DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyo dada kakopa millioni 500,000,000 benki na bado akahamisha dollar 1.4 millioni kutoka akaunti ya kampuni. Bila kusahau wakati anaondoka nyumbani alipotea na dollar 750,000,000. Mbona pesa nyingi hivyo?. Ingekuwa mwingine angeondoka kimya kimya.
 
Nimeshangaa hapo, tena kwa muda wote aliokua anaiba pesa ktk kampuni, si angesepaa kimya kimya tyuuh.
 
Huyo dada kakopa millioni 500,000,000 benki na bado akahamisha dollar 1.4 millioni kutoka akaunti ya kampuni. Bila kusahau wakati anaondoka nyumbani alipotea na dollar 750,000,000. Mbona pesa nyingi hivyo?. Ingekuwa mwingine angeondoka kimya kimya.
Pesa ndefu kiufupi kaleta hasara ukiwa na pesa bora uoe goli kipa ila mwanamke yupo kweny biashara tena sehemu ya finance ..
 
Kweli mkuu, ikiwa kwa sasa approximately 50% ya wanaostahili kuoa/kuolewa TZ hawajajiingiza kwenye mtego huo, kwa kasi hii miaka michache ijayo inaweza fika 80%, kumbuka hapo kwa wastani takribani ndoa 108 huvunjika kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…