DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hahahaaaa

Dada naona umeamua kwenda full ballistic na philosophical jargons kuonesha kuna cha maana unasema

Unfortunately unaishi kwenye fantansies na kama sio hivyo unatufanyia maigizo tu hapa

Upo kwenye ndoa 14years,swali fupi tu,ulishachiti...jibu ni yes..ila wanawake mlivyo wanafiki utasema HAPANA.

Ukitaka kujua mumeo ni another human being siku chiti au prentend kama umechiti aone WhatsApp message uone kama talaka hutapewa hapo hapo

Swali jingine,mumeo alishachiti na ulishamshika mara kadhaa,mbona hujaondoka?

Subutuu

Huna ujasiri wowote unajaribu kutudanganyia hapa bwana....
 
Hii sio obvious. Kuna watu ni wema kabisa na wametendwq vilevile
I meant, ukimtendea mtu uovu, ni suala la muda tu kwa maana wewe uliyetenda utapata malipo yako na utakuja kujuta.

Kweli Nashengena , wapo watu wema wanatendwa lakini Mungu anaweza kuwapigania
 

Nimekuuliza Mimi kuzungumzia wana Ndoa kulinda viapo na mikataba yao ya Ndoa ndio kuwakumbusha wenye campaigns za wanawake ndani ya Ndoa walipwe mishahara kuendeleza campaigns zao?

Wapi nimesema mimi ni Malaika?

Wewe kuniita Mimi shetani hakuniathiri chochote kwenye uhalisia wangu, hayo ni maono na mawazo yako wewe. Hayanihusu.

Nionyeshe wapi nimesema mume wangu akicheat ndani ya Ndoa na Mimi nitacheat ndani ya Ndoa?

Ubongo wako Unao uwezo japo wa kawaida wa kuzisoma sentensi na kuchakata taarifa zilizomo ndani yake?


Nilishacheat? Ulinishikia miguu?


“Shosti yangu Nancy…” dalili moja wapo ya ugonjwa wa akili ni kuona vitu visivyokuwepo.

Kwamba Maisha ni struggle ya mwanaAdamu “against nature”? Umejileta hapa duniani wewe? How do you struggle against something that made you?! Unaumwa?

Go learn about Feminism kwanza ndio urudi hapa kuiongolea.

In your life, always try by all means possible to avoid talking about something you have no real knowledge about. Always.

Ndoa ya Mwanaume mwema na Mwanamke mwema hapa duniani ipo na sio moja tu, zipo kwa mamia na mamilioni na sababu kuu kwanini huzitambui ni kwamba wasafi hawachangamani na wachafu na Kama ambavyo wema hujitenga na uovu ndivyo ilivyo pia kwa Nuru kulikwepa giza.


Where is the diagnosis I gave? Kwako ama kwa nani?


Uko sahihi. Natombana kweli, every chance I get. Ila tu na mume wangu wa Ndoa pekee, anatosha.


Uko sahihi nipo kwenye ndoa Mwaka wa 14 huu, sijawahi kucheat. Mume wangu ananitosha sana. Alhamdulillah.


Bado Mimi kwenye nini? Why are you so bitter?


Really? So worked out? Mimi? Mbona kazi unayo!


Mimi ndio mwenyewe? Nani?

Mimi ni verified Member, nisome kwa umakini. Halafu sina ugonjwa wa personality disorder yoyote kiasi niwe na identity mbili at once.

On the other hand, wewe inabidi ujiangalie kwanza kwanini unaona na kusoma vitu visivyokuwepo? You have any perception disorder?


Unafanya speculations on a body you know nothing about na bado unajiona mzima kichwani?


Realist.
Wewe ni Realist? Ulimwengu upi?


Uzuri ni kwamba tangu mwanzo msisitizo wangu na msimamo wangu ni wenza wote kwa pamoja kusimamia viapo na mikataba ya mahusiano baina yao.

