Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Hata kiingereza kinakushinda kusoma? Matrimonial asset sio lazima ipatikane katika ndoa. Kama walikuwa wanaishi katika nyumba iliyojengwa KABLA ya ndoa hiyo ni matrimonial asset. Huyu bwana mnamsifia kuwa ni tajiri sana, mnataka kutuambia kuwa utajiri wote aliupata KABLA ya ndoa na hakufanya investment yeyote kwa miaka 28 ( mnasahau kuwa mmetuambia alimuanzishia mke wake miradi ambayo hakuiendesha vizuri) ? Na hata kama ingekuwa hivyo, tafsiri ya Matrimonial asset ni kuwa kama alikuwa anaitumia kuchangia katika kuhudumia familia, hiyo ni Matrimonial asset.Taja kitu kimoja walichopata wakiwa ndani ya hiyo ndoa
Huyo Fundi Mchundo ndo Anaendelea kuzila Pesa za Nancy Sasa Bilion 1.6 ajue Bilion 1 aliagiza kontena ya pombe South Africa na mpenzi wake akazulumiwa loote Wewe Fundi Mchundo muulize Nancy umsaidie kwanza kusaka pombe zake hizo So KATIKA Pesa alizoiba Nancy utajua kilichopo Lakini Mind you Mtabibu Mitimingi naye alimdanganya kuwa anaweza kumshusha Davis Busha au Chochote, Nancy akampangia Hotel Adora Hotel Goba, akala mzigo Sana na bata, Lakini Busha wapi, Nancy akamtambulisha Mtabibu Mitimingi kwao, Busha wapi? So Fundi Mchundo pata picha hizo pesa nawe unakula bila msaada6Taja kitu kimoja walichopata wakiwa ndani ya hiyo ndoa
Matrimonial house inaweza ikaawa na umiliki binafsi wa mume au mke. Na kama imepatikana kabla ya ndoa itabakia kuwa ya umiliki binafsi. Kama imeendelezwa , wakati wa kugawana itafanyika tathmini ya kilichoendelezwa na mchango wa kila mmoja kwenye kuiendeleza, kama mchango wako ni babu, basi utaondoka na balbu yako.Hata kiingereza kinakushinda kusoma? Matrimonial asset sio lazima ipatikane katika ndoa. Kama walikuwa wanaishi katika nyumba iliyojengwa KABLA ya ndoa hiyo ni matrimonial asset. Huyu bwana mnamsifia kuwa ni tajiri sana, mnataka kutuambia kuwa utajiri wote aliupata KABLA ya ndoa na hakufanya investment yeyote kwa miaka 28 ( mnasahau kuwa mmetuambia alimuanzishia mke wake miradi ambayo hakuiendesha vizuri) ? Na hata kama ingekuwa hivyo, tafsiri ya Matrimonial asset ni kuwa kama alikuwa anaitumia kuchangia katika kuhudumia familia, hiyo ni Matrimonial asset.
Mnawaonea sana wanawake. Na kwa vile wengi hawajui haki zao basi mnaona kuwa ni haki yenu kuendelea kuwaonea.
Kutokana na juvenile nature ya swali lako, naona tumefikia tamati ya mjadala wetu. Nakutakia siku njema.
Amandla...
Tunarudi kule kule. I am done.Matrimonial house inaweza ikaawa na umiliki binafsi wa mume au mke. Na kama imepatikana kabla ya ndoa itabakia kuwa ya umiliki binafsi. Kama imeendelezwa , wakati wa kugawana itafanyika tathmini ya kilichoendelezwa na mchango wa kila mmoja kwenye kuiendeleza, kama mchango wako ni babu, basi utaondoka na balbu yako.
Pia kama mtu ulimkuta na kampuni yake ni vigumu kuthibitisha mchango wako kwenye hiyo kampuni . Mwanamke ukiolewa fanya vyovyote baathi ya assets zilizopatikana kwenye ndoa ziwe na majina yote mawili
Pia ifahamike kwamba kama umetoa mchango hasi kwenye ndoa ,kwa mfano kutumia vibaya mali za familia, umesababisha ndoa kuvunjika, mchango wako unaweza kupungua maana umesababisha athari kubwa kwa mwenza wako.
Ndio sheria inavyosema, itafikia hatua kila mtu afe na chake.Tunarudi kule kule. I am done.
