DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bado haujapitia shida kama hauoni umuhimu wa hela. Utu unatumika kama kigezo cha kuwakamua na kuwatawala masikini. Sijaweka negativity kwenye ndoa nimesema ndoa unachagua wewe mwenyewe.Tajiri hana muda wa kumnanga mke. Narudia tena kwa mara ya tatu "Hakuna mtu mwenye hela anaeweza kuvumilia shida". Wewe kama unataka kuishi kama kwenye movie tafuta masikini mwenzako. Mlishane ugali bamia kwenye mkeka. Lakini unataka uwe na mume tajiri, akununulie gari na kukuhudumia kubali kujishusha. Wanawake wenzako wanaona kabisa huyu jamaa ana mke na anaweza kumhudumia mke halafu na wewe unaleta kiburi. Hakuna mwanaume tajiri wa kwako peke yako. Kama mwanamke mzuri anavyotongozwa kila kukicha vivyo hivyo mwanaume tajiri anasumbuliwa kila kukicha. Kwa dunia ya leo unategemea kabisa mumeo ambaye amekuzidi hela na anakuhudumia kila kitu aishi unavyotaka 😂 😂 😂 😂 are you serious ? Mume anakuhudumia na anawaheshimu wakwe zake na mashemeji halafu unalia kisa ana kimada.
 

Kwahiyo kuwaheshimu wakwe na mashemeji (ambao kwa mujibu wa sheria ni wazazi na ndugu zake pia ndio maana wakaitwa “in laws) ndio kipimo sahihi cha kwamba anastahili zawadi ya kuwa mzinifu?

Kwamba kwa sababu anahudumia na kumpa kila kitu anachotaka mkewe basi hiyo ni ticket yake ya bure ya kuwa mzinzi?

Kumtaka mume alieapa kwa hiyari yake kuishi kwenye ndoa, kufuata viapo vya hiyo ndoa ni ujinga na ushamba?

Kwa sababu mume anapesa na anatoa kila kitu kwa mkewe na wanawake huko nje wanamtaka basi mke awe mpole “ajishushe amuache mume akiuke kiapo alichoapa mwenyewe na kuvunja mkataba kati yao?
Mwenza aliyepo kwenye Ndoa hampangii mwenza wake namna ya kuishi, ni Viapo na masharti ya Ndoa ndivyo vinamuelekeza mwanaNdoa aishi vipi na Mwenza wake.

Huwezi kufuata masharti na vigezo vya kuwepo ndani ya Ndoa ni kheri uachane na Ndoa ufanye mambo mengine.


Umevipa thamani Pesa na Mali, tegemea mazingaombwe sana kwenye Maisha yako.
 
Unaongea nadharia dada yangu unachokitaka hakipo hapa duniani. Na ndio maana wanawake wengi hawaolewi. Kwa sababu wanataka pesa na kunyenyekewa kwa pamoja. Hivyo vitu havipo na havitakaa viwepo. Hakuna mtu atakaekupa pesa na heshima kwa pamoja. Ukiwa na mtazamo huo lazima utakosa mume labda utafute mwanaume ambaye hana hela. Lakini mwanaume mwenye mtazamo huu atasumbuliwa kila siku na wanawake wakililia awaoe. Na mwanamke mwenye mtazamo huu akipata mwnaume mwenye hela anaolewa chap kwa haraka. Unang'ang'ania viapo vya ndoa wakati wachungaji, masheikh na mapadri wanakumbatia matajiri. Unashindana na mumeo una uwezo wa kulipa ada ? Au kuihudumia hiyo nyumba ? Jishushe tu na jifanye mjinga watoto wakishakuwa na Umri ukienda mume atajirudi angalau. Lakini hauwezi kushindana na mtu mwenye hela. Kama unataka Utu tafuta wa size yako. Kuna dada mmoja alikuwa hajatulia akaja kupata mwanaume mwenye nia ya kumuoa. Alikuwa na uwezo mkubwa kifedha akaja kuachana nae kisa alifumania sms za kimapenzi. Hiyo ilikuwa mwaka 2008, mwezi wa saba mwaka huu anatimiza 37. Hana ndoa na bado yupo kwao, yule jamaa ana mke na ameshaoa. Na huyu dada amekuwa kimada kila akihitaji hela anaenda kwa yule ex-wake kubatuliwa. Anamfanyia vituko mke wa jamaa lakini mke anamwambia tu kuwa "wewe ni hawara hauwezi kuwa mke". Dada mpaka leo anajutia maana mke ndio anaitwa Mama Tarimo yeye kabaki kuwa kihawara chenye tamaa ya hela 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Huyu mke wa Tarimo ndio anajua nini maana ya kuwa mke.
 