I ain’t an exception na wala hakuna sehemu nimeomba nibaguliwe.

I will mantain my status of being faithful in my marriage hata Katikati ya kuzungukwa na mafisi wachafu na Malaya wadhaifu with no shame whatsoever.


Ustaarabu wa mtu hujengwa na yeye mtu mwenyewe mbele ya wengine.


Maono yako wewe juu yangu hayaathiri chochote kwangu wala kupindisha msimamo wangu juu ya maisha niliyochagua kuyaoshi.


Watu wema, wasafi, waadilifu na waaminifu bado wapo tele na misingi halisi ya maisha itaendelezwa kupitia wao bila kujali jamii ya watu wadhaifu, wachafu, wasio waadilifu wala waaminifu inayozidi kusambaa duniani.
 

Kwasababu umeiandika kiingereza basi umeitoa kuwa tusi (neno la siri) na kuwa neno la kawaida linaloweza kutamkwa mbele ya jukwaa?

Kwamba kiingereza make everything sound and feel better?

Binaadam hawezi kujiona. Anaonwa. Na Kama wewe umeniona najua sana English to Swahili dictionary Mimi hilo halinihusu.

Tako ni neno less graphic? Kwenye jamii ipi uliyokuzwa wewe?

Kumbe kuna mashindano ya Lugha na hutoi taarifa? Uko America, Sawa wasalimie sana.
 

Case ya mengi ni tofauti na ya mosha

Mengi alianzisha kampuni akiwa na mkewe mercy mengi.. hivyo tangu kampuni inaanza kila mmoja alikuwa na share zake.

Kwa upande wa davis mosha..kampuni ilianzishwa miaka zaidi ya 10 iliyopita kabla hajafunga ndoa.

Mke wa mosha Nancy hajui hata kampuni ilianzishwaje.. hajui hata mtaji wa kuanzisha kampuni ulipatikanaje

Hana shea hata moja kwenye kampuni.

Kwa ufupi kampuni imezaliwa ikiwa haimjui mke wa mosha

Kwa mengi kampuni imezaliwa huku inamjua mke wa mengi
 

Philosophical jargons? Jitahidi kuacha kutafsiri kwanza vitu, elewa sana ujumbe kabla ya kujibu.

Fantasy gani? Maigizo gani na kwa faida ipi?

Kama ambavyo wewe unaishi katikati ya jamii inayotukuza uzinzi na kuona usaliti ni normal way of Life, ndivyo na Mimi naishi kwenye jamii inayolaani uzinzi na usaliti kwa kuamini ndilo anguko la mwanaAdamu.

Sijawahi ku cheat hata mara moja ndani ya hiyo miaka 14 ya Ndoa. Sio rahisi ila inawezekana na ninaendelea kuweza Alhamdulillah.

Why nitake kuona upande uliojeruhiwa wa Mume wangu? Kwanini kwanza nimjeruhi? Kosa lake ni kuniamini na kunichagua kuwa mkewe?

Ndoa sio jela wala adhabu. Ndoa sio lazima wala kifungo. Ndoa ni hiyari ya watu wawili.

Kama Ndoa ngumu achana nayo fanya mambo mengine.

Ndoa sio kwa ajili ya viumbe dhaifu vyenye kufuata matamanio ya miili yao na kuendekeza madhaifu yao na kuyapa majina eti nature mara sijui uanaume.

Ndoa ni Taasisi ya kipekee sana. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.

Sijawahi kupata fununu, taarifa wala ushahidi wa mume wangu kucheat ndani ya Ndoa.

Kumbuka, mimi na mume wangu wote ni binaadam Kama wewe.

Kinachotutofautisha ni aina ya maamuzi tunayoamua kwenye maisha yetu na aina ya maisha tunayochagua kuishi kila siku.

Mume wangu ni kiumbe kinachojitegemea kimaamuzi Kama ilivyo mimi na wewe. Na Imani yangu na maono yangu juu ya maisha havimuathiri yeye bila yeye mwenyewe kukubaliana navyo. Anayo maamuzi yake Kama binaadam yeyote mwingine.

