Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maghayo ndio maana hataki kuoa kwao.
Where are we heading? Kwa nn ndoa zimekuwa hivi ?
Miaka 28 ,hii kama ile ya Mengi ni hatari sana ...Kule Dangote kavunja ndoa zote 4 mpaka kaacha kuoa bora atulie afanye biashara zake.
[emoji16]Kama unamuonea sana huruma huyo mwanamke, unaonaje ukimpa wewe mali zako, au mgawane mali zako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli ndoa sio mchezo,Ndoa zina mengi sana. Imagine mkeo ana kiserengeti boy kinamgeuza. Utaweza vumilia kweli ?
Mandela alieweza wasamehe makaburu waliomfunga jela miaka 40. Ila alishindwa msamehe mke wake winnie mandela
Wezi na mataperi wa taifaHapa JF mchagga hakosei Mkuu tegemea post zooote kumtetea Mosha! Over
Nimeshangaa hapo, tena kwa muda wote aliokua anaiba pesa ktk kampuni, si angesepaa kimya kimya tyuuh.Huyo dada kakopa millioni 500,000,000 benki na bado akahamisha dollar 1.4 millioni kutoka akaunti ya kampuni. Bila kusahau wakati anaondoka nyumbani alipotea na dollar 750,000,000. Mbona pesa nyingi hivyo?. Ingekuwa mwingine angeondoka kimya kimya.
Achraf Hakimi ni mchagga wa wapi??Hapa JF mchagga hakosei Mkuu tegemea post zooote kumtetea Mosha! Over
Pesa ndefu kiufupi kaleta hasara ukiwa na pesa bora uoe goli kipa ila mwanamke yupo kweny biashara tena sehemu ya finance ..Huyo dada kakopa millioni 500,000,000 benki na bado akahamisha dollar 1.4 millioni kutoka akaunti ya kampuni. Bila kusahau wakati anaondoka nyumbani alipotea na dollar 750,000,000. Mbona pesa nyingi hivyo?. Ingekuwa mwingine angeondoka kimya kimya.
Alikuwa kwenye biashara kama nani?? mfanyakazi wa kawaida au business partner?Kama huyo Demu wa kaskazini watasumbua sana ,mwanamke alikuwa kweny biashara zake kwa miaka kama 20 .
Ngoma bado mbichi ,mapema inaonekana mwanamke kaleta tamaa ...Ila jamaa akae la sivyo ajiandae .
HakimYule Mchezaji wa Mpira anaitwa nani vile?
KIsa hiki hakifanani na hivyo vingine. Huyu ni mke wake wa kwanza..Ilianza na Jackline, kisha Vicky, Na sasa Nancy duh
Umesoma hukumu? Mwanamke wa kwanza ndio anatakiwa aibe usd 750k?KIsa hiki hakifanani na hivyo vingine. Huyu ni mke wake wa kwanza..
Kweli mkuu, ikiwa kwa sasa approximately 50% ya wanaostahili kuoa/kuolewa TZ hawajajiingiza kwenye mtego huo, kwa kasi hii miaka michache ijayo inaweza fika 80%, kumbuka hapo kwa wastani takribani ndoa 108 huvunjika kila siku.The institution of marriage is going to die in the next 20 years.haya ni madhara ya ubepari na ubinafsi.wanawake wameamka na wanaume wamekuwa macho.
teknolojia ikifika mahali ambapo mwanaume/mwanamke unaweza kununua watoto wa kwako mwenyewe bila mwenza tena kwa bei stahimilivu ndoa zitakufa rasmi duniani.
Angalao jua kwa wanaume limeanza kuchomoza.Ilianza na Jackline, kisha Vicky, Na sasa Nancy duh