Utaongea point sana

Ila reality ya jamii hapa duniani mwanaume aki cheat anasamehewa penda usipende...mwanamke akicheat hakuna kusamehewa,sasa chagua moja!

Shida ni kwamba utaongea point kupita maelezo,ila reality ya jamii ni tofauti na upende usipende jamii ndio ina determine your life here
 
Kama hupendi ndoa achana nayo

Hakuna haja ya kujifanya philosopher

I wonder why people are so teseka na vitu vinaitwa ndoa?

Umeingia,vimekushinda,piga chini,waliomo achana nao wateseke na wao,who cares
 
Inaelekea vijana wengi wanadhani kuwa wanawake wote waliokuwa katika ndoa na matajiri waliukuta huo utajiri. Ndio maana wanatawataka wa stfu ama sivyo watafurumushwa na huku wamevaa tu nguo walizokuja nazo. Wasichojua ni kuwa wanaume wengi wanawaoa wake zao wa kwanza wakiwa hawana kitu. Wanawake hao wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake hata kama ni kuhakikisha kila siku anaonekana nadhifu, anakula vizuri na ana pumzika vya kutosha. Shida inakuja mali inapopatikana na mume kuanza kumuona sio wa status yake. Wanaume wanaanza kuchelewa nyumbani hata kulala nje na wakiulizwa wanaulizwa wewe una shida gani? Si unakula na kusaza? Dharau hizo ndio mara nyingi zinawasukumiza kutafuta comfort na solace kutoka kwa vijana ambao hata siku moja hawatamuonyesha dharau.

Kitu kingine ambacho hawa vijana wanapaswa kutambua ni kuwa muelekeo ni kuwa huko mbeleni nafasi za uongozi nyingi zitashikwa na wanawake kwa sababu ndio wanaofanya vizuri mashuleni. Wengi wao hawatakubali manyanyaso yeyote na wengine wataona hata ndoa ni usumbufu. Vijana watakuta hamna anayetaka kuolewa nao. Sijui watakimbilia wapi?

Wanatakiwa wajifunze kuwa heshima ni muhimu kuliko mali. Kumheshimu mke wako hakuna maana kuwa unamnyenyekea. Ni unampa stahili yake.

Amandla...
 



Ng'ombe wewe !


Yesu alilelewa na single Maza ??!


Mtume Mohammad alikuzwa na single Maza?


Sadly wewe ni mwanaume unajitongozesha Kwa kidume!

Sioi Tena!
 
My friend, I’m a Phenomenal Woman!

Situmii mashoga na sina msaada kwa mashoga Kama wewe maana hata Dildo wala strap on naziona kwenye movies tu, so I can’t be of any help kwako, jaribu kwingine.
Ukweli ninaokupa ni huo nyie single Maza na mliofeli kwenye mahusiano ndio mnaharibu wasichana wa watu wanakuwa magume Gume kama wewe.


Umeshaachwa unatafuta huruma mitandaoni!


Huna tofauti na huyo mke wa Mosha!
 
Ni mke pia ni muhasibu!
Unazijua sheria za Tanzania kweny ndoa kweli?

Mke anahusika kweny mali za mumewe walizochuma baada ya ndoa ,mke ana haki kama mke(mke wa ndoa) hata kama aliajiriwa haki hizo kama kurithi mali za mume na nyingine.
Una ushahidi gani kuwa Hizo Mali walichuma wote?
VIPI kuhusu tuhuma za kuiba Dola 1m na Sumu hapo atastahili?
Au ni dada Yako unamtetea EE? Kwa Mangi hatoboi,mamangi ni brightest sio rahisi uwaingize mjini
 
kumbe alikuwa ni mtoto wa mosha
 

Reality ya jamii ipi?

