Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mke sio mkurugenzi wa kampuni hana chake kwenye kampuni. Hakuna mirathi. Hajafa mtu. Sehemu ya mali waliochuma pamoja ndio. Jielimishe sheria. Usikurupuke
Asiyemjua huyu mwanamke Shetani vizuri ndio anaweza kumtetea Lakini kinyume na hapo huyu ni jini kabisa alitaka kumuondoa Duniani mtu asiye na Hatia kabisa! Huyu mwanamke ni Ibilisi
Mwanaume alikuwa anapenda na kujali Familia yake Ila mwanamke alikuwa Shetani huyu Jamani! Kalikuwa kanaiba hela kanaenda Kuhonga wanaume huko
Naona Team kataa ndoa mnachukuwa ushindi mnono wa goli tatu na point tatu mapema tu.safi sana, kamuwahi kabla hajawahiwa, pumbav kabisa huyo Nansi, janamke jizi
Mwanamke mpumbavu Sana. Unaina na Bado unataka mgawane Mali. Very stupidNimeshangaa hapo, tena kwa muda wote aliokua anaiba pesa ktk kampuni, si angesepaa kimya kimya tyuuh.
Kuhusu Mali unaweza kukuta hiyo mwanamke alishajisevia kitambo wala Hana cha kupoteza.This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Kweli mkuuPesa ndefu kiufupi kaleta hasara ukiwa na pesa bora uoe goli kipa ila mwanamke yupo kweny biashara tena sehemu ya finance ..
Kweli kabisa. Kama Mosha asingekuwa mjanja Angelia.Anataka kumkomoa Mosha ili amcheke vizuri na shoga zake.
Alitaka kumfilisi mazima. Sio Kwa wizi huo. Bilioni tano zote hizo.Kabisaa Mosha anasema mwanamke kaiba zaidi ya 1.5 Million dollars yaani zidisha kwa 2540*1,500,000=3.8 Bilioni,
Jumla mwamba kaibiwa 5bilioni kongole kwa jaji
Na Yule mke wa Billionaire Msuya Leo hukumu imekwendaje?Inafikirisha Sana , tamaa ni kitu kibaya Sana siku zote.
Unataka tukuamini wewe mpita njia au ushahidi uliotolewa na wanandoa mbele ya mahakama?.Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.
Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.
Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
Unaijuwa USD million 750?Ndio boss. USD Milion 750
Mshahara alikuwa analipwa vizuri tu. Ila hizo dollar 750,000 alizikwapua nyumbani wakati Mosha amesafiri nje ya nchi.Nilikuwa nazungumzia utofauti kati yake na jackline mengi.
Hajaiba. Amechukua maana anastahili, amezifanyia kazi.
Amechanganya. Ni 750,000 dollarsUnaijuwa USD million 750?
Familia ya Reginald Mengi ifanye private investigation ya kifo chake Dubai.Sasa kashaiba zaidi ya 5B unataka apewe nini tena?? Ebu acheni unafki basi
Ebu jiweke wewe kwenye position ya Mosha alafu useme ungefanyaje. Mke kaiba 5B, Mke anachepuka na bado akataka kukuua isitoshe akakimbia tena nyumbani na pesa nyingi na akaacha ujumbe kila mtu aishi kivyake. How would you have mercy on that??
Madhaifu ambayo walishindwa kuyavumilia ni mwanamke alifanya jaribio la kumwekea mme wake sumu, likafeli.This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?