Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Unasoma accusations ambazo hazina ni madai ,hizo accusations zitapelekea mke kufunguliwa kesi kama ya kutaka kuua ,uwizi ila kwqnza waprove .soma kuanzia page 10.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasoma accusations ambazo hazina ni madai ,hizo accusations zitapelekea mke kufunguliwa kesi kama ya kutaka kuua ,uwizi ila kwqnza waprove .soma kuanzia page 10.
Inawezekana kuwa uko sahihi. Lakini tatizo kubwa katika jamii yetu ni kuona mali yote inayopatikana wakati wa ndoa ni ya mwanaume na anammegea mke wake kama fadhila tu. Kinachosikitisha ni kuwa wanawake wengi wanaamini hivyo pia kwa sababu nao hawathamini mchango wao katika mafanikio ya familia. Hata pale ambapo sheria inasema kuwa ana haki ya kupata mgao katika mali za familia wengi wanaishia kusema kuwa watamuachia Mungu hasa kama aliyekuwa mume wake ni tajiri au mtu mwenye nguvu katika jamii. Hapa mnamlaumu mwanamke kuwa kwa kuwa ana tamaa kama vile kuwa na tamaa ni dhambi. Huyo mume wake asingekuwa na tamaa angepata huo utajiri? Wanaume wangapi wamepata mafanikio kwa sababu mwanamke ana tamaa ya maendeleo ikiwa pamoja na mali? Huyu mwanamke anaitwa malaya wakati aliyekuwa mume wake sio tu ana mipango ya kando na hata mahakama imekiri kuwa amezaa na angalau mmoja wao. Unafik na double standards zenu zinaudhi kwa kweli.
Amandla...
Single Maza mmeshavamia Uzi tayariKwamba mwanamke kuolewa na kuhudumiwa na mume aliemchagua mwenyewe kwa hiyari yake ni Msaada??
Kwamba ndoa ni lazima kwa mwanamke kiasi kwamba mpaka vitisho vya uhai na kifo vitumike??
Kwamba kutokua muaminifu kwenye ndoa na kusimamia viapo vya ndoa kwa mwanaume hiyo ni haki yake??
Kwamba wanaume wote matajiri kuwa wazinifu ndio style yao na haki yao ya maisha??
Kwamba unawafahamu wanaume wa Ulaya wenye michepuko na wanaenda kupumzika nayo huku mke akitoa baraka zake??
Kwamba style za maisha ya wanaume wa Ulaya ni haki yenu wanaume wa Afrika kuziiga ila ni kosa na dhambi kubwa kwa wanawake wa Afrika kuishi/kutaka kuishi Kama wanawake wa huko Ulaya (Feminists)??
Umefikiri kwa kutumia nini haswa?
Unapanda mbegu za bangi unatarajia kuvuna mchicha?!
Mwanamke sio Malaikah. Mwanamke ni binaadam tu Kama wewe, tofauti yake kubwa ni maumbile ya viungo vya uzazi.
Tamaa ulizonazo wewe nae pia anazo hizo hizo.
Vishawishi vinavyokuandama wewe nae pia vinamsonga tena pengine zaidi yako.
Magumu na machungu ya maisha yana kipomo sawa sawa kati yako na yeye na wakati mwingine yeye ni kikubwa zaidi.
Unapomtaka mwanamke kukuvumilia katika shida na raha na wewe unategemewa usimame upande huo huo hizo shida a raha zikiwa upande wake.
Unapomtarajia Mkeo kuvumilia madhaifu yako na mapungufu yako ndivyo inavyotarajiwa kutoka kwako pia kuyavumilia mapungufu yake na kuyaelewa madhaifu yake.
Maisha hapa duniani sio mashindano maana mwisho wa siku hesabu sio za pamoja, kila mtu ana zake.
Maisha ya Ndoa pia sio mashindano ni makubaliano ya watu wazima kwa hiyari zao kutengeneza/kuendeleza kizazi chao.
Inapofikia hatua mnaanza kuwa washindani ndani ya Ndoa, hiyo Ndoa haifai tena kuwepo.
Na mawazo na akili Kama zako ndizo zimetufikisha hapa. Hawa wanawake wa sasa ni kizazi cha wanawake walionyanyaswa na “kumilikiwa na kizazi cha wanaume ambao ni mababa zenu ninyi wavulana wa sasa.
Tarajia hali kuwa mbaya zaidi ya sasa maana watoto wakike wanazidi kuamka na ku retaliate, kumbukumbu za mama zao zipo damuni.
