DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Shida kubwa ya hawa mama zetu na dada zetu ni tamaa za kutaka kumiliki uchumi na kuwa huru.

Nawaambia Dunia ikiamua kuwa serious na suala la 50/50 mnalodai kwenye issue za utafutaji basi mnaweza kudai tena haki zenu za kuwa wanawake na mkataka isiwe tena 50/50 bali 0/100.

Nawaunga mkono Watalebani na Sheria zao dhidi ya mwanamke.
Wale Taliban ni wanaume
 
Kuna dada mmoja naye baada ya kuona wamejenga vigorofa vi 2 akaanza tibwili la talaka. Wakatengana vyumba na mumewe , akawa analeta boy wake mpaka hapo home , watoto wanamuita mjomba. Alikuwa anadai apewe ghorofa moja. Amekanyaga mahakamani na kuloga balaa, lakini wapi. Sasa hivi hata huyo boy wake kamuacha anazurura tu, duka la nguo lmekufa sababu ya kutumia pesa kwenye kesi na kuloga.
Ningemuona wa maana kama angetumia muda huo kuonyesha kwamba hata mimi naweza kutafuta hela ,lakini wapi, busy na ulozi na mahakamani.
Nashengena Boy alimtamani huyo dada kwasababu anang'aa wakati aliyekuwa akimfanya ang'ae ni mume.

Baada ya divorce lazima mng'ao upungue kwa mwanamke hapo ndio boy anapomuacha. wanawake huwa hawafikiri mbali!

kwahiyo sasa hivi huyo dada kwenye nyumba ya ex husband wake kashaondoka au siyo?
 
Tena matajiri! Aisee ndoa za matajiri zina shida siyo kidogo!
Matajiri wengi hawana muda na sex, sasa mwanamke ukiwa unapenda dudu lazima utakitembeza tu. Sasa huyo dada kama
Nashengena Boy alimtamani huyo dada kwasababu anang'aa wakati aliyekuwa akimfanya ang'ae ni mume.

Baada ya divorce lazima mng'ao upungue kwa mwanamke hapo ndio boy anapomuacha. wanawake huwa hawafikiri mbali!

kwahiyo sasa hivi huyo dada kwenye nyumba ya ex husband wake kashaondoka au siyo?
Hajaondoka ansubiria mgao. Kesi ina zaidi ya miaka 8 haiishi. Mume ana maisha yake mengine na ndio anazidi kuwa na mkwanja na kapandishwa cheo .
 
Mke hajasema hataki Mali, ukisoma Ile hukumu inasema Ile ni matrimonial court, Mali ambazo inaweza kuzigawanya ni Mali za wanandoa, zilizochumwa pamoja.....kinachoonekana Mosha ametengeneza mazingira kuwa hamna Mali ya wanandoa, Mali zilizoorodheshwa ni zake binafsi kabla ya ndoa, alizonunua wakati wa ndoa baada ya kuuza Mali zake za kabla ya ndoa na Mali za kampuni zenye madeni.
Utaona mwishoni hukumu inarecommend mke anaweza kufungua madai mahakama ya madai kudai mgao wa Mali za kampuni.
Hukumu hii inahusu talaka na mgawanyo wa Mali za ndoa.
Maelezo mazuri kabisa
 
LEO NANCY ANATAFUTA HUTUMA HUMU AKIJUA ATAPATA UTETEZI LAKINI NIMWAMBIE, HII THREAD IENDELEE ILI TULETE USHAHIDI, YEYE AMEAMUA KUWEKA HUMU

Nawatafuta Sana Watu wa kilakala Mliosoma na Nancy/Habiba mpo wapiij njooni humu, Habiba/Nancy wa bwenini na uchawi, Alipata mganga tupeni link ya kilakala ilikuwaje, Leteni Ushahidi hapa msiogope.

Nancy/Habiba Labda wengi niwaambieni jina lake Nancy Ni Habiba, Hilo la Nancy alibadili aingie Kwenye mfumo wa mtu mwenye Mali akabadili jina lake, Lakini binti huo Habiba/Nancy Kuna watu Alisoma nao wanaomjua in and out nashangaa wako kimyaa njooni mumuelezee huyu Habiba Tabia zake za uchawi, Na Hata Kwenye Biashara alizozikuta alijiunga na mpenzi wake mpya kwa siri Huyo Mtabibu Mitimingi, na alivyonogewa kumuibia Pesa za kampuni na kunogewa penzi la Huyo Mtabibu na kunogewa zaidi Tabia za kichawi za Mpenzi wake Huyo, aliiba aliiba mabilioni kwa mabilioni na wakafanikiwa kujenga Nyumba kwa siri Kwenye kiwanja Cha Mtabibu Mitimingi, Gorofa ambao wengi mtakumbuka mwishoni mwa mwaka 2023 Mtabibu Huyo alilizindua.

