DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
1708697558623.png
 
Kama mke sio mkurugenzi wa kampuni hana chake kwenye kampuni. Hakuna mirathi. Hajafa mtu. Sehemu ya mali waliochuma pamoja ndio. Jielimishe sheria. Usikurupuke
Sahih kbsaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asiyemjua huyu mwanamke Shetani vizuri ndio anaweza kumtetea Lakini kinyume na hapo huyu ni jini kabisa alitaka kumuondoa Duniani mtu asiye na Hatia kabisa! Huyu mwanamke ni Ibilisi
 
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Kuhusu Mali unaweza kukuta hiyo mwanamke alishajisevia kitambo wala Hana cha kupoteza.

Ukiwa Mpita njia kama Mimi na wewe ndio hatujui kinachoendelea, ila Le Mutuz angekuwa hai angetumwagia ubuyu maana Billionaire Mosha ni Le Super friend wake.
 
Sasa kashaiba zaidi ya 5B unataka apewe nini tena?? Ebu acheni unafki basi

Ebu jiweke wewe kwenye position ya Mosha alafu useme ungefanyaje. Mke kaiba 5B, Mke anachepuka na bado akataka kukuua isitoshe akakimbia tena nyumbani na pesa nyingi na akaacha ujumbe kila mtu aishi kivyake. How would you have mercy on that??
Familia ya Reginald Mengi ifanye private investigation ya kifo chake Dubai.
 
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Madhaifu ambayo walishindwa kuyavumilia ni mwanamke alifanya jaribio la kumwekea mme wake sumu, likafeli.
 
Back
Top Bottom