DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Jamii inakuendesha ndio maana upo hapa umejaa hasira

Kama isingekua jamii ungekua zako home ume-relax limume ushafukuza saa nyingi and you even dont bother

Wingu la jamii inavyo perceive ndio inakupa pressure kiama ndio maana upo hapa kutupa lecture sisi jamii walao tukuelewe upate faraja ya roho yako kwamba upo sahihi

Cha ajabu wewe upo sahihi na jamii haipo sahihi,ila upumbavu wa jamii ni LAZIMA ukupite na uchukue nafasi,so sad!

Pole my friend....

Stop projecting yourself on me, unakosea.

Kwamba nina hasira? Umeziona wapi ama kuzisikia vipi?

Kama wewe umeruhusu jamii yako kuamua jinsi ya kuishi maisha yako na kukuamulia namna ya kuyaendesha, hiyo hainihusu mimi na ukae ukijua sio watu wote ni wadhaifu kiasi hicho.

Suala sio mimi kuwa sahihi, ni uhalisia wa kanuni za ulimwengu. Na masharti, sheria na vigezo vya kuwepo ndani ya Ndoa sio vyangu, vipo, mimi na wewe tumevikuta.

Kwa sababu tu jamii fulani inafurahia uchafu na ujinga wa wanajamii wao haina maana hiyo ndio njia sahihi.

Na kwasababu jamii yako imezongwa na watu wachafu wasio waadilifu na mafisadi wa roho za wenzao, haina maana kwamba watu wasafi, waadilifu na waaminifu hawapo na hawasimami imara kwenye njia zao, wapo wamejaa tele.

Naona unalazimisha kanuni ya wahenga wa kiswahili, “msiba wa wengi ni harusi!
 
Wanapenda sana dezo😂 eti mwanaume sharti anihudumie...Mtu unamuoa ila kushea cost hataki kabisa yani.

Utafte mali kwa nguvu kisha mwisho aje kutaka mgawane pasu kwa pasu wakati hakuna mchango alioweka zaidi ya kutanua mapaja tu na kuongeza wategemezi.

Hayo mapaja anajitanua akiwa mwenyewe ama ni wewe ndio unamtanua?

Hao tegemezi anaoongeza ni kazi ya mikono yake peke yake ama ni ushirikiano wenu na matokeo ya ngono/mapenzi kati yenu ndio vimewaongeza?

Wakati wewe ukitafuta mali huyo Mkeo anakuwa wapi? Kama sio Maiti ni ipi point ya malalamiko yako?

Unataka mwanamke ambae wewe unajiita “kichwa na kiongozi wake, ku share cost ndani ya family? Unayajua matokeo yake?

Matokeo ya kucheza ground Level moja na Mkeo ndani ya Ndoa unaweza kuyahimili ya kuyaongoza yasirudi Kama mshale wa moto dhidi yenu?

Mfumo wa mwanamke kuhudumiwa na kuenziwa hakuutengeneza mwanamke na ndio maana ukaitwa Mfumo dume, hii ni creation ya mwanaume kwa asilimia zote katika harakati zake za kulinda Ego + Insecurities zake.

Matokeo ya huo Mfumo ndio tunayaona sasa na hapa bado hayajakolea vizuri.

Kwa waelewa hawashangai. Mwanaume siku zote harakati zake hapa duniani ni kutengeneza njia za kujimaliza mwenyewe.

Hili bomu la Ndoa linaloendelea kulipuka taratibu ni kazi iliyotukuka kabisa ya Mwanaume, na bado mengi yanakuja.
 
Stop projecting yourself on me, unakosea.

Kwamba nina hasira? Umeziona wapi ama kuzisikia vipi?

Kama wewe umeruhusu jamii yako kuamua jinsi ya kuishi maisha yako na kukuamulia namna ya kuyaendesha, hiyo hainihusu mimi na ukae ukijua sio watu wote ni wadhaifu kiasi hicho.

Suala sio mimi kuwa sahihi, ni uhalisia wa kanuni za ulimwengu. Na masharti, sheria na vigezo vya kuwepo ndani ya Ndoa sio vyangu, vipo, mimi na wewe tumevikuta.

