DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wale Taliban ni wanaume
 
Nashengena Boy alimtamani huyo dada kwasababu anang'aa wakati aliyekuwa akimfanya ang'ae ni mume.

Baada ya divorce lazima mng'ao upungue kwa mwanamke hapo ndio boy anapomuacha. wanawake huwa hawafikiri mbali!

kwahiyo sasa hivi huyo dada kwenye nyumba ya ex husband wake kashaondoka au siyo?
 
Tena matajiri! Aisee ndoa za matajiri zina shida siyo kidogo!
Matajiri wengi hawana muda na sex, sasa mwanamke ukiwa unapenda dudu lazima utakitembeza tu. Sasa huyo dada kama
Hajaondoka ansubiria mgao. Kesi ina zaidi ya miaka 8 haiishi. Mume ana maisha yake mengine na ndio anazidi kuwa na mkwanja na kapandishwa cheo .
 
Maelezo mazuri kabisa
 
Umekosea sana asee kunianika humu na jumba langu. Nafungua kesi ya defamation
 
Hapa ndipo KATAA NDOA tunakula poit tatu ugenini kabisa na ubingwa ni wa kwetu cc Liverpool Vpn Dronedrake
 
Umekosea sana asee kunianika humu na jumba langu. Nafungua kesi ya defamation
Jumba gani? Jumba la wizi na malaya wako huyo Nancy, na bado tutaweka mpaka kiprado chako hapa, na kila ulichoiba Afrikana tutaweka hapa, Kafara zoote mlizofanya na malaya wako na uchawi tutaweka hapa, kila kitu kitawekwa hapa, kwa kuwa umemshauri Huyo Mbwa aweke Kesi hapa wakati alijitoa mwenyewe, Soon Hata wakili wake huyo Diana naye atawekwa hapa, kila goti litapigwa
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Acha tamaa ya mali wewe Sasa kwanini alimuwekea sumu mumewe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
......ROHO......
 
Ndoa sio rahisi miaka 28 yote matopeni
Aisee, huyu mwamba alikua hayuko sawa kichwani ukimwona.
Kumbe ni bibi anamsumbua.
Na ukiona hivyo ujue mwanamke ndio anajua siri zote za utajiri wake.
Wanawake ni viumbe vya ajabu kabisa.
Nilitaka kuua ila Nikaokoka,
Kibaka kaiba kisu cha Umeme ambacho nilikua nikamalize kazi.
Aisee yule mwizi namshukuru sana.
Ningekua jela.
Tokea hapo mi mapenzi na wanawake big NO.
Nipo nao ila kimachale tu.
 
Ukiolewa na mwanaume anaetimiza majukumu yake inabidi ushukuru sana. Kumsomesha huyo binti Uturuki haimfanyi Davis ashindwe kushindwa kuhudumia mke na watoto. Karne hizi kupata mwanaume anaeweza kuihudumia familia ni kazi sana. Na pia ukiangalia umri umeshaenda. Kama alikuwa anaona Davies anatumia hela vibaya angetakiwa ajipange azitafute za kwake. Hata Ulaya na Marekani wanawake hawataki shida. Mwanamke anaolewa na tajiri. Na tajiri anachukua likizo fupi na anaenda kujiliwaza na mchepuko na mke halalamiki. Mwanamke kama anataka kuhudumiwa anatakiwa ajishushe. Na pia ajitambue kuwe yeye ni Mke. Wanaume wanao-oa ni wachache sana siku hizi. Kuna msemo tuliambiwa na mababu zetu wanaume tusioe wanawake wazuri. Lakini ukiangalia kuna mfano wa mwanamme mzuri na mwanaume tajiri. Mwanaume tajiri na mwanamke mzuri wanasumbuliwa sana na vishawishi vya mapenzi. Ukipenda Boga penda na ua lake. Kama maisha ya mwanaume tajiri huyawezi tafuta masikini uwe nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…