Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kama huyo Demu wa kaskazini watasumbua sana ,mwanamke alikuwa kweny biashara zake kwa miaka kama 20 .Utajiri wa davis mosha ni mkubwa sana.
Nazani wakati anafunga ndoa biashara zake alizitenganisha na ndoa yake.
Davis Mosha akili nyingi sana yule mwanayanga mzee wa lamborgin
Ngoma bado mbichi ,mapema inaonekana mwanamke kaleta tamaa ...Ila jamaa akae la sivyo ajiandae .