Kwa sababu tu jamii fulani inafurahia uchafu na ujinga wa wanajamii wao haina maana hiyo ndio njia sahihi.

Na kwasababu jamii yako imezongwa na watu wachafu wasio waadilifu na mafisadi wa roho za wenzao, haina maana kwamba watu wasafi, waadilifu na waaminifu hawapo na hawasimami imara kwenye njia zao, wapo wamejaa tele.

Naona unalazimisha kanuni ya wahenga wa kiswahili, “msiba wa wengi ni harusi!
What shit could I possibly project myself to you on?

Nothin'

Kama jamii haina power on you atleast a very small power to irritate you,ungekua zako home chilling with your life!

Ila upo hapa highly irritated na jamii hiyo hiyo which means they hold some sway on your balls.

Mume kacheat,wewe umeenda kucheat kwa retaliation,amekushika,amekufukuzia mbali then upo hapa kama philosopher giving us lectures!

Jamii ndio imeamua hivyo,kwakweli sorry

Jamii ni prison you cant escape,cha msingi ujifunze unachokiweza na nini hukiwezi
 
Sijaongelea company assets maana huwezi kuzidai mahakamani ukidai talaka.

Sasa davis mosha hana mali binafsi.

Kampuni yake ya delina imeanza toka miaka ya 80s huko.

Ndoa kafunga mwaka 1999.

Mpaka nyumba ya kuishi waliokuwa wanaishi baada ya kufunga ndoa ni nyumba mali ya kampuni. Gari zake zote zimeandikishwa jina la kampuni

Mosha hana mali yoyote yenye jina lake.

Ndio maana jaji ameona hakuna cha kugawanya kwa wanandoa
 
Hayo mapaja anajitanua akiwa mwenyewe ama ni wewe ndio unamtanua?

Hao tegemezi anaoongeza ni kazi ya mikono yake peke yake ama ni ushirikiano wenu na matokeo ya ngono/mapenzi kati yenu ndio vimewaongeza?

Wakati wewe ukitafuta mali huyo Mkeo anakuwa wapi? Kama sio Maiti ni ipi point ya malalamiko yako?

Unataka mwanamke ambae wewe unajiita “kichwa na kiongozi wake, ku share cost ndani ya family? Unayajua matokeo yake?

Matokeo ya kucheza ground Level moja na Mkeo ndani ya Ndoa unaweza kuyahimili ya kuyaongoza yasirudi Kama mshale wa moto dhidi yenu?

Mfumo wa mwanamke kuhudumiwa na kuenziwa hakuutengeneza mwanamke na ndio maana ukaitwa Mfumo dume, hii ni creation ya mwanaume kwa asilimia zote katika harakati zake za kulinda Ego + Insecurities zake.

Matokeo ya huo Mfumo ndio tunayaona sasa na hapa bado hayajakolea vizuri.

Kwa waelewa hawashangai. Mwanaume siku zote harakati zake hapa duniani ni kutengeneza njia za kujimaliza mwenyewe.

Hili bomu la Ndoa linaloendelea kulipuka taratibu ni kazi iliyotukuka kabisa ya Mwanaume, na bado mengi yanakuja.
Kwa hoja zako hizi,zile hoja wanazosema watu kua wanawake walioolewa wawe WANALIPWA mishahara baada ya kuolewa?

Basi tuseme mwanaume akitaka kuoa aite interview wahojiwe wanawake the best candidate aolewe awe analipwa?

Ikifika hapo ndio mwisho wa dunia,hakuna mtu ataolewa na hakuna mtoto atazaliwa popote

The world's population itatoka 8Bil to 0 very fast!

On top of that mjioe na kujitomba wenyewe mzae wenyewe mlee wenyewe
 
What shit could I possibly project myself to you on?

Nothin'

Kama jamii haina power on you atleast a very small power to irritate you,ungekua zako home chilling with your life!

Ila upo hapa highly irritated na jamii hiyo hiyo which means they hold some sway on your balls.

