Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Mkuu Mali za pamoja ndio hugawanywa nusu nusu isipokuwa Mali binafi let say mnanyumba mbili za pamoja alafu mume ananyumba yake moja (hati inasoma jina lake) mume atapewa nyumba moja Kati ya mbili walizojenga pamoja pia atachukua na nyumba yenye hati yake ya umiliki maana kuwa kwenye ndoa hakukuzuii kutafuta Mali binafi

Ikitokea kunamgogoro wa Mali za pamoja na binafisi km mfano niliotoa mahakama itajiuliza kwanini Mali nyingine mnamiliki pmj na nyingine separate? Jibu litakuwa wazi kuwamnazomiliki pamoja ndio mali za ndani ya ndoa.....
Vipi ikiwa hiyo mali isiyo ya pamoja uliitafuta mkiwa ndoani?
 
Je Mahakama ilipokea report ya kitabibu kwamba bwana Z hana Korodani? Hapa Ni lazima ije report ya daktari Kuthibitisha Kwamba bwana Zabron Hana korodani na Iwe tendered Mahakamani kama Exbit ∆1 na Daktari Alimchukua Vipimo, Mahakama Za Mwanzo Watu Wanavurugana Tu.

Kwanza Kama Hakuna Tendo La Ndoa Ndani Ya Mda Wa Miezi 6 unatakiwa ukafile Petition Kuomba Divorce, sheria inataka uanzie Kwenye Board of Marriage Reconciliation, Kama Kanisani, Msikitini, Baraza La Kata kbla Haujaenda Kufungua Kesi Mahakamani. Ngoja nimtafutie Bwana Zabron ili tuka-appeal District Court
1 ground Ni Kwamba Mleta Maombi hakupata certificate ya Kufungua shauri la Talaka Kutoka Kwenye Marriage Board of Reconciliation [emoji4][emoji4][emoji4]

Ushaidi Wa mleta maombi hautoshi kuifanya Mahakama i-rule out decision yoyote, kunakuwa na Ushahidi Wa kitabibu kwa nature ya Shauri Husika
Unajuaje kama haya hayakufanyika
 
Nishawahi Pata mpenzi mlokole akaniambia ananipenda kweli ila hataki tushiriki hilo tendo

kwakua namimi nilimpenda kweli nikakubali tukapeana ahadi mpaka NDOA kweli mahusiano

yakaanza,siku - wiki - mwezi - miezi - mwaka tuna romance mashine inasimama ila ndio haina pa kwenda

mwaka wa 1 mwaka wa 2 nikapata mchepuko 1 Chance one Goal,huyo katekista wangu tukaachana

ndani ya miaka miwili no kwichikwichi, kitanda kimoja, bafu 1,tunaishi ka tuko beach nikifikiriaga ile kipindi

najiona kama nilikuaga SAMSONI flani hivi mwenye miguvu ya ajabu, katika watu mbinguni tusingekosa ni kipindi cha miaka ile miwili.

sema kuna wakati najionaga nilikuaga boya au niliwekewa limbwata?!! ila kwa yesu hamna limbwata sasa niliwezaje etiiiiiiii? bwana weee mi hata sishangai hao wapeana talaka

wengine tulikufa na kiu na angali tumezungukwa na maji ya kila aina pembeni ila vigezo na masharti ilibidi vizingatiwe.

Sina ujinga huo sasa hivi,kama ni mbingu na niikose eboooo
Mlikuwa mnazini tu hamna lolote...mnafanya romance mashine inasimama kabisa ila mnaachia hewani mbinguni mngeingilia dirishani labda au mngeruka ukuta
 
Mdudu yupo pumbu ndo hakuna nijuavyo mm kazi ya pumbu nikuzalisha mbegu za uzazi Sasa km pumbu hakuna huenda jamaa alikua hamweshi uji huyu bidada kule chini maana mbegu zazizakishwi huenda jamaa alikua anaoiga miti bila kumwaga (kuchoka) rejea mapenzi ya utotoni kidudu kikisimama kimesimama mpk uache mwenyewe.

Hali hiyo yakupelekewa Moto mtakatifu itakua mwanamke mwanzoni aliifurahia ndo maana akawa mvumilivu,

Mwanamke kachoka kaona Sasa kunafaida gani kupingwa miti daily for nothing bila hata kuhisi kichefuchefu walau siku moja!

Happy Easter in advance
pumbu imebeba mamishipa mengi sana ya uzalishaji na hisia, zikiondoka basi na mboo haina kaz tena. Ni kama injini.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Na kwanini kesi za aina hii zinakuwa wazi nafikiri kwa mila za kiafrika zingefanyika siri
Mungu amsaidie jamaa asifanye jambo la kipuuzi maana kapoteza mke na aibu yake imeshawekwa wazi kwa kila mtu wake wa karibu.. Mungu amsimamie aseee

Na kwa mnaodhihaki wakati hamjaweka jitihada yoyote kuwa hivyo mlivyo. Ombeni
Mungu asiwakumbushe kuwa
"kabla hujafa, hujaumbika"...
 
Daah maisha bhana Mungu atusaidie ndugu zetu wengine wanapitia kwenye mtihani mkubwa sana kwa kweli sema ilitakiwa asioe ili asipate hiyo kadhia iliyopo kwa sasa...
 
Na kwanini kesi za aina hii zinakuwa wazi nafikiri kwa mila za kiafrika zingefanyika siri
ingeweza kufanyika siri lakini nadhani ni kwa sababu, mahakamani kila mtu anapambania kushinda kwa kile alichodhamiria mkuu
 
Back
Top Bottom