Experience za mahusiano yako na ya jamii yako sio experience zangu na haziwezi kuwa zangu.
 
Huyo Mitimingi ni noma sana. Picha yake ingewekwa humu tumuone huyo mwamba.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Huyo hapo hana umwamba wowote Zaidi Ya Kuwa Maryooo tu hiyo Billion mbili yenyewe kutamka hawezi sababu hela zenyewe huyu mwanamke alikuwa anaiba anaenda anampa tu Eti nyumba ya Billion mbili na million Mia nne hivi huyu anafurahisha mnoo ndio huyo hapo mchepuko wa Nancy
 

Attachments

  • RPReplay_Final1708949177.mov
    88.3 MB
Halafu yani huyu Nancy anadai Mali Mali Gani anazodai yani maana tunajua Kuwa kibaha walikuwa wanadaiwa bank Njooo mwaka 1995 na Davis ndio Aliwalipia huo mkopo na alikuwa hata hajamuoa na mpaka Leo wameuza eneo lote zilikuwa hela 20 yani imebaki sehemu Ya Kaburi tu sasa unadai Mali ipi kwa Mfano
 
Halafu yani huyu Nancy anadai Mali Mali Gani anazodai yani maana tunajua Kuwa kibaha walikuwa wanadaiwa bank Njooo mwaka 1995 na Davis ndio Aliwalipia huo mkopo na alikuwa hata hajamuoa na mpaka Leo wameuza eneo lote zilikuwa hela 20 yani imebaki sehemu Ya Kaburi tu sasa unadai Mali ipi kwa Mfano
 

Attachments

  • RPReplay_Final1708950928.mov
    6.9 MB
Huyo hapo ndio mchepuko wake Nancy alikuwa anachukuaa hela bank anampelekea Africana! Na ndio hizo hapo wewe mtu alikuwa anakaa ofisi Bure kapewa kila kitu Halafu anajitapa ujinga hapa
 
safi sana, kamuwahi kabla hajawahiwa, pumbav kabisa huyo Nansi, janamke jizi
Na huyo hapo ndio Miti mingi mwenyewe na hapo Yupo kwenye ofisi Ya Davis kwa nyuma sijui anafanya Nini kwa anayeifahamu Africana vizuri atajua kabisa hapa ni wapi sasa huu si ujinga huu mwanamke mshenzi sana Yule na ofisi yenyewe alikuwa anakaa Bure hata mkataba hana Yani alijiachia mnooo Duka la Africana akawa anasema la kwake jamaniii yani wewe Nancy unatia aibu mnoo uje hapa uombe msamaha hadharani bila hivyo utateseka sanaaaa
 

Attachments

  • RPReplay_Final1708951249.mov
    77.9 MB
Usijisumbue huyo Nancy Achana naye huyo ni muhuni wa kutupwa Ashafanya unamalaya sana hadi ndani kwa mume wake akisafiri wadada wa kazi wanaambiwa Waandae chakula naye huyu, hata kama Mwanaume akiwa na mwanamke mwingine huyu Nancy ndio sababu alianza uhuni mbele yetu kitambo sana kuanzia kutembea na wafanyakazi wake na hata ……. Yani huyu dada anakera sana baada aombe msamaha ajishushe Eti yeye anakaza na huyo mchepuko wake na hii ni moja ya picha ya mchepuko wake aliyempa ofisi ya Mume wake Bure huko Africana kabla Mwanaume hajashtuka kama mke anasaliti na huyu mchepuko alikuwa anakaa Bure hapo halipi kodi yani mambo ha hovyo kabisa yani akae tu kimya akiendelea ntamuaibisha mno akaushe yani na huu upuuuzi Aliouleta hapa kwenye Jukwaa yani. Eti anadai Mali na wakati Davis aliwahi kuwalipia mkopo mwaka 1995 kabla hata hajamuo a eneo lenye heka 20 Lakini cha ajabu wameuza weee imebaki sehemu Ya makaburi tu sasa anadai Mali ipi?
 