Mume kacheat,wewe umeenda kucheat kwa retaliation,amekushika,amekufukuzia mbali then upo hapa kama philosopher giving us lectures!

Jamii ndio imeamua hivyo,kwakweli sorry

Jamii ni prison you cant escape,cha msingi ujifunze unachokiweza na nini hukiwezi

You have some sort of brain disorder ama ndio bipolar?

Wewe uko hapa kwa sababu jamii iko na power juu yako? Do you even know that we are in a public forum online? Tena ukurasa wa Habari na Hoja mchanganyiko? Discussing kisanga cha DM na mkewe?

Do you have any idea what a public social media forum is?

FYI: I have no balls, and if I had any then they would be of Steal.

Cheating? This is pure projection hapa.

Jamii haiamui maisha yako no matter any kind of power you give it, haiwezekani. Ni wewe mwenyewe unaamua if you want to be stupid for the rest of your life or not.

Usije kutenda makosa ukahisi “jamii will be there to protect you, watakuacha mataa ya pale Kamata!

The only free prison keeping the Human in bondage it’s their own brain/mind, and this is evident in your statements.

You’re a true masterpiece of a broken society, and that’s your own fault sio ya jamii cause you let them.

Only fools and weak pathetic people use their society as their defense shield.
 
Kwahiyo umegeuka daktari wa kupima watu online na kutoa majibu online?

Sikujua

Hapana,huu mkasa umeuchukulia very personal kama wewe ndio huyo mke wa Mosha

Na kwavile sikuoni,directly my instinct tells me unaweza ukawa ndio yeye au mtu very close nae huyo dada

Kutaja balls dada sio lazima eti uwe nazo literally

Jamii can do anything to you,na ukifeli sio wao ni wewe binafsi

Effect ya jamii ni prison we the people we cant escape,tunazidiana tu viwango vya kuzuia hizo effects ila huwezi ziondoa 100%

Upo hapa unaongea na butthurted kama Nancy mwenyewe ndio maana directly tunakueleza kua,jamii ilishaamua mwanaume aki-cheat anabaki,wewe uki-cheat unafukuzwa,Nancy/wewe kafanya hivyo,kafukuzwa,hakuna haja ya kulia lia

Ni uongo na uzandiki eti kutueleza eti effects za jamii hazikupati hata chembe,huo ni uongo

Hasira na irritation unazozimwaga humu mpaka sasa inaonesha kabisa jamii is so deep into your butthole,kwahiyo kutudanganya huna effect yeyote ni just lies bwana

Mengine ni matusi,punguza basi,maana wanadamu wengine wanayajua pia,kama unaona kuoga mavi ndio unapenda sana be official with it
 
Mgao unakuwepo ila mke anaweza kuondoka na kiduchu au kikkubwa kutegemeana na mchango wake kwenye hiyo mali. Halafu ni ngumu sana kama ni mama wa nyumbani kuthibitisha mchango wake. Pia inategemea watoto watakuwa chini ya uangalizi wa nani, kama ni baba, basi mgao kwa mwanamke utaendelea kuwa kiduchu kwani mwanaume atajitetea bado ana jukumu la kulea watoto. Sio rahisi ki hivyo kama wanawake tunavyojiaminisha. Halafu wanaume siku hizi ni wanjanja sana, Mali nyingi haziandikwi kwa majina yao hivyo ni ngumu kugagawanywa.
Mimi sidhani kuwa mke anahitaji kuthibitisha mchango wake katika upatikanaji wa mali. Ingekuwa hivyo basi housewives wasingekuwa wanapata chochote.

Haki yake inaendana na yeye kuwa mke anaetambulika. Kinachoweza kufanyika ni kufikia tu makubaliano ya kiasi anaona kitamfaa hata kama sio nusu. Kwa mfano watalaka wa Gates na Bezos waliondoka na sehemu ndogo ya utajiri wa waume wao lakini iliwafanya kuwa moja ya wanawake matajiri duniani.