Amandla...
Wanawake kama hawa wanakuwa hawana mbele wala nyuma. Na kama wameolewa wameolewa na wavulana na sio wanaume.Machita tu kama sisi wengine bilioni 8 tuliopo hapa duniani
Hamna utakatifu wowote wewe na mumeo
No wonder mkawa worse zaidi hata ya sisi wengine
Na ndoa yenu huenda ikawa hovyo zaidi hata ya wengine
I dont tend to believe women wanaojifanya watakatifu kama wewe
You are full of it like the rest of us!
Na wewe ni mwanaharamu mwengineHujielewi
Wote mapunguaniChristian Ronaldo hajafunga ndoa na mama watoto wake.
Mke wa davis mosha kapewa nyumba na magari? Mnawaacha makapuku kisa hamkuwaoa. Mke wa mosha na ndoa yake bado kaachwa mtupu sembuse hao mnaowazalisha mijanaume mishenziiiHahahah, kwahiyo bila kusaini mikataba ya ndoa watu hawazai? Sasa mtu anatunzwa, anapewa nyumba , gari, malezi mazuri ya watoto wake, asizae mchezo? 🤣🤣😂😂😂,
Mbona wewe ndio unakuwa kama punguani ndugu?
Wewe ni punguwani, mwanamke kamuibia Mosha mabilioni halafu unasema kumuacha tupu?Mke wa davis mosha kapewa nyumba na magari? Mnawaacha makapuku kisa hamkuwaoa. Mke wa mosha na ndoa yake bado kaachwa mtupu sembuse hao mnaowazalisha mijanaume mishenziii
Ndo dawa yenuuu shenzWewe ni punguwani, mwanamke kamuibia Mosha mabilioni halafu unasema kumuacha tupu?
Au na wewe ni jizi mwenzake.
Una stress kushinda Fatma Karume.Ndo dawa yenuuu shenz
Okay, nitajaribu kwa mara ya mwisho. Sidhani kama inasema hivyo bali hivyo ndivyo mnavyotaka iseme. Na ndivyo wengi tunavyoamini. Kwa mfano hii dhana kuwa matrimonial assets ni mali zilizochumwa ndani ya ndoa. Hiyo sio kweli. Matrimonial assets ni mali zote zinazotumika kuhudumia familia bila kujali nani anazimilik. Kwa mfano. Kama wakati mnaoana kila mmoja alikuwa na nyumba yake lakini mkaamua muishi katika moja na nyingine muipangishe ili ziisaidie familia kiuchumi, zote ni matrimonial assets na zinaingia katika negotiations za mgawanyo wa mali.Ndio sheria inavyosema, itafikia hatua kila mtu afe na chake.Defi
Acha tu!!! mimi nshazoea kuwa single man!!Hii ni komesha kwa wanawake wote wanaoolewa kwa kukimbilia mali huku wakiwaacha watakaowapenda kwa dhati maisha yao yote mpaka kifo kiwatenganishe. Kumeibuka mtindo wa wanaume kutowajumuisha wake zao katika mali zao. Hali kadhalika wanawake nao wameanza kuwa na mali nje na ndoa, wanafanya miradi kwao bila kuwashirikisha waume zao wakijihami ikitokea ndoa kusambaratika tayari mali wanazo nje ya ndoa. Ndoa zimeingiliwa na changamoto za kuvunjika mapema kutokana na ubinafsi na usaliti
Umekariri kwamba msiba wa wengi ni sherehe? Usilazimishe tufanane.Machita tu kama sisi wengine bilioni 8 tuliopo hapa duniani
Nani kasema sisi ni watakatifu?Hamna utakatifu wowote wewe na mumeo
Fortunately kwako wewe it will always remain that; A Wonder.No wonder mkawa worse zaidi hata ya sisi wengine
Dua la kuku halimpati Mwewe.Na ndoa yenu huenda ikawa hovyo zaidi hata ya wengine
Sijajifanya mtakatifu.I dont tend to believe women wanaojifanya watakatifu kama wewe
Why are you really keen on me being like the rest of “You? Ni lazima?You are full of it like the rest of us!
Tamaa mbayaNimeshangaa hapo, tena kwa muda wote aliokua anaiba pesa ktk kampuni, si angesepaa kimya kimya tyuuh.