Reality ya jamii ipi?
Na hakuna jamii inayo determine maisha ya mtu hapa duniani, ni mtu mwenyewe ndie mwenye maamuzi ya kuipa nafasi jamii kuyaendesha maisha yake. And only weak pathetic people do this.
Sikushangai kuona kwamba ni sahihi jamii kufurahia na kuupa baraka uchafu kwa maana misery loves company.
Uzinzi ni chanzo mmoja wapo cha umasikini na maradhi ya kuteketeza na ndio maana wanaoelewa hawashangai hali ya binaadam wanaoishi Afrika (uzinzi + Starehe)
Mwanamke anaevumilia na kukubaliana na matendo ya uzinifu ya mume wake Kisa tu Jamii inayakubali pia, ni mjinga hasiejitambua wala kutambua thamani yake.
Tunaendelea kushukuru Asili kwa kuendelea ku balance “shobo, mara nyingi tumeshuhudia wachimba makaburi wakiingia wenyewe. Tupo hapa.