Kuficha mali sio rahisi kihivyo. Ukiwa na wakili mzuri atazipata tu ( Brela n.k.) na baada ya hapo ni rahisi kuthibitisha kuwa yule aliyeandikwa ni kivuli tu. Tatizo kubwa la wanawake ni kukata tamaa mapema na wengi kujiona kuwa hawastahili haki yao kwa sababu tu mwanaume ni kichwa cha familia. Ukiongeza kampeni za matusi, kejeli n.k. zitakazofanywa dhidi yao wengi wanaona it is not worth it. Ila kuna wakati hao wanao wadhulumu wanajikuta walikodhani ni poa kumbe ndiko motoni hasa. Yule waliomuona ni malaika kumbe ni Jezebel haswa.

Tumewashuhudia wengi baada ya kukamuliwa kisawasawa na hao majezebel wakiwaangukia wale waliowafukuza kwa matusi na mbwembwe nyingi.

Au hao waliokuwa wanagombea kuchukua nafasi ya aliyeachwa baada ya kuipata wanakuta ni shubiri tupu na kuanza kuelewa kwa nini mwenzao alikuwa vile.

Amandla...
 
Kwa hoja zako hizi,zile hoja wanazosema watu kua wanawake walioolewa wawe WANALIPWA mishahara baada ya kuolewa?

Basi tuseme mwanaume akitaka kuoa aite interview wahojiwe wanawake the best candidate aolewe awe analipwa?

Ikifika hapo ndio mwisho wa dunia,hakuna mtu ataolewa na hakuna mtoto atazaliwa popote

The world's population itatoka 8Bil to 0 very fast!

On top of that mjioe na kujitomba wenyewe mzae wenyewe mlee wenyewe

Wapi nimesema wanawake waliomo ndani ya Ndoa walipwe? Unaijua hata maana halisi ya Ndoa? Mind you sizungumzii hayo maigizo ya Social networks.

Pale mwanaume anapokua na wanawake wawili na zaidi kabla ya kuoa na akaja kuoa mmoja wengine akawapiga chini, hii sio interview?

Uzuri wa huu ulimwengu tuliopo, tayari Asili inayo mamlaka ya kunyoosha mistari tunayopindisha sisi viumbe hapa duniani. Kwahiyo huo mwisho wa Dunia unaoutabiri wewe hauwezi kuja kwa style hiyo. Utasubiri sana.

Wanawake wataendelea kuolewa na wanaume wataendelea kuoa na binaadam hawa hawa Kama wewe na Mimi wataendelea kuproduce some of the best marriages to ever exist huku wengine wakiproduce the worst and most toxic marriages. And such is the reality of life.
 
Company properties hazigawanywi kwenye kesi za talaka.

Jaji ameandika vizuri sana. Kuhusu hiloView attachment 2916834
Sawa. Lakini shares ni matrimonial property. Kampuni haitavunjwa lakini mume anaweza kutakiwa kumlipa mwanamke kiasi ambacho kinalingana na share zake katika kampuni au ampe share zenyewe. Kingine ni kuthibitisha kuwa kutokana na share na dividend anazopata basi anaweza kulipa pesa ambazo mtalaka wake anataka.Hawatagawana asset za kampuni.

Amandla...
 
Wapi nimesema wanawake waliomo ndani ya Ndoa walipwe? Unaijua hata maana halisi ya Ndoa? Mind you sizungumzii hayo maigizo ya Social networks.
Nisome vizuri,sijasema umesema kua wanawake walipwe....

Nimesema kwa hoja ulizotoa zinakumbusha hoja za wale wanaosema wanawake walipwe kwenye ndoa

Relax
Pale mwanaume anapokua na wanawake wawili na zaidi kabla ya kuoa na akaja kuoa mmoja wengine akawapiga chini, hii sio interview?
Sio interview ndugu

Mapenzi ni interview?

Ukiondoa dhana ya "mapenzi" hapo basi inageuka interview

So far tunajua "mapenzi" yamo ndani hivyo dhana ya interview inafia hapo hapo!

