Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahih kbsaaNdoa zina mengi sana. Imagine mkeo ana kiserengeti boy kinamgeuza. Utaweza vumilia kweli ?
Mandela alieweza wasamehe makaburu waliomfunga jela miaka 40. Ila alishindwa msamehe mke wake winnie mandela
Na Kweli hiyu mwanamme nae akiamua kuwafinyia majaji rufani fungu ndefu mosha lazma adondosheMosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Mwanaume anataka ndoa ili kupata watoto wa kurithi na kuendeleza mali zake, mke wa kumsaidia kusimamia watoto, familia na mwenza na msiri wa maisha. Wanawake wanataka sehemu ya matunzo na kulindwa, watoto na majukumu ya kifamilia ili wawe serious na maisha.The institution of marriage is going to die in the next 20 years.haya ni madhara ya ubepari na ubinafsi.wanawake wameamka na wanaume wamekuwa macho.
teknolojia ikifika mahali ambapo mwanaume/mwanamke unaweza kununua watoto wa kwako mwenyewe bila mwenza tena kwa bei stahimilivu ndoa zitakufa rasmi duniani.
Umepatikana. Umekutana na wahuni. Wahuni si watu wazuri. Tafuta mali zako. Kama uliajiriwa kama Mhasibu dai haki zako za kazi. MafaoMfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.
Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.
Je hii ni sawa?
View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Ila ulikuwaga na nyodo enzi za TMTThis is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Bro, dola 750,000,000 hebu isome vema hiyo namba.Huyo dada kakopa millioni 500,000,000 benki na bado akahamisha dollar 1.4 millioni kutoka akaunti ya kampuni. Bila kusahau wakati anaondoka nyumbani alipotea na dollar 750,000,000. Mbona pesa nyingi hivyo?. Ingekuwa mwingine angeondoka kimya kimya.
Kama alijua nafasi yake kama mke hakupaswa kuiba. Alipoiba alijiibia mwenyewe na familia yake.Analipwa ndio ila ni mke miaka zaidi ya 20 sio kitoto kweny ndoa ...Analipwa ila kwa sheria za Tz bado ana haki kama mke.
Ulishawahi kuona mfanyakazi anakopa million 500 kwa dhamana ya kampuni ambayo yeye kama mfanyakazi?Kwahiyo ukijua kuhusu biashara ya mtu then automatically unakuwa entitled kupewa mgao wa hiyo biashara?
Hizi ni akili au matope? Basi na wafanyakazi wanaojua siri za biashara nao wapewe mgao wa kampuni, si wanajua siri za biashara?
Ngoma ngumuNa Kweli hiyu mwanamme nae akiamua kuwafinyia majaji rufani fungu ndefu mosha lazma adondoshe
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mmh unaifahqmu familia ya Davis mosha kwa ukaribu DemiUnaamini vipi kama alichosema ni kweli.
Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.
Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
Kwenye talaka hakuna mirathi, kuna mgawanyo wa mali (division of matrimonial properties).Kwenye talaka kuna mirathi,? Au talaka na mirathi zinakwenda mutatis mutandis?
Jamaa nimesoma History yake hapa inaonyesha mwamba alikomaa mwenyewe mwanzo wa safari na hata hiyo kampuni wakati anaiunda alikuwa mwenyewe. Mkewe atakuwa alimshirikisha kama mwenza tu ila sio kwamba alihitaji awepo kwenye kampuni ili mambo yaende.Nina uhakika hata wewe hujasoma chochote hapo
Uko bias sana mkuu kwa kifupi umeandika pumba kwa kuangalia jinsia yako hebu rudia tena kuandikaNi ngumu sana mwanaume kumuacha mwanamke wake wa miaka 28 ukiona amefanya hayo maamuzi jua kuna kitu amekiona ambacho kwake ni hatari sana na akiendelea kukaa ndani ya huo uhusiano atapoteza zaidi.
Kuhusu kuishi miaka28 na mwanamke haikupi haki za kupata mgao kwasababu mwanaume ni tajiri na wewe umekuwapo akiwa anatajirika.
Shida wanawake eneo hili mnajificha kwenye kivuli cha mke wa Ndoa ila unaweza kuta kwa mfano,kipindi chote hiki mwanaume amekuwa hali nyumbani sababu mkewe hamuandalii chakula bali house girl.
Au hawakuwa na mahusiano ya kimapenzi mazuri yaani ndani hakuna amani na mwanaume amekuwa anamkwepa tu mwanamke ili kuavoid matatizo.
Kitu kingine kama mwanamke alishiriki kwenye utafutaji na alikuwa muajiriwa na alikuwa na mshahara na stahiki za mfanyakazi then anastahili kulipwa kama ni mafao au malimbikizo ya mshahara kama yapo nje ya hapo hawezi tumia neno tumechuma wote iwe kigezo cha kudai mgao wa lazima, so hadi wafanyakazi nao wote basi wakitaka kuondoka wadai mgao wa kampuni na mali kutoka kwa bosi wao.
Hizi sheria za Ndoa inatakiwa kufanyiwa reviews upya ili ziwe fair maana zinawapa wanawake wa sasa maslahi yasiyoendana na hulka na tabia zao. Sheria zinapotafsiriwa zinamtafsiri mwanamke au mke kwa taswira ya wanawake wa miaka ya nyuma ambao walikuwa na ustaarabu wao na walijiheshimu na hawakuwa na makuu na waliitumikia Ndoa kama taasisi na walitaka kudumu nayo.
Hawa wanawake wa kisasa ndoa haina umuhimu na hawaiheshimu wala kuitumikia kama taasisi bali kwao ndoa ni kijiwe cha kujichumia mali za bure na kujipatia matumizi yao ya kila siku. Hawa wanatakiwa kubadilishiwa utaratibu.
Angekuwa na akili angeweka account pembeni awe ana deposit hela kidogo kidogo kila mwezi.Shida mwanamke ni mwizi
Na cha ajabu hakukataa huo wizi
Yaani dollar karibu milioni 7 in total .... amechukua kwa signature za wizi
Huyu dada tamaa zilimzidi sana,mpaka kuiba pesa nyingi hivyo?
What a bad woman
Kiongoli ni watu wa wapi aisee?I know sio Mchagga kabisa,Mosha kiazi sana aisee,badala aoe kwao kuna wasichana wazuri na disciplined kaenda kuoa jambazi,yaani unafoji documaa unaiba madola mengi hivyo?
Huyo kama alivyosema haoni hatari kumuwekea sumu jamaa
Share tu sisi wengine hata hatufahamu kitu ukituhadithia tunaweza pata mwanga.Hata nikifunguka haitasaidia chochote hapa maana mmeshaamua kuwa vichwa ngumu.