DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ndio maana nawaambia , wanawake waache hizi tabiabza kuwa wamama wa nyumbani maana ni vigumu kuthminisha au kuonyesha mchango wako halisi mahakamani.
Tafuta kazi au biashara ya kukupatia kipato chako na ikiwezekana uwe na asserts zako.
 
Taja kitu kimoja walichopata wakiwa ndani ya hiyo ndoa
Hata kiingereza kinakushinda kusoma? Matrimonial asset sio lazima ipatikane katika ndoa. Kama walikuwa wanaishi katika nyumba iliyojengwa KABLA ya ndoa hiyo ni matrimonial asset. Huyu bwana mnamsifia kuwa ni tajiri sana, mnataka kutuambia kuwa utajiri wote aliupata KABLA ya ndoa na hakufanya investment yeyote kwa miaka 28 ( mnasahau kuwa mmetuambia alimuanzishia mke wake miradi ambayo hakuiendesha vizuri) ? Na hata kama ingekuwa hivyo, tafsiri ya Matrimonial asset ni kuwa kama alikuwa anaitumia kuchangia katika kuhudumia familia, hiyo ni Matrimonial asset.

Mnawaonea sana wanawake. Na kwa vile wengi hawajui haki zao basi mnaona kuwa ni haki yenu kuendelea kuwaonea.
Kutokana na juvenile nature ya swali lako, naona tumefikia tamati ya mjadala wetu. Nakutakia siku njema.

Amandla...
 
Taja kitu kimoja walichopata wakiwa ndani ya hiyo ndoa
Huyo Fundi Mchundo ndo Anaendelea kuzila Pesa za Nancy Sasa Bilion 1.6 ajue Bilion 1 aliagiza kontena ya pombe South Africa na mpenzi wake akazulumiwa loote Wewe Fundi Mchundo muulize Nancy umsaidie kwanza kusaka pombe zake hizo So KATIKA Pesa alizoiba Nancy utajua kilichopo Lakini Mind you Mtabibu Mitimingi naye alimdanganya kuwa anaweza kumshusha Davis Busha au Chochote, Nancy akampangia Hotel Adora Hotel Goba, akala mzigo Sana na bata, Lakini Busha wapi, Nancy akamtambulisha Mtabibu Mitimingi kwao, Busha wapi? So Fundi Mchundo pata picha hizo pesa nawe unakula bila msaada6
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Hata kiingereza kinakushinda kusoma? Matrimonial asset sio lazima ipatikane katika ndoa. Kama walikuwa wanaishi katika nyumba iliyojengwa KABLA ya ndoa hiyo ni matrimonial asset. Huyu bwana mnamsifia kuwa ni tajiri sana, mnataka kutuambia kuwa utajiri wote aliupata KABLA ya ndoa na hakufanya investment yeyote kwa miaka 28 ( mnasahau kuwa mmetuambia alimuanzishia mke wake miradi ambayo hakuiendesha vizuri) ? Na hata kama ingekuwa hivyo, tafsiri ya Matrimonial asset ni kuwa kama alikuwa anaitumia kuchangia katika kuhudumia familia, hiyo ni Matrimonial asset.

Mnawaonea sana wanawake. Na kwa vile wengi hawajui haki zao basi mnaona kuwa ni haki yenu kuendelea kuwaonea.
Kutokana na juvenile nature ya swali lako, naona tumefikia tamati ya mjadala wetu. Nakutakia siku njema.

Amandla...
Matrimonial house inaweza ikaawa na umiliki binafsi wa mume au mke. Na kama imepatikana kabla ya ndoa itabakia kuwa ya umiliki binafsi. Kama imeendelezwa , wakati wa kugawana itafanyika tathmini ya kilichoendelezwa na mchango wa kila mmoja kwenye kuiendeleza, kama mchango wako ni babu, basi utaondoka na balbu yako.
Pia kama mtu ulimkuta na kampuni yake ni vigumu kuthibitisha mchango wako kwenye hiyo kampuni . Mwanamke ukiolewa fanya vyovyote baathi ya assets zilizopatikana kwenye ndoa ziwe na majina yote mawili
Pia ifahamike kwamba kama umetoa mchango hasi kwenye ndoa ,kwa mfano kutumia vibaya mali za familia, umesababisha ndoa kuvunjika, mchango wako unaweza kupungua maana umesababisha athari kubwa kwa mwenza wako.
 
Tunarudi kule kule. I am done.
Amandla...
 
Machita tu kama sisi wengine bilioni 8 tuliopo hapa duniani

Hamna utakatifu wowote wewe na mumeo

No wonder mkawa worse zaidi hata ya sisi wengine

Na ndoa yenu huenda ikawa hovyo zaidi hata ya wengine

I dont tend to believe women wanaojifanya watakatifu kama wewe

You are full of it like the rest of us!
Wanawake kama hawa wanakuwa hawana mbele wala nyuma. Na kama wameolewa wameolewa na wavulana na sio wanaume.
 
Siku niliyosikia mama jk anasema wake za marais nao wawe wanalipwa ndo nikaamini pesa haitakuja kutosha tutaiabudu mpaka mwisho wa uhai wetuu... TAMAAA...TAMAAA.
 
