DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Utajiri wa davis mosha ni mkubwa sana.

Nazani wakati anafunga ndoa biashara zake alizitenganisha na ndoa yake.

Davis Mosha akili nyingi sana yule mwanayanga mzee wa lamborgin
Kama huyo Demu wa kaskazini watasumbua sana ,mwanamke alikuwa kweny biashara zake kwa miaka kama 20 .

Ngoma bado mbichi ,mapema inaonekana mwanamke kaleta tamaa ...Ila jamaa akae la sivyo ajiandae .
 
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768

Yaani tuanze kusoma maviingereza yote hayo kwa watu wasiotuhusu na ambao wanatuhumiana juu ya zinaa, kutokuaminiana n.k

Acha wamalizane wanavyojuana...
 
Kama huyo Demu wa kaskazini watasumbua sana ,mwanamke alikuwa kweny biashara zake kwa miaka kama 20 .

Ngoma bado mbichi ,mapema inaonekana mwanamke kaleta tamaa ...Ila jamaa akae la sivyo ajiandae .

Anaweza akawepo kwenye biashara zake kama mfanyakazi.

Unamuajiri mke wako ama mume wako kama staff wa kampuni. Analipwa posho na mshahara na kampuni kama staff wengine.

Halafu hiyo kampuni iwe kakukuta nayo kabla hujamuoa imeshaanza haina jina lako kama mmiliki , ina jina la mama yako ama majina ya watu wengine.

Matajiri wengi wa kisasa ni wajanja sana, wana akili nyingi na wanajua umafia
 
Ngoma bado mtu akipeleka shauri mahakamani kajipanga kimtindo sio rahisi kudai mahakamani...Mosha kashtuka mchezo ila ajipange hata miaka 5 wanaweza kusumbuana mahakamani.

Mwanamke akidai mali kadhamiria sio kitoto hapo balaa tupu.
 
Kashindwa Mzungu wa hakimi. Ulaya kwenye sheria kali za kuwabeba wanawake. Sembuse huyo mbongo

Ukimjua Davis mosha vizuri huwezi shangaa kushinda hiyo kesi.

Ni ana akili nyingi kweli kweli.. huo utajiri wake tu kaupata kwa akili zake za kuusoma mtaa.

Mosha ni mfalme wa Magumashi
 
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
 
Kashindwa Mzungu wa hakimi. Ulaya kwenye sheria kali za kuwabeba wanawake. Sembuse huyo mbongo

Ukimjua Davis mosha vizuri huwezi shangaa kushinda hiyo kesi.

Ni ana akili nyingi kweli kweli.. huo utajiri wake tu kaupata kwa akili zake za kuusoma mtaa
Mengi nusu apate ugonjwa kisa ile kesi ya mwanzo sembuse Mosha tajiri wa kawaida sana ..

Tambua dunia inampa mwanamke kipaumbele huko Marekani watu kesi zinawasumbua ,kama akikata rufaa utaelewa ngoja tuone .
 
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?

Ndoa zina mengi sana. Imagine mkeo ana kiserengeti boy kinamgeuza. Utaweza vumilia kweli ?

Mandela alieweza wasamehe makaburu waliomfunga jela miaka 40. Ila alishindwa msamehe mke wake winnie mandela
 
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Mosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
 
Yaani tuanze kusoma maviingereza yote hayo kwa watu wasiotuhusu na ambao wanatuhumiana juu ya zinaa, kutokuaminiana n.k

Acha wamalizane wanavyojuana...
😁😁😁
Mwandishi anasema miaka 28 ya ndoa lakini bandiko lake linaonesha ni miaka 25 ya ndoa.

Nimeishia tu hapo kwenye “Sio ving’aavyo vyote ni dhahabu”
(Kwamba Shetani akaingilia kati, kuna muda Shetani tunampa lawama tu).
 
Back
Top Bottom