Kibaya zaidi baba zenu ninyi wavulana wapo busy kushindana kuwamiliki wanawake kiasi kwamba wamesahau uanaume halisi haswa ni upi so hawana tena nyenzo za kuwaandaa kuwa wanaume halisi.
Chaos is yet to come! Tuvute pumzi.
Hakuna mtu mwenye pesa anaweza kuvumilia shida. Kama hauna pesa hauwezi kuelewa hii kauli. Dada yangu kama unataka unyenyekewe kwenye ndoa kama malaika. Tafuta mume masikini na umhudumie kila kitu umpe mpaka hela ya bia. Na kuahidi hata ndugu zake watakutetea ukikosea. Tatizo wanawake wengi mnachukulia uzuri wenu una thamani. Thamani ya binadamu yeyote duniani ni kiasi cha disposable income anachokimkliki. Mwanamke kama hauna hela kubali kuwa mnyonge. Usishindane na mumeo kwa kumkomoa. Wewe na mumeo ni vitu viwili tofauti. Yeye ndio anakuhudumia kila kitu. Na uwezo wake wa kukuhudumia ndio unaosababisha wanawake wenzako wamsumbue. Maisha yana sheria zake. Maisha ni kuchagua nimeshaelezea hapo juu uchague kutokana na maisha unayotaka. Sikubaliani na mwanaume anaetembea na mahawara huku hatimizi majukumu yake kama mume.
Single Maza mmeshavamia Uzi tayari
I bet wewe ni single Maza umeshajichokea!Maisha ya Ndoa sio mashindano na wala Ndoa sio jela.
Binaadam wa sasa mnataka muishi Kama mko single at the same time mko kwenye ndoa na family ya kutosha. You can never have the cake and eat it too!
Mnataka kuishi Kama wavulana na wake zenu nao wakitaka kuishi Kama ninyi kisichana mnakasirika! Haiwezekani, muosha huoshwa.
Viapo vya ndoa sio nyimbo kwamba kwasababu umekariri unaimba tu, elewa maana ya Kiapo tena mbele za Wazazi, Ndugu na Jamaa + Mungu.
Uvulana ukikutoka utaelewa.
Huwezi kuwa na mwanaume kama Mimi pumbavu. Unachoweza kupiga mitandaoni.Nenda kasafishe kwanza kinywa ndio uje uni quote. Unatoa harufu mbaya.
I bet wewe ni single Maza umeshajichokea!
Hakuna mwanaume wa kuoa mwanamke Tapu Tapu kama wewe!
Tupe break please hiki ni kikao cha wanaume!
Huwezi kuwa na mwanaume kama Mimi pumbavu. Unachoweza kupiga mitandaoni.
Umeshapewa talaka unakuja kuzodoa wanaume hapa
Umeshashindwa na ndoa unaleta stress zako hapa kama kichaa kuharibu mabinti wadogo wawe Gume Gume kama wewe pumbavu zakoWe nawe hebu nitolee shombo!
Mimi situmii Gays, Hebu Try someone else!
Ndoa sio mashindano hautakiwi kushindana na mumeo . Wewe na yeye ni watu wawili tofauti. Kama mke wangu ndio mwenye hela na mimi silipi kitu chochote hapo nyumbani nipo tayari kuishi kwa kujishusha. Mimi kama mwanaume siwezi hayo maisha ndio maana najitafuta. Narudia tena "Hakuna mtu mwenye hela anaweza kuvumilia shida". Kumwambia tajiri aishi unavyotaka wewe wakati yeye anakuhudumia hicho kitu hakiwezekani. Yaani unateseka kutafuta hela halafu mwenza wa ndoa anakutesa 😂 😂 😂 😂. Tatizo watanzania tumejifungia hatusafiri na hatuna exposure. Hili suala la 50/50 huku Ulaya na marekani lipo kwa masikini tu. Lakini matajiri wa huku hawana hizo mbanga. Jitafute jipambanie uishi unavyotaka, maana hata ukiachana na mumeo ukiwa hauna hela mtoto hawezi kuishi na wewe hata kama ni mama yake. Maisha ni kuchagua hakuna raha bila karaha. Hakuna husband material wa kwako peke yako. Mwanamke ukiwa na hela hauzeeki 😂😂😂😂. Hii nimexperience kwa ndugu zangu wenye hela na hata Marafiki naongelea uhalisia wa Maisha. Ukiwa na hela hadi kanisa linakuwa upande wako hivyo viapo vipotezee. Wewe naona bado ni mdogo kazana kusoma maana mwanamke ni rahisi kuajiriwa kuliko mwanaume.Maisha ya Ndoa sio mashindano na wala Ndoa sio jela.