Na mbaya zaidi Wakati Nancy/Habiba akihangaika kuua na Meseji zake kushikwa na kukimbia Nyumbani kwake kwa Aibu, akajua Sasa wanajumba la kifahari na akasema amenunua Apartment Masaki hababaishwi, Sasa ameshikwa masikio kufufua Kesi aliyojitoa na kukubari Talaka Sasa kilichotokea hatujui.

Jumba Hilo la Mtabibu naliattach hapa ili watu wa Kilakala Sekondari wake hapa.
Umekosea sana asee kunianika humu na jumba langu. Nafungua kesi ya defamation
 
Hapa ndipo KATAA NDOA tunakula poit tatu ugenini kabisa na ubingwa ni wa kwetu cc Liverpool Vpn Dronedrake
 
Umekosea sana asee kunianika humu na jumba langu. Nafungua kesi ya defamation
Jumba gani? Jumba la wizi na malaya wako huyo Nancy, na bado tutaweka mpaka kiprado chako hapa, na kila ulichoiba Afrikana tutaweka hapa, Kafara zoote mlizofanya na malaya wako na uchawi tutaweka hapa, kila kitu kitawekwa hapa, kwa kuwa umemshauri Huyo Mbwa aweke Kesi hapa wakati alijitoa mwenyewe, Soon Hata wakili wake huyo Diana naye atawekwa hapa, kila goti litapigwa
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Acha tamaa ya mali wewe Sasa kwanini alimuwekea sumu mumewe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na Pia

waambie kabisa na Baba wa watu Pamoja na kumuacha bado alimpa Nyumba na Gari na cash Lakini mwanamke hakomi ameanza chokochoko tena yani hapo tu anapokaa amelipiwa sasa nashangaa Shida ni Nini sijui anataka Roho Ya huyo baba na sasa Kichwa kinamuuma kuharibu sijui Nani atamlipia tena mwanamke Mpumbavu anawaza Mali Mali Mali tu kama ni watoto wapo Kwa baba yao huyo Baba Kampa mtoto mkubwa kila kitu ndio ceo na shareholder sasa Shida ni nn huyo Davis mwenyewe hana Shida na Mali kila siku ni masadaka kanisani huko Moshi kiboroloni mwaka wa 26 huu anasaidia Misaada wazee yani huyu dada hiyo laana aliyonayo itamtesa sanaaaa
......ROHO......
 
Ndoa sio rahisi miaka 28 yote matopeni
Aisee, huyu mwamba alikua hayuko sawa kichwani ukimwona.
Kumbe ni bibi anamsumbua.
Na ukiona hivyo ujue mwanamke ndio anajua siri zote za utajiri wake.
Wanawake ni viumbe vya ajabu kabisa.
Nilitaka kuua ila Nikaokoka,
Kibaka kaiba kisu cha Umeme ambacho nilikua nikamalize kazi.
Aisee yule mwizi namshukuru sana.
Ningekua jela.
Tokea hapo mi mapenzi na wanawake big NO.
Nipo nao ila kimachale tu.
 
Watu wanamtetea Huyu Davis Mosha ambaye anasomesha mtoto wa Demu wake uturuki binti anaitwa Vanney na anatambaaa na anampenda kuliko watoto wake wa kuzaaa, limbukeni wa Pesa huyu mwanaume anafahamika jaji hukumu yake ni ya mihemko.

Anasema mwanamke aliiba na kujaribu kumuua huyo Mosha kwa fact zipi sheria ya siku hizi nyepesi sana ukiwa na pesa.
Ukiolewa na mwanaume anaetimiza majukumu yake inabidi ushukuru sana. Kumsomesha huyo binti Uturuki haimfanyi Davis ashindwe kushindwa kuhudumia mke na watoto. Karne hizi kupata mwanaume anaeweza kuihudumia familia ni kazi sana. Na pia ukiangalia umri umeshaenda. Kama alikuwa anaona Davies anatumia hela vibaya angetakiwa ajipange azitafute za kwake. Hata Ulaya na Marekani wanawake hawataki shida. Mwanamke anaolewa na tajiri. Na tajiri anachukua likizo fupi na anaenda kujiliwaza na mchepuko na mke halalamiki. Mwanamke kama anataka kuhudumiwa anatakiwa ajishushe. Na pia ajitambue kuwe yeye ni Mke. Wanaume wanao-oa ni wachache sana siku hizi. Kuna msemo tuliambiwa na mababu zetu wanaume tusioe wanawake wazuri. Lakini ukiangalia kuna mfano wa mwanamme mzuri na mwanaume tajiri. Mwanaume tajiri na mwanamke mzuri wanasumbuliwa sana na vishawishi vya mapenzi. Ukipenda Boga penda na ua lake. Kama maisha ya mwanaume tajiri huyawezi tafuta masikini uwe nae.
 
Back
Top Bottom