Philosophical jargons? Jitahidi kuacha kutafsiri kwanza vitu, elewa sana ujumbe kabla ya kujibu.

Fantasy gani? Maigizo gani na kwa faida ipi?
Unajua bana
Kama ambavyo wewe unaishi katikati ya jamii inayotukuza uzinzi na kuona usaliti ni normal way of Life, ndivyo na Mimi naishi kwenye jamii inayolaani uzinzi na usaliti kwa kuamini ndilo anguko la mwanaAdamu.
Uzinzi sio sawa

Uzinzi kutokua sawa sio eti ndio utakoma kwenye jamii yetu na hauondoki

Kama realist na sio mtu wa fantansy kama wewe,cha kujiuliza tunaishi nao vipi usiwe na madhara makubwa?

Sasa wewe unaleta propaganda,blah blah as if huo uzinzi ndio utakoma

Wewe mpiga makelele zinzi kama mazinzi mengine
Sijawahi ku cheat hata mara moja ndani ya hiyo miaka 14 ya Ndoa. Sio rahisi ila inawezekana na ninaendelea kuweza Alhamdulillah.
Zinzi wewe

Kadanganye majinga huko
Why nitake kuona upande uliojeruhiwa wa Mume wangu? Kwanini kwanza nimjeruhi? Kosa lake ni kuniamini na kunichagua kuwa mkewe?
Mbona hujamuacha?

Kwanini upo hapa kudanganya wanawake wenzio eti wawaache waume zao?

Huoni unavyowaonesha unafiki wako?
Ndoa sio jela wala adhabu. Ndoa sio lazima wala kifungo. Ndoa ni hiyari ya watu wawili.

Kama Ndoa ngumu achana nayo fanya mambo mengine.
Blah blah

Mumeo kachiti,hujamuacha?

Why?
Sijawahi kupata fununu, taarifa wala ushahidi wa mume wangu kucheat ndani ya Ndoa.

Kumbuka, mimi na mume wangu wote ni binaadam Kama wewe.
hahahaaaa

Yaani wewe dada,unafiki punguza

Eti mumeo wangu hajachiti

Like really?

Hebu kapigie mbuzi gitaa huko!
Yaani unavyojiongelesha kuhusu wewe na mumeo ni as if nyie ni masuper hero fulani hivi

Wehu nyie

Mumeo anakula pvssy kama wanaume wengine ushafuma msg mara za kutosha,na wewe occasionally unatiwa kama wanawake wengine,you cant tell me nothing

Women are full of sh1t kwenye sekta ya uongo kuhusu mahusiano,I cant fall for this innocent sh1t unasemea hapa

You are all full of it kama walivyo madada wengine

Na ndoa yenu imejaa purukushani kama za binadamu wengine wote

Yaani wewe dada ni mnafiki sana na muongo

Shostito Nancy kashikwa,panga limepita....

Cha msingi tumuonee huruma tu...ila sio tiketi ya wewe kujisafisha na kujiita malaika na mumeo,you are professional lier!
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Kama alikuwa mfanyakazi je?.........
 
Mimi nazungumzia hisa za mume. Hizo ni sehemu ya assets zake. Ni kama nyumba ambazo anamiliki. Watalaka wanapaswa kukaa pamoja na kukubaliana namna haki ya mtalaka kwenye hizo hisa itakuwa realised. Anaweza kumpa sehemu. Anaweza kumlipa value ya shares ambazo watakubaliana kuwa anastahili. Hilo la dividends litatokana na hisa ambazo kila mmoja atakuwa anamiliki baada ya talaka. Hivyo kwa stocks ambazo anaweza kuwa anamiliki katika makampuni mengine.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…