Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,866
- 1,076
huyo mwanamke kwenye hizo biashara alikuwa nani, kama mke au mhasibu (mfanyakazi) ?Kama huyo Demu wa kaskazini watasumbua sana ,mwanamke alikuwa kweny biashara zake kwa miaka kama 20 .
Ngoma bado mbichi ,mapema inaonekana mwanamke kaleta tamaa ...Ila jamaa akae la sivyo ajiandae .
...kuna kitu huelewiMosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Jamii inaamini hivyo kwa kuwa ndoa nyingi ni za imani za dini, na dini zinaelekeza kuwa mtafutaji wa mali na utajiri ni mwanaume.Lakini tatizo kubwa katika jamii yetu ni kuona mali yote inayopatikana wakati wa ndoa ni ya mwanaume na anammegea mke wake kama fadhila tu. Kinachosikitisha ni kuwa wanawake wengi wanaamini hivyo pia kwa sababu nao hawathamini mchango wao katika mafanikio ya familia.
Tuseme aliyeshinda hizo fedha amefariki. Jee hizo fedha zitatolewa katika mirathi ili mwenzake asifaidike nazo? Kama zitahesabiwa kama sehemu ya mirathi basi ni pato la pamoja.sajo msaada kwenye tuta mkuu. Swali la kufikirika: hivi kama kuna wanandoa ambao mmoja wapo amenunua tiketi ya bahati nasibu na kushinda zawadi kubwa, zile fedha zitahesabika kama ''pato la pamoja'' kama ndoa itavunjika siku moja baada ushindi? Assume, fedha zilizonunu tiketi zilitoka mfukoni mwa aliyeshinda na hakumshirikisha kwa vyovyote mwenzake.
Mkuu, hapa umejielekeza vibaya. Kitu ambacho ni pato la pamoja, akifa mmojawapo automatically umiliki wote unahamia kwa aliyebaki hai.Tuseme aliyeshinda hizo fedha amefariki. Jee hizo fedha zitatolewa katika mirathi ili mwenzake asifaidike nazo? Kama zitahesabiwa kama sehemu ya mirathi basi ni pato la pamoja.
Amandla...
...kuna kitu huelewi
Ni mke pia ni muhasibu!huyo mwanamke kwenye hizo biashara alikuwa nani, kama mke au mhasibu (mfanyakazi) ?
Ndugu yangu punguza tamaa ,mke ana haki kama mke (kama kaolewa kisheria) hata kama angekuwa mama wa nyumbani ana haki kama mtu aliyechangia sehemu ya mali za mumewe.huyo mwanamke kwenye hizo biashara alikuwa nani, kama mke au mhasibu (mfanyakazi) ?
Umesoma hukumu lkn ama umekuja huku kwa speed huku unanyambia nyambiaMfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.
Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.
Je hii ni sawa?
==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
- Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
- Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
- Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
- Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
- Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
- Kila mmoja atabeba gharama za kesi
View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Maisha ni mafunzo na darasa tosha kama huwezi soma rudi kaangalie marudio ya yanga akimkanda belouzdadYaani tuanze kusoma maviingereza yote hayo kwa watu wasiotuhusu na ambao wanatuhumiana juu ya zinaa, kutokuaminiana n.k
Acha wamalizane wanavyojuana...
Sio kweli kuna vitu haviwezi kupotea kama hewa tunayovuta, ndoa, kula na kunya tek that to the bankThe institution of marriage is going to die in the next 20 years.haya ni madhara ya ubepari na ubinafsi.wanawake wameamka na wanaume wamekuwa macho.
teknolojia ikifika mahali ambapo mwanaume/mwanamke unaweza kununua watoto wa kwako mwenyewe bila mwenza tena kwa bei stahimilivu ndoa zitakufa rasmi duniani.
ndg, marriage is going to be replaced either by temporary cohabitation or something else. Attention span za binadamu zimebadilika siku hizi kukaa na mtu muda mrefu miaka hii nenda rudi ni almost impossibleSio kweli kuna vitu haviwezi kupotea kama hewa tunayovuta, ndoa, kula na kunya tek that to the bank
Umeleta perspective nyingine ambayo ni nzuri. Pengine neno "pato" sio zuri na ingetumika milki. Ninavyojua mimi ni kuwa sheria zinaangalia ni mali gani zilipatikana wakati wa ndoa bila kujali milki yake k.m. limenunuliwa lori au imenunuliwa nyumba ambazo hati zake zinaonyesha mmiliki ni mume. Wakati wa mirathi hizo zote zinakusanywa na kuwa sehemu ya mirathi ya marehemu na mke ndio mara nyingi anapewa usimamizi wake kwa niaba ya familia. Kwa mantik hiyo ni usimamizi tu wa mali ya familia ndio unaamuliwa. Uamuzi wa kuzigawa ni sehemu pia ya usimamizi. Ninachosisitiza ni kuwa haki ya warithi inatokana na mahusiano yao na marehemu na sio mchango wao katika upatikanaji wa mali hizo. Hivyo hivyo katika talaka. Zinaangaliwa mali zilizomo katika familia na kuzigawa kwa wahusika ipasavyo. Ingawa mara nyingi mgao ni kati mume na mke wake lakini haki za watoto kufaidika na mali hizo unaangaliwa. Ndio maana majukumu pia ya malezi yao yanakuwa sehemu ya process ya talaka. Ninachopinga mimi ni ile dhana kuwa haki ya mke inategemea fadhila ya mume kwa sababu tu mali zao ziko katika jina lake. Lakini point uliyoi raise kuhusu kurithi kitu ambacho tayari ni chako ni nzuri sana.Mkuu, hapa umejielekeza vibaya. Kitu ambacho ni pato la pamoja, akifa mmojawapo automatically umiliki wote unahamia kwa aliyebaki hai.
Kwa hiyo kama mali ipo kwenye mirathi, basi tafsiri ni kuwa ilikuwa ya marehemu pekee na sio chumo la pamoja. Huwezi kuomba urithi kitu ambacho kisheria tayari ni cha kwako.
Ndoa zitazidi kuwepo zimebadilika mfumo tu sshv wanawake kwa wanawake wanaume kwa wanaume but kimsingi zipo zitaendelea kuwepo that's naturendg, marriage is going to be replaced either by temporary cohabitation or something else. Attention span za binadamu zimebadilika siku hizi kukaa na mtu muda mrefu miaka hii nenda rudi ni almost impossible
hata hzo zina matatizo siku hizi, angalia divorce rate zake huko Marekani,zipo chini compared to heterosexual marriages lakini zinazidi kupanda.Ndoa zitazidi kuwepo zimebadilika mfumo tu sshv wanawake kwa wanawake wanaume kwa wanaume but kimsingi zipo zitaendelea kuwepo that's nature
soma kuanzia page 10.Ni mke pia ni muhasibu!
Unazijua sheria za Tanzania kweny ndoa kweli?
Mke anahusika kweny mali za mumewe walizochuma baada ya ndoa ,mke ana haki kama mke(mke wa ndoa) hata kama aliajiriwa haki hizo kama kurithi mali za mume na nyingine.