DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Yah, u r wise mkuu. Hata mimi hapa ndio pamenichosha, 28 years kunq kitu gan cha kushindwa kuwekana sawa?

Hapa sasa ndio unakuja kujua kwamba hata kama mna muda mrefu ndoan, usikae kwa kujiamin sana.
 
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Nifah umesoma vizuri kweli?

Kaiba dollar 500,000..kaja dollar sijui 950,000....total ni kama dollar milioni 7 hivi na zote hizo hajabisha,jibu lake kasema "sijibu hii hoja ya wizi hizi sababu nampenda petitioner na nimekaa nae miaka 28" hilo ndio jibu la huyo dada.

Tatizo huyo dada ni mwizi anaiba kwa kufoji documents,anakopa benki bila knowledge ya mwenye kampuni na hela anazihamishia kwenye account zake binafsi anazila

Huyo hafai tena na ni very wrong
 
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Ni ngumu sana mwanaume kumuacha mwanamke wake wa miaka 28 ukiona amefanya hayo maamuzi jua kuna kitu amekiona ambacho kwake ni hatari sana na akiendelea kukaa ndani ya huo uhusiano atapoteza zaidi.

Kuhusu kuishi miaka28 na mwanamke haikupi haki za kupata mgao kwasababu mwanaume ni tajiri na wewe umekuwapo akiwa anatajirika.

Shida wanawake eneo hili mnajificha kwenye kivuli cha mke wa Ndoa ila unaweza kuta kwa mfano,kipindi chote hiki mwanaume amekuwa hali nyumbani sababu mkewe hamuandalii chakula bali house girl.

Au hawakuwa na mahusiano ya kimapenzi mazuri yaani ndani hakuna amani na mwanaume amekuwa anamkwepa tu mwanamke ili kuavoid matatizo.

Kitu kingine kama mwanamke alishiriki kwenye utafutaji na alikuwa muajiriwa na alikuwa na mshahara na stahiki za mfanyakazi then anastahili kulipwa kama ni mafao au malimbikizo ya mshahara kama yapo nje ya hapo hawezi tumia neno tumechuma wote iwe kigezo cha kudai mgao wa lazima, so hadi wafanyakazi nao wote basi wakitaka kuondoka wadai mgao wa kampuni na mali kutoka kwa bosi wao.

Hizi sheria za Ndoa inatakiwa kufanyiwa reviews upya ili ziwe fair maana zinawapa wanawake wa sasa maslahi yasiyoendana na hulka na tabia zao. Sheria zinapotafsiriwa zinamtafsiri mwanamke au mke kwa taswira ya wanawake wa miaka ya nyuma ambao walikuwa na ustaarabu wao na walijiheshimu na hawakuwa na makuu na waliitumikia Ndoa kama taasisi na walitaka kudumu nayo.

Hawa wanawake wa kisasa ndoa haina umuhimu na hawaiheshimu wala kuitumikia kama taasisi bali kwao ndoa ni kijiwe cha kujichumia mali za bure na kujipatia matumizi yao ya kila siku. Hawa wanatakiwa kubadilishiwa utaratibu.
 
Mosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Kwahiyo ukijua kuhusu biashara ya mtu then automatically unakuwa entitled kupewa mgao wa hiyo biashara?

Hizi ni akili au matope? Basi na wafanyakazi wanaojua siri za biashara nao wapewe mgao wa kampuni, si wanajua siri za biashara?
 
Back
Top Bottom