Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Jamii inakuendesha ndio maana upo hapa umejaa hasira
Kama isingekua jamii ungekua zako home ume-relax limume ushafukuza saa nyingi and you even dont bother
Wingu la jamii inavyo perceive ndio inakupa pressure kiama ndio maana upo hapa kutupa lecture sisi jamii walao tukuelewe upate faraja ya roho yako kwamba upo sahihi
Cha ajabu wewe upo sahihi na jamii haipo sahihi,ila upumbavu wa jamii ni LAZIMA ukupite na uchukue nafasi,so sad!
Pole my friend....
Stop projecting yourself on me, unakosea.
Kwamba nina hasira? Umeziona wapi ama kuzisikia vipi?
Kama wewe umeruhusu jamii yako kuamua jinsi ya kuishi maisha yako na kukuamulia namna ya kuyaendesha, hiyo hainihusu mimi na ukae ukijua sio watu wote ni wadhaifu kiasi hicho.
Suala sio mimi kuwa sahihi, ni uhalisia wa kanuni za ulimwengu. Na masharti, sheria na vigezo vya kuwepo ndani ya Ndoa sio vyangu, vipo, mimi na wewe tumevikuta.
Kwa sababu tu jamii fulani inafurahia uchafu na ujinga wa wanajamii wao haina maana hiyo ndio njia sahihi.
Na kwasababu jamii yako imezongwa na watu wachafu wasio waadilifu na mafisadi wa roho za wenzao, haina maana kwamba watu wasafi, waadilifu na waaminifu hawapo na hawasimami imara kwenye njia zao, wapo wamejaa tele.
Naona unalazimisha kanuni ya wahenga wa kiswahili, “msiba wa wengi ni harusi!