Unawakumbusha wewe kama nani?
Malaika?
Shetani kama mashetani wengine tulioko hapa!
Unajua kwanini nime-declare wewe ni shetani sawa na sisi?
Simple...umedai ukichitiwa na mume na wewe unachiti....malaika hachiti hata akichitiwa
Infact naweza enda more further,ulishachiti tu kama malaya wengine tulioko hapa
Leo unajifanya malaika humu sababu tu umekasirika shosti wako kuachika,thats it!
So sad alichiti akashikwa,i'm really sorry for here aisee
Chiti my dear ila ushishikwe hamna rangi utaacha ona,kama Nancy
Kwanini hamjapitisha sasa mpaka sasa?
Unabisha nini sasa?
Unajua maana ya MAISHA?
Ukipata definition yake ndio utajua nipo sahihi
MAISHA ni struggle ya mwanadamu against nature ku-fullfill his needs....Na struggle against nature maana yake ni ku-alter nature from its original from to another
Unabisha nini sasa wewe Feminist wangu?
Hiyo ndoa ya mwanamke mwema na mwanaume mwema duniani haipo
Wee endelea kujidanganya
Endelea kujifanya daktari ku-dignose online characters you even dont know
Unatetea mwanamke tu,hujatetea wote...ndio maana ya Ufeminist!
Sijakosea hapo
Wewe unaishije?
Maana unajitoa duniani unasimama dunia ingine unanyooshea waliopo duniani vidole kama wewe uhusiki vile
Wewe unatombana kama watu wengine,hapa unaonesha unafiki tu
Wewe sio malaika,upo kwenye ndoa humo ulishachiti acha kunichekecha hapa
Shosti yako kashikwa limemkuta
Bado wewe.....
Kwa mwanaume hata akikushika na SMS umeenda na maji sio lazima akute mboo ndani ya **** yako..
Hapo ndio utajua there is a very big difference between ME and KE
Huwezi kua worked out hivi kama humjui huyo dada wala hakuhusu
Probably shost au wewe ndio mwenyewe
Still nafanya speculations
Mimi ni realist,shost yako kashikwa,akubali matokeo,amove on.....
na wewe siku ikikutokea hata uwe philospher namna gani utoe na kitabu na documentary na midahalo etc umeenda na maji
Nimekuuliza Mimi kuzungumzia wana Ndoa kulinda viapo na mikataba yao ya Ndoa ndio kuwakumbusha wenye campaigns za wanawake ndani ya Ndoa walipwe mishahara kuendeleza campaigns zao?
Wapi nimesema mimi ni Malaika?
Wewe kuniita Mimi shetani hakuniathiri chochote kwenye uhalisia wangu, hayo ni maono na mawazo yako wewe. Hayanihusu.
Nionyeshe wapi nimesema mume wangu akicheat ndani ya Ndoa na Mimi nitacheat ndani ya Ndoa?
Ubongo wako Unao uwezo japo wa kawaida wa kuzisoma sentensi na kuchakata taarifa zilizomo ndani yake?
Nilishacheat? Ulinishikia miguu?
“Shosti yangu Nancy…” dalili moja wapo ya ugonjwa wa akili ni kuona vitu visivyokuwepo.
Kwamba Maisha ni struggle ya mwanaAdamu “against nature”? Umejileta hapa duniani wewe? How do you struggle against something that made you?! Unaumwa?
Go learn about Feminism kwanza ndio urudi hapa kuiongolea.
In your life, always try by all means possible to avoid talking about something you have no real knowledge about. Always.
Ndoa ya Mwanaume mwema na Mwanamke mwema hapa duniani ipo na sio moja tu, zipo kwa mamia na mamilioni na sababu kuu kwanini huzitambui ni kwamba wasafi hawachangamani na wachafu na Kama ambavyo wema hujitenga na uovu ndivyo ilivyo pia kwa Nuru kulikwepa giza.
Where is the diagnosis I gave? Kwako ama kwa nani?
Uko sahihi. Natombana kweli, every chance I get. Ila tu na mume wangu wa Ndoa pekee, anatosha.
Uko sahihi nipo kwenye ndoa Mwaka wa 14 huu, sijawahi kucheat. Mume wangu ananitosha sana. Alhamdulillah.
Bado Mimi kwenye nini? Why are you so bitter?
Really? So worked out? Mimi? Mbona kazi unayo!
Mimi ndio mwenyewe? Nani?
Mimi ni verified Member, nisome kwa umakini. Halafu sina ugonjwa wa personality disorder yoyote kiasi niwe na identity mbili at once.
On the other hand, wewe inabidi ujiangalie kwanza kwanini unaona na kusoma vitu visivyokuwepo? You have any perception disorder?
Unafanya speculations on a body you know nothing about na bado unajiona mzima kichwani?
Realist.
Wewe ni Realist? Ulimwengu upi?
Uzuri ni kwamba tangu mwanzo msisitizo wangu na msimamo wangu ni wenza wote kwa pamoja kusimamia viapo na mikataba ya mahusiano baina yao.
I ain’t an exception na wala hakuna sehemu nimeomba nibaguliwe.
I will mantain my status of being faithful in my marriage hata Katikati ya kuzungukwa na mafisi wachafu na Malaya wadhaifu with no shame whatsoever.
Ustaarabu wa mtu hujengwa na yeye mtu mwenyewe mbele ya wengine.
Maono yako wewe juu yangu hayaathiri chochote kwangu wala kupindisha msimamo wangu juu ya maisha niliyochagua kuyaoshi.
Watu wema, wasafi, waadilifu na waaminifu bado wapo tele na misingi halisi ya maisha itaendelezwa kupitia wao bila kujali jamii ya watu wadhaifu, wachafu, wasio waadilifu wala waaminifu inayozidi kusambaa duniani.