DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mosha shikilia hapo hapo,

Akikata rufaa kamata majaji wape mlungula kesi waiendeshe Kwa miaka 10 Ili huyo mwanamke afirisike kwenye kuendesha kesi. [emoji16] Ubaya ubaya tu!


Wanawake much know kama hao ni kwenda nao kimafia
 

Uko sahihi. Unafiki uliogubika jamii yetu tumeugeza ndio mila na desturi zetu. Sad!
 
Single Maza mmeshavamia Uzi tayari
 

Maisha ya Ndoa sio mashindano na wala Ndoa sio jela.

Binaadam wa sasa mnataka muishi Kama mko single at the same time mko kwenye ndoa na family ya kutosha. You can never have the cake and eat it too!

Mnataka kuishi Kama wavulana na wake zenu nao wakitaka kuishi Kama ninyi kisichana mnakasirika! Haiwezekani, muosha huoshwa.

Viapo vya ndoa sio nyimbo kwamba kwasababu umekariri unaimba tu, elewa maana ya Kiapo tena mbele za Wazazi, Ndugu na Jamaa + Mungu.

Uvulana ukikutoka utaelewa.
 
I bet wewe ni single Maza umeshajichokea!


Hakuna mwanaume wa kuoa mwanamke Tapu Tapu kama wewe!

Tupe break please hiki ni kikao cha wanaume!
 
Ndoa sio mashindano hautakiwi kushindana na mumeo . Wewe na yeye ni watu wawili tofauti. Kama mke wangu ndio mwenye hela na mimi silipi kitu chochote hapo nyumbani nipo tayari kuishi kwa kujishusha. Mimi kama mwanaume siwezi hayo maisha ndio maana najitafuta. Narudia tena "Hakuna mtu mwenye hela anaweza kuvumilia shida". Kumwambia tajiri aishi unavyotaka wewe wakati yeye anakuhudumia hicho kitu hakiwezekani. Yaani unateseka kutafuta hela halafu mwenza wa ndoa anakutesa 😂 😂 😂 😂. Tatizo watanzania tumejifungia hatusafiri na hatuna exposure. Hili suala la 50/50 huku Ulaya na marekani lipo kwa masikini tu. Lakini matajiri wa huku hawana hizo mbanga. Jitafute jipambanie uishi unavyotaka, maana hata ukiachana na mumeo ukiwa hauna hela mtoto hawezi kuishi na wewe hata kama ni mama yake. Maisha ni kuchagua hakuna raha bila karaha. Hakuna husband material wa kwako peke yako. Mwanamke ukiwa na hela hauzeeki 😂😂😂😂. Hii nimexperience kwa ndugu zangu wenye hela na hata Marafiki naongelea uhalisia wa Maisha. Ukiwa na hela hadi kanisa linakuwa upande wako hivyo viapo vipotezee. Wewe naona bado ni mdogo kazana kusoma maana mwanamke ni rahisi kuajiriwa kuliko mwanaume.
 
Ngoma bado mtu akipeleka shauri mahakamani kajipanga kimtindo sio rahisi kudai mahakamani...Mosha kashtuka mchezo ila ajipange hata miaka 5 wanaweza kusumbuana mahakamani.

Mwanamke akidai mali kadhamiria sio kitoto hapo balaa tupu.
Sasa kama mke hajaambulia pesa au mali yoyote hiyo jeuri ya kuendesha kesi miaka 5 kwa hizi mahakama zetu ataitoa wapi?
 
Hujaona kwenye hukumu kwamba pamoja na kuiba pesa pia alitaka kumuua kwa sumu? Hivi hata kama ndoa ina miaka 50 na ukapata ushahidi kwamba mwenza wako anataka kukutoa roho hiyo siyo sababu tosha ya kuvunja ndoa?
 
Umeshashindwa na ndoa unaleta stress zako hapa kama kichaa kuharibu mabinti wadogo wawe Gume Gume kama wewe pumbavu zako

My friend, I’m a Phenomenal Woman!

Situmii mashoga na sina msaada kwa mashoga Kama wewe maana hata Dildo wala strap on naziona kwenye movies tu, so I can’t be of any help kwako, jaribu kwingine.
 
I bet wewe ni single Maza umeshajichokea!


Hakuna mwanaume wa kuoa mwanamke Tapu Tapu kama wewe!

Tupe break please hiki ni kikao cha wanaume!
Na hapo umeona kumuita single mother umemtusi. Haujui watu wengi wenye mafanikio wamelelewa na kukuzwa na single mothers.

Nyinyi ma dead beat dads mnaishia kuwa losers ambao sifa pekee mliokuwa nayo ni kuwa mlizaliwa wanaume.

Hiki ni kikao cha wote sio wanaume peke yao. Nenda kawa bully wengine lakini sio humu, you misogynist fool.

Amandla...
 

Na hapa ndipo unapokosea.

Ufahamu wako umevipa thamani vitu (pesa + mali) na sio utu, kwa mentality hii husitegemee utulivu kwenye Ndoa.

Kuwindana will be your way of life, wewe na huyo mwenzio na atakae muwahi mwenzie (Case ya DM na mkewe hapa) ndio mjanja.

Uzuri wa mbio za sakafuni huishia ukingoni.

Inakuwaje binaadam wa sasa mnaona wenza wenu ni kama maadui zenu?

Mwana Ndoa unakaa ndoani huku mwenza humuamini hata ukucha, mnaishi kwa kuviziana na kuoteana Kama vibaka ndani ya Ndoa?

Unamzalisha na kumpa jukumu la malezi ya kizazi chako mwanamke ambae kutwa unamnanga na kuona hatoshi kuwa binaadam Kama wewe Kisa tu ni jinsia Ke?

Umewaza matokeo ya kizazi chako kitakachotokana na huyo mwanamke?

Bado tunashangaa kwanini jamii inaenda mrama?!

Kila kukicha unajaza negativity tu kuhusu wenza kwenye Ndoa na ubaya wa Ndoa, positivity na uzuri wa Ndoa vitavutwaje kuwafikia?!

Mwisho wa siku Maisha na Uhai wako hapa duniani na baadae ndani ya Ardhi, ni wewe mwenyewe unaamua yaweje, hakuna miujiza wala maajabu yatafanyika zaidi yako wewe.

We create our future through what we do and believe today, what we do and who we are today is a product of our actions and choices of Yesterday.

We create our own Hell and Heaven.


Na wala hakuna nafuu kati ya Mwanamke wa sasa na Mwanaume wa sasa, they are all cut from the same cloth. Ngoma itaendelea kunoga.
 

Wachana nae huyo, he’s on the hunt.

Anatafuta Bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…