Binaadam wa sasa mnataka muishi Kama mko single at the same time mko kwenye ndoa na family ya kutosha. You can never have the cake and eat it too!
Mnataka kuishi Kama wavulana na wake zenu nao wakitaka kuishi Kama ninyi kisichana mnakasirika! Haiwezekani, muosha huoshwa.
Viapo vya ndoa sio nyimbo kwamba kwasababu umekariri unaimba tu, elewa maana ya Kiapo tena mbele za Wazazi, Ndugu na Jamaa + Mungu.
Uvulana ukikutoka utaelewa.
Sasa kama mke hajaambulia pesa au mali yoyote hiyo jeuri ya kuendesha kesi miaka 5 kwa hizi mahakama zetu ataitoa wapi?Ngoma bado mtu akipeleka shauri mahakamani kajipanga kimtindo sio rahisi kudai mahakamani...Mosha kashtuka mchezo ila ajipange hata miaka 5 wanaweza kusumbuana mahakamani.
Mwanamke akidai mali kadhamiria sio kitoto hapo balaa tupu.
Hujaona kwenye hukumu kwamba pamoja na kuiba pesa pia alitaka kumuua kwa sumu? Hivi hata kama ndoa ina miaka 50 na ukapata ushahidi kwamba mwenza wako anataka kukutoa roho hiyo siyo sababu tosha ya kuvunja ndoa?This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Umeshashindwa na ndoa unaleta stress zako hapa kama kichaa kuharibu mabinti wadogo wawe Gume Gume kama wewe pumbavu zako
Na hapo umeona kumuita single mother umemtusi. Haujui watu wengi wenye mafanikio wamelelewa na kukuzwa na single mothers.I bet wewe ni single Maza umeshajichokea!
Hakuna mwanaume wa kuoa mwanamke Tapu Tapu kama wewe!
Tupe break please hiki ni kikao cha wanaume!
Achana nae.My friend, I’m a Phenomenal Woman!
Situmii mashoga na sina msaada kwa mashoga Kama wewe maana hata Dildo wala strap on naziona kwenye movies tu, so I can’t be of any help kwako, jaribu kwingine.
Ndoa sio mashindano hautakiwi kushindana na mumeo . Wewe na wewe ninwatu wawili tofauti. Kama mke wangu ndio mwenye hela na mimi silipi kitu chochote hapo nyumbani nipo tayari kuishi kujishusha. Mimi kama mwanaume siwezi hayo maisha ndio maana najitafuta. Narudia tena "Hakuna mtu mwenye hela anaweza kuvumilia shida". Kumwambia tajiri aishi unavyotaka wewe wakati yeye anakuhudumia hicho kitu hakiwezekani. Yaani unateseka kutafuta hela halafu mwenza wa ndoa anakutesa 😂 😂 😂 😂. Tatizo watanzania tumejifungia hatusafiri na hatuna exposure. Hili suala la 50/50 huku Ulaya na marekani lipo kwa masikini tu. Lakini matajiri wa huku hawana hizo mbanga. Jitafute jipambanie uishi unavyotaka, maana hata ukiachana na mumeo ukiwa hauna hela mtoto hawezi kuishi na wewe hata kama ni mama yake. Maisha ni kuchagua hakuna raha bila karaha. Hakuna husband material wa kwako peke yako. Mwanamke ukiwa na hela hauzeeki 😂😂😂😂. Hii nimexperience kwa ndugu zangu wenye hela na hata Marafiki naongelea uhalisia wa Maisha. Ukiwa na hela hadi kanisa linakuwa upande wako hivyo viapo vipotezee. Wewe naona bado ni mdogo kazana kusoma maana mwanamke ni rahisi kuajiriwa kuliko mwanaume.
Na hapo umeona kumuita single mother umemtusi. Haujui watu wengi wenye mafanikio wamelelewa na kukuzwa na single mothers.
Nyinyi ma dead beat dads mnaishia kuwa losers ambao sifa pekee mliokuwa nayo ni kuwa mlizaliwa wanaume.
Hiki ni kikao cha wote sio wanaume peke yao. Nenda kawa bully wengine lakini sio humu, you misogynist fool.
Amandla...
Maisha ni mafunzo na darasa tosha kama huwezi soma rudi kaangalie marudio ya yanga akimkanda belouzdad