DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama mke sio mkurugenzi wa kampuni hana chake kwenye kampuni. Hakuna mirathi. Hajafa mtu. Sehemu ya mali waliochuma pamoja ndio. Jielimishe sheria. Usikurupuke
Sahih kbsaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asiyemjua huyu mwanamke Shetani vizuri ndio anaweza kumtetea Lakini kinyume na hapo huyu ni jini kabisa alitaka kumuondoa Duniani mtu asiye na Hatia kabisa! Huyu mwanamke ni Ibilisi
 
Kuhusu Mali unaweza kukuta hiyo mwanamke alishajisevia kitambo wala Hana cha kupoteza.

Ukiwa Mpita njia kama Mimi na wewe ndio hatujui kinachoendelea, ila Le Mutuz angekuwa hai angetumwagia ubuyu maana Billionaire Mosha ni Le Super friend wake.
 
Familia ya Reginald Mengi ifanye private investigation ya kifo chake Dubai.
 
Madhaifu ambayo walishindwa kuyavumilia ni mwanamke alifanya jaribio la kumwekea mme wake sumu, likafeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…