Hahahah, kwahiyo bila kusaini mikataba ya ndoa watu hawazai? Sasa mtu anatunzwa, anapewa nyumba , gari, malezi mazuri ya watoto wake, asizae mchezo? 🤣🤣😂😂😂,
Mbona wewe ndio unakuwa kama punguani ndugu?
Mke wa davis mosha kapewa nyumba na magari? Mnawaacha makapuku kisa hamkuwaoa. Mke wa mosha na ndoa yake bado kaachwa mtupu sembuse hao mnaowazalisha mijanaume mishenziii
 
Mke wa davis mosha kapewa nyumba na magari? Mnawaacha makapuku kisa hamkuwaoa. Mke wa mosha na ndoa yake bado kaachwa mtupu sembuse hao mnaowazalisha mijanaume mishenziii
Wewe ni punguwani, mwanamke kamuibia Mosha mabilioni halafu unasema kumuacha tupu?

Au na wewe ni jizi mwenzake.
 
Hilo ndio tatizo la ndoa za ujana mbichi, tena kwa karne ya 21. Miaka 20 ya ndoa inatakiwa iwakute mkiwa kwenye 60s hivi. Yani kwenye ndoa mmeshachosha (exhaust) kila nyanja. Miaka 45 mko wenyewe nyumbani. Watoto wakubwa tayari. Wako chuo, wengine wanajitegemea. Nini kinawaweka bize? Ndoa inafika maturity stage wakati wanandoa mko bado growth stage. All in all inauma sana kuona vijana/wazazi hawa wanatengana baada ya kipindi chote hiki
 
Ndio sheria inavyosema, itafikia hatua kila mtu afe na chake.Defi
Okay, nitajaribu kwa mara ya mwisho. Sidhani kama inasema hivyo bali hivyo ndivyo mnavyotaka iseme. Na ndivyo wengi tunavyoamini. Kwa mfano hii dhana kuwa matrimonial assets ni mali zilizochumwa ndani ya ndoa. Hiyo sio kweli. Matrimonial assets ni mali zote zinazotumika kuhudumia familia bila kujali nani anazimilik. Kwa mfano. Kama wakati mnaoana kila mmoja alikuwa na nyumba yake lakini mkaamua muishi katika moja na nyingine muipangishe ili ziisaidie familia kiuchumi, zote ni matrimonial assets na zinaingia katika negotiations za mgawanyo wa mali.

Kingine, kinahusu michango katika assets za familia. Tuseme wote mlikuwa mmeajiriwa lakini mkakubaliana mmoja aache kazi ili atunze watoto na familia na mwingine aendelee na kazi ili aweze kuingizia familia mapato haiwezekani wakati wa talaka mkamuadhibu aliyeacha kazi ili ahudumie na mkamzawadia yule ambae aliondolewa mzigo wa kulea familia! hapo tunasahau vile vile kuwa mchango wa huyo aliyebaki nyumbani katika kuboresha mazingira ya makazi yao ndio yameongeza thamani yake. Hiyo haitakuwa haki na sheria inasimamia haki.

Na mwisho, inaelekea kuwa wengi wanaamini wanawake wote wanaoingia katika ndoa ni magolikipa na waliwakuta wenza wao wakiwa tayari wamefanikiwa kimaisha. Mara nyingi hii sio kweli hasa kwa wale ambao wanaoana wakiwa vijana. Mara nyingi mafanikio yote yanayopatikana yanatokana na mchango wao wote katika nafasi yao. Matajiri wengi wakubwa duniani (Gates, Buffet n.k) hawaoni aibu kukiri kuwa mafanikio yao yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na wake zao.

Kama sheria ya Tanzania ( mimi ni Fundi sio mwanasheria) inatafsiri matrimonial assets kama mnavyosema basi ni ushahidi mwingine kuwa bado tuko 1800s inapokuja haki za raia wetu. Lakini sitashangaa kama haisemi hivyo bali ni uvivu tu wa wanasheria na mahakama zetu ndio unaruhusu watu wafanye wanavyotaka katika kudhulumu haki za wenzao.

I am out.

Amandla...
 
Hii ni komesha kwa wanawake wote wanaoolewa kwa kukimbilia mali huku wakiwaacha watakaowapenda kwa dhati maisha yao yote mpaka kifo kiwatenganishe. Kumeibuka mtindo wa wanaume kutowajumuisha wake zao katika mali zao. Hali kadhalika wanawake nao wameanza kuwa na mali nje na ndoa, wanafanya miradi kwao bila kuwashirikisha waume zao wakijihami ikitokea ndoa kusambaratika tayari mali wanazo nje ya ndoa. Ndoa zimeingiliwa na changamoto za kuvunjika mapema kutokana na ubinafsi na usaliti
Acha tu!!! mimi nshazoea kuwa single man!!
 
Machita tu kama sisi wengine bilioni 8 tuliopo hapa duniani
Umekariri kwamba msiba wa wengi ni sherehe? Usilazimishe tufanane.

Hamna utakatifu wowote wewe na mumeo
Nani kasema sisi ni watakatifu?

Upeo wako wa uchakataji wa taarifa/maandishi sio jukumu langu.

No wonder mkawa worse zaidi hata ya sisi wengine
Fortunately kwako wewe it will always remain that; A Wonder.

Na ndoa yenu huenda ikawa hovyo zaidi hata ya wengine
Dua la kuku halimpati Mwewe.

Keep on hating.

I dont tend to believe women wanaojifanya watakatifu kama wewe
Sijajifanya mtakatifu.
I never asked you to believe me.

Hakuna dhambi kuwa Muaminifu, Muadilifu na Mkweli. Naendelea kulinda heshima yangu.

You are full of it like the rest of us!
Why are you really keen on me being like the rest of “You? Ni lazima?

Hao “You ni kina nani? Wewe na nani?

And who told you everyone else is like “You?

Jipe moyo…
 
Back
Top Bottom