Relax
Uzuri wa huu ulimwengu tuliopo, tayari Asili inayo mamlaka ya kunyoosha mistari tunayopindisha sisi viumbe hapa duniani. Kwahiyo huo mwisho wa Dunia unaoutabiri wewe hauwezi kuja kwa style hiyo. Utasubiri sana.
Binadamu ana uwezo wa ku-alter the nature ku-fit him at that particular time akiwa duniani

Nature unayozungumzia wewe ina take very long time to self-rectify,decades hadi centuries,yule binadamu alie leta lile badiliko ashakufaga

Familia ndio basic human unit,ukivuruga hapo idadi ya watu ina perish

Hutaki andamana
Wanawake wataendelea kuolewa na wanaume wataendelea kuoa na binaadam hawa hawa Kama wewe na Mimi wataendelea kuproduce some of the best marriages to ever exist huku wengine wakiproduce the worst and most toxic marriages. And such is the reality of life.
Idadi ya ndoa ziapungua

Idadi ya divorces zinaongezeka

Hiyo ni mavi?

Sababu kubwa ya kwanza unajua ni nini?FEMINISM kama yako hii

Kilichomtekea shosti yako Nancy ni hicho cha toxic marriages ulichotaja....

Amepigwa cha uso,atulizane basi atafute hiyo best maariage unayoitaja hapa kama atapata
 
Kwahiyo umegeuka daktari wa kupima watu online na kutoa majibu online?

Sikujua

Hapana,huu mkasa umeuchukulia very personal kama wewe ndio huyo mke wa Mosha

Na kwavile sikuoni,directly my instinct tells me unaweza ukawa ndio yeye au mtu very close nae huyo dada

Kutaja balls dada sio lazima eti uwe nazo literally

Jamii can do anything to you,na ukifeli sio wao ni wewe binafsi

Effect ya jamii ni prison we the people we cant escape,tunazidiana tu viwango vya kuzuia hizo effects ila huwezi ziondoa 100%

Upo hapa unaongea na butthurted kama Nancy mwenyewe ndio maana directly tunakueleza kua,jamii ilishaamua mwanaume aki-cheat anabaki,wewe uki-cheat unafukuzwa,Nancy/wewe kafanya hivyo,kafukuzwa,hakuna haja ya kulia lia

Ni uongo na uzandiki eti kutueleza eti effects za jamii hazikupati hata chembe,huo ni uongo

Hasira na irritation unazozimwaga humu mpaka sasa inaonesha kabisa jamii is so deep into your butthole,kwahiyo kutudanganya huna effect yeyote ni just lies bwana

Mengine ni matusi,punguza basi,maana wanadamu wengine wanayajua pia,kama unaona kuoga mavi ndio unapenda sana be official with it
Sijawahi kuwa Daktari, nimekuuliza swali, Una matatizo yoyote ya Akili ama Mfumo wa Ufahamu wako umeathiriwa?

Matusi? Butthole ni nini?

Nakwambia tena, uhalisia wa maisha yako ndio unauweka kwangu. Unajipoteza.

Kwahiyo kuchangia mjadala hapa na kuweka maoni yangu yanayotokana na muono/perception yangu ni kwa sababu Mimi ni mke wa DM ama ninamfahamu kwa ukaribu?

I am a member like wewe hapa the only difference I am a verified member.

Kuchangia mjadala hapa ni jambo tofauti kabisa na utafsiri wa huo mjadala kwako wewe ama member mwingine yeyote hapa. I am not responsible with the way you interpret issues and situations. Hainihusu.

Jamii unayoishi wewe ndio imeamua kwamba mwanaume mzinzi yafaa kutunzwa na kutukuzwa, jamii ninayoishi mimi inasema mwanaume mzinzi ni uchafu na hasara kwa jamii yake katika uhai wake na mpaka baada ya umauti wake, mifano ipo inaishi.

You ever imagined that there are times and places ambazo instincts zako zinatakiwa zibaki kuwa your private knowledge no matter the urge to utter them?

Some of “us, fellow human beings like you and your society are literally living our freedom from social constructs.

We are truly using our God given ability to use our naturally bestowed powers + abilities to let society do what society does while we truly live out our lives.
 
Mimi naongelea from my own experience, mahakama ili iamue how much upewe ni lazima uthibitishe contribution yako.
Mimi sidhani kuwa mke anahitaji kuthibitisha mchango wake katika upatikanaji wa mali. Ingekuwa hivyo basi housewives wasingekuwa wanapata chochote.