Na hakuna jamii inayo determine maisha ya mtu hapa duniani, ni mtu mwenyewe ndie mwenye maamuzi ya kuipa nafasi jamii kuyaendesha maisha yake. And only weak pathetic people do this.

Sikushangai kuona kwamba ni sahihi jamii kufurahia na kuupa baraka uchafu kwa maana misery loves company.

Uzinzi ni chanzo mmoja wapo cha umasikini na maradhi ya kuteketeza na ndio maana wanaoelewa hawashangai hali ya binaadam wanaoishi Afrika (uzinzi + Starehe)

Mwanamke anaevumilia na kukubaliana na matendo ya uzinifu ya mume wake Kisa tu Jamii inayakubali pia, ni mjinga hasiejitambua wala kutambua thamani yake.

Tunaendelea kushukuru Asili kwa kuendelea ku balance “shobo, mara nyingi tumeshuhudia wachimba makaburi wakiingia wenyewe. Tupo hapa.
 

Kichekesho zaidi hapa ni wewe kudhani unawajua wanaume wote hapa duniani, mainly wenye pesa, na unazijua njia zao za maisha ya mahusiano, mapenzi na ndoa.

Ina maana ni kweli wasemavyo kwamba mwizi siku zote uhisi anaibiwa? Muongo siku zote anahisi anadanganywa?!

Uhakika wa kwamba sisi binaadam wote ni Sawa ila kila mmoja kaumbwa na utofauti wake ni wa asilimia zaidi ya 1000!

Kama wewe sio mwaminifu na uko mzinifu na Una pesa basi kati ya wenzako wengine 100 ujue kabisa wapo wenzenu wengine 100 na zaidi ni waaminifu na waadilifu kwenye viapo vyao vya ndoa na commitments za kimaisha na wenza wao.

Ni utoto kufikiri kwamba wanaume wote na wanawake wote wanaakili Sawa Sawa juu ya matumizi ya miili yao. Haiwezekani.

Unapoamua kuingia kwenye Ndoa, simamia na kuvilinda viapo vyako na mikataba mliyoingia na mwenza wako, short of that mapicha picha hayakuachi hata baada ya umauti wako, hiyo ndio sheria ya Ulimwengu.

Huwezi kusimama imara, achana kabisa na Ndoa wala kula viapo ama kuingia mikataba inayohusisha maisha (roho) yako na ya mwenza wako, majuto yake huwa ni zaidi ya mjukuu.


Huwezi kucheza na kinyesi utegemee kunukia uturi.
 
Hakuna mwanaume mwenye hela ambaze ni mwaminifu kwa mwanamke mmoja. Watu wanatumiwa picha ya uchi na mashemeji zao kisa hela. Mwanaume mwenye hela anapitia vishawishi vingi sana ndio maana hawawezi kutulia na mwanamke mmoja. Naona bado ni mdogo na maisha bado haujayatambua. Unang'ang'ania viapo wakati mapadri, masheikh na wachungaji wanatulia mbele ya hela. Amka dada yangu ukitaka kuishi maisha ya muvi kutukuzwa kazana na shule uajiriwe kama kina Jokate. Maana maisha ya leo binti ukiwa na shule kidogo rahisi kutoboa. Kamwe Tajiri anakomolewa na tajiri mwenzake. Muheshimu sana mtu mwenye "disposible income". Maana wakati wewe unahangaika kutafuta hela yeye ana uwezo wa kutoa hela na asipungukiwe. Nancy anashindana na mtu aliyetoa mil 400 kanisani utamwambia nini mchungaji akusikilize, Are you seruíous ? Wanawake amkeni ukiolewa na mtu anaeweza kukuhudumia na jishushe na jifanye mjinga focus na familia yako wewe mume na watoto. Yasiyokuhusu achana nayo, kuna wanawwake walishindana na waume zao wameachika hauwezi kuamini. Wanawake hamjui mnachotaka narudia ndoa ya mtu mwenye hela inabidi ujishushe tena sana. Hio haki sawa huku Ulaya ipo kwa masikini ambapo unakuta mke na mume wote wanafanya kazi wanagawana majukumu yote kuanzia bill za umeme maji n.k hii ndoa unaiweza dada yangu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…