji4][emoji4][emoji4]

Ushaidi Wa mleta maombi hautoshi kuifanya Mahakama i-rule out decision yoyote, kunakuwa na Ushahidi Wa kitabibu kwa nature ya Shauri Husika
 
Kawaida ilitakiwa baada tu ya kufunga ndoa kesho yake hiyo ndoa ivunjwe kwa mwanaume kudanganya kuwa ni mwanaume wakati siyo

Rebecca anatakiwa adai fidia kwa kutapeliwa

Vyeti vya ndoa husomeka kuwa wewe ni.mwanaume au mwanamke maaba yaje uko.kikr vizuri au kiume vizuri? ukijibu mimi.mwanau.e au mwanamke ikafika uwa huwezi kitandani maumbile huna ya kike au kiume ndoa inavunjwa na unashitakiwa kea utapeli

Utapeli tena [emoji23]
 
Haha, vipi mlokole naye kaolewa?
Ila Mkuu ipo namna alikufanyia si kawaida hii kitu.
Mlokole wangu ana watoto sasa hivi "Kila mtoto na baba ake",natamanigi nikutane nae face to face nimkate mkofi wa USO

aniambie alinitesa vile halafu sasa hivi kiko wapi,sema ndio ivo saivi kama ni jehanamu niende ila sifanyi uzembe ule tenaa....
 
Kondo alisema katika ushahidi uliotolewa na Rebecca alidai hawakuwahi kufanya tendo la ndoa tangu wafunge ndoa kutokana na mume wake kutokuwa na korodani.
Mwanamke siyo mwaminifu, alijuaje korodani kama hajaziona nje ya huyo mumewe?
Kiapo chao kinasema atampenda katika shida na raha, imekuwaje hapo anaomba talaka?
Ina maana kabla ya kuoa huyo mume hakuwa anapata hisia? Alioa kwa msukumo hisia kutoka wapi kama kweli hana goroli?
Mwanamme anatakiwa amshitaki mwanamke kwa kutoa siri ya maumbile yake hadharani
 
Aaaah wap, hujawahi kuona mtu kafika na mkewe au mumewe wakiwa na miaka Miwili tu au tatu ya ndoa halafu baada ya hapo humuoni kaolewa au kuoa au kuwa na Mtu mwingine pembeni? Hujawahi ona?

Nimeona ila wanakuwa na mtu wa siri pembeni kwa ajili ya KUCHAKATANA ila kwa majirani utaona kwamba hajaoa au kuolewa tangu afiwe na mke/mme.
 
Ah huyo lazima alikua ana ntu wake
Maana ningemuona malaika!
Huwa nina wazaga sana siwezi kupata kweli mpango wakando nika ujengea nyuma nzuri na usafiri mzuri na mtaji wa kutosha!
Ila asiwe ana toka kwingine!
Siamini kama nina weza pata mtu mwenye kuweza kuvumilia mwezi au miezi 2 haja pigwa! Au huwa wapo!
Sasa nilivyo sikia 21 miaka ikanifikirisha sana!
 
Mlokole wangu ana watoto sasa hivi "Kila mtoto na baba ake",natamanigi nikutane nae face to face nimkate mkofi wa USO

aniambie alinitesa vile halafu sasa hivi kiko wapi,sema ndio ivo saivi kama ni jehanamu niende ila sifanyi uzembe ule tenaa....
Dah ulimtunzia mtu bikra kweli wewe ni mwema na pengine ulimtunzia dereva boda boda 😂
 
Back
Top Bottom