Haki yake inaendana na yeye kuwa mke anaetambulika. Kinachoweza kufanyika ni kufikia tu makubaliano ya kiasi anaona kitamfaa hata kama sio nusu. Kwa mfano watalaka wa Gates na Bezos waliondoka na sehemu ndogo ya utajiri wa waume wao lakini iliwafanya kuwa moja ya wanawake matajiri duniani.

Kuficha mali sio rahisi kihivyo. Ukiwa na wakili mzuri atazipata tu ( Brela n.k.) na baada ya hapo ni rahisi kuthibitisha kuwa yule aliyeandikwa ni kivuli tu. Tatizo kubwa la wanawake ni kukata tamaa mapema na wengi kujiona kuwa hawastahili haki yao kwa sababu tu mwanaume ni kichwa cha familia. Ukiongeza kampeni za matusi, kejeli n.k. zitakazofanywa dhidi yao wengi wanaona it is not worth it. Ila kuna wakati hao wanao wadhulumu wanajikuta walikodhani ni poa kumbe ndiko motoni hasa. Yule waliomuona ni malaika kumbe ni Jezebel haswa.

Tumewashuhudia wengi baada ya kukamuliwa kisawasawa na hao majezebel wakiwaangukia wale waliowafukuza kwa matusi na mbwembwe nyingi.

Au hao waliokuwa wanagombea kuchukua nafasi ya aliyeachwa baada ya kuipata wanakuta ni shubiri tupu na kuanza kuelewa kwa nini mwenzao alikuwa vile.

Amandla...
 
Mimi sidhani kuwa mke anahitaji kuthibitisha mchango wake katika upatikanaji wa mali. Ingekuwa hivyo basi housewives wasingekuwa wanapata chochote.

Haki yake inaendana na yeye kuwa mke anaetambulika. Kinachoweza kufanyika ni kufikia tu makubaliano ya kiasi anaona kitamfaa hata kama sio nusu. Kwa mfano watalaka wa Gates na Bezos waliondoka na sehemu ndogo ya utajiri wa waume wao lakini iliwafanya kuwa moja ya wanawake matajiri duniani.

Kuficha mali sio rahisi kihivyo. Ukiwa na wakili mzuri atazipata tu ( Brela n.k.) na baada ya hapo ni rahisi kuthibitisha kuwa yule aliyeandikwa ni kivuli tu. Tatizo kubwa la wanawake ni kukata tamaa mapema na wengi kujiona kuwa hawastahili haki yao kwa sababu tu mwanaume ni kichwa cha familia. Ukiongeza kampeni za matusi, kejeli n.k. zitakazofanywa dhidi yao wengi wanaona it is not worth it. Ila kuna wakati hao wanao wadhulumu wanajikuta walikodhani ni poa kumbe ndiko motoni hasa. Yule waliomuona ni malaika kumbe ni Jezebel haswa.

Tumewashuhudia wengi baada ya kukamuliwa kisawasawa na hao majezebel wakiwaangukia wale waliowafukuza kwa matusi na mbwembwe nyingi.

Au hao waliokuwa wanagombea kuchukua nafasi ya aliyeachwa baada ya kuipata wanakuta ni shubiri tupu na kuanza kuelewa kwa nini mwenzao alikuwa vile.

Amandla...

Watu wanajifanya vipofu, viziwi na wasahaulifu wakati jamii hizi hizi tulizomo zimezungukwa na shahidi nyingi juu ya matokeo ya wale wenza (wakike kwa wakiume ) waliokiuka Viapo vyao vya Ndoa na waliothubutu kudhulumu haki na jasho la wenza wao Kisa tu Time and Chance was on their side.

Ulimwengu haujawahi kubaki wala kulala na deni, wote hulipwa kwa kipimo sahihi bila kuogopa jina lako wala history ya maisha yako.

Tatizo jingine, jamii nyingi zimegeuka praise & worship teams (chawa) wa viumbe wanaume na wanawake wachafu na wadhalimu kwa wenza wao huku wakionekana ni wajanja na mifano ya kuigwa ndani ya jamii zao.

