DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Na Kweli hiyu mwanamme nae akiamua kuwafinyia majaji rufani fungu ndefu mosha lazma adondoshe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume anataka ndoa ili kupata watoto wa kurithi na kuendeleza mali zake, mke wa kumsaidia kusimamia watoto, familia na mwenza na msiri wa maisha. Wanawake wanataka sehemu ya matunzo na kulindwa, watoto na majukumu ya kifamilia ili wawe serious na maisha.

Balaa ni hapo sasa mzee.
 
Umepatikana. Umekutana na wahuni. Wahuni si watu wazuri. Tafuta mali zako. Kama uliajiriwa kama Mhasibu dai haki zako za kazi. Mafao
 
Ila ulikuwaga na nyodo enzi za TMT
 
Kwahiyo ukijua kuhusu biashara ya mtu then automatically unakuwa entitled kupewa mgao wa hiyo biashara?

Hizi ni akili au matope? Basi na wafanyakazi wanaojua siri za biashara nao wapewe mgao wa kampuni, si wanajua siri za biashara?
Ulishawahi kuona mfanyakazi anakopa million 500 kwa dhamana ya kampuni ambayo yeye kama mfanyakazi?

Huyo mwanamke kafanya utapeli ila bado ni mke halali ,pia ana uhalali kweny mali hizo.


Hayo makelele mpaka kuachan ni juzi hapa walishaishi miaka 20 ya amani ,msiangalie makosa ...

Mke anahusika moja kwa kweny mali zilizochumwq baada ya ndoa ,kuna hatua kubwa Mosha kapiga kubishara akiwa ndani ya ndoa,mke moja kwa moja anahusika kweny mafanikio hayo hata kama angekuwa mama wa nyumbani.
 
Nina uhakika hata wewe hujasoma chochote hapo
Jamaa nimesoma History yake hapa inaonyesha mwamba alikomaa mwenyewe mwanzo wa safari na hata hiyo kampuni wakati anaiunda alikuwa mwenyewe. Mkewe atakuwa alimshirikisha kama mwenza tu ila sio kwamba alihitaji awepo kwenye kampuni ili mambo yaende.

Jambo lingine la kushauri, huyu dada ni bora angekausha tu atulie kwenye Ndoa kistaarabu. Atakuwa alianzisha mtiti ili apate mgao wa mali huku tayari ameshafaulisha za kutosha.

Angetulia awe tu mke mkubwa, kuna umri ukifika mwanaume anakuwa anataka damu changa ambayo mkewe hawezi moto wake.
 
Uko bias sana mkuu kwa kifupi umeandika pumba kwa kuangalia jinsia yako hebu rudia tena kuandika

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Angekuwa na akili angeweka account pembeni awe ana deposit hela kidogo kidogo kila mwezi.

Sijui kwann wanawake wakiona hela wanachanganyikiwa wanakuwa wendawazimu. Tazama hata Kylin wa mengi, ameona hela nyingi baada atulize akili anajikuta yeye Kim Kardashian anataka kuishi maisha ya kujiachia anasahau background yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…