Na haya yote ni matokeo ya kuvipa vitu thamani na sio Utu.
 
Ndugu yangu punguza tamaa ,mke ana haki kama mke (kama kaolewa kisheria) hata kama angekuwa mama wa nyumbani ana haki kama mtu aliyechangia sehemu ya mali za mumewe.

Madai aliyoweka Moshi kama kuibiwa ni kuanzisha kesi mpya ,kama uzinifu hapo wanakiri pande zote walikuwa na vimada.

Mambo ya ndoa soma kwanza sheria zake ndio uingie hapo Mosha kweny sheria za ndoa bado ana mtiti kwa nafasi yake kama yale ya Mengi ikawa anamlipa mke kila mwezi.

Mwanamke ili ujue kwamba ana access kubwa na mali za mumewe anaweza kukopa kwa niaba ya mumewe na akapata mkopo.
Kama yale ya Mengi yapi? Yule mwanamke s kapokonywa kila kitu? Sheria ni pesa, hakuna mali utagawiwa ukiachika hata kama Sheria inataka hivyo, pesa itaipindisha
 
Twende mbele turudi nyuma; putting aside hii rulling-

1.Mwanamke yeyote ambaye akili yake imejiwekea kua "ndoa ndio mtaji wa maisha yake" ipo siku atajisahau kuficha ujinga wake na ita mgharimu maisha yake yote.

2.Ni kama kuna ujinga watu wanalishana kua "tuakiachana na huyu mume atanigawia mali"- elewa context yako, unaweza ishia pabaya, pigana uwe na shughuli ya kukuwezesha kipato wakati wa maisha ya ndoa, iwe uanzishiwe biashara au ajira, mazingira ya utoaji haki kwa nchi zetu BADO hayajanyooka kihivyo.

Bado hamjajifunza yaliyomkuta yule ex miss tz, ndoa alikua nayo, haki ya mirathi alikua nayo, kiko wapi?

Mwenye kusikia asikie.
 
Kama yale ya Mengi yapi? Yule mwanamke s kapokonywa kila kitu? Sheria ni pesa, hakuna mali utagawiwa ukiachika hata kama Sheria inataka hivyo, pesa itaipindisha
Mke wa Mengi alilipwa mpaka umauti unamkuta japo talaka ilishatolewa ,alipata mgao kama mke sehemu ya mali za Mengi.

Walishafika mahakamani wakakubalian Mengi kumlipa kiasa fulani mkewe kila mwezi .
 
Watu wanajifanya vipofu, viziwi na wasahaulifu wakati jamii hizi hizi tulizomo zimezungukwa na shahidi nyingi juu ya matokeo ya wale wenza (wakike kwa wakiume ) waliokiuka Viapo vyao vya Ndoa na waliothubutu kudhulumu haki na jasho la wenza wao Kisa tu Time and Chance was on their side.

Ulimwengu haujawahi kubaki wala kulala na deni, wote hulipwa kwa kipimo sahihi bila kuogopa jina lako wala history ya maisha yako.

Tatizo jingine, jamii nyingi zimegeuka praise & worship teams (chawa) wa viumbe wanaume na wanawake wachafu na wadhalimu kwa wenza wao huku wakionekana ni wajanja na mifano ya kuigwa ndani ya jamii zao.

Na haya yote ni matokeo ya kuvipa vitu thamani na sio Utu.
Una madini adhimu sana[emoji817][emoji817]
 
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
  • Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
  • Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
  • Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
  • Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
  • Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
  • Kila mmoja atabeba gharama za kesi

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Ndio 2020 alikwenda Moshi kugombea ubunge, alitumia fedha nyingi sana , zaidi ya bilioni 2 na Magufuli akala kichwa akamuweka Priscus Tarimo ambaye hAJUI KUONGEA, HANA MCHANGO WOWTE JIMBONI WALA BUNGENI NA HAJALI BALI ALIINGIA KUIMBARISHA hoteli yake ya kitalii na
